mpira

  1. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tafuta fedha au ingia mkataba na sekta binafsi wajenge uwanja wa Mpira wa kisasa Dodoma

    Raisi Samia, utafanya yote, ila kama unataka kuacha jina, basi fanya kila uwezalo kuhakikisha eneo lililotengwa kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa mpira wa kisasa mkoani Dodoma ujenzi huo unaanza na kukamilika kabla ya 2025. Kwa ukimya uliopo na muda uliokwishapita, ni vigumu sisi wananchi...
  2. Thailand

    JamiiForums Tanzania SIMBA; Formation na wachezaji wanaoweza kurudisha Mpira Biriani

    Tatizo la simba siku za hivi karibuni imekuwa namna ya kupata kiungo mshambuliaji kariba ya clotus Chama ili timu iweze kutengeneza nafasi nyingi za magori kwa washambuliaji. Tatizo haliko kwa washambuliaji waliopo, tatizo lipo kwa kiungo gani sahihi aliopo pale msimbazi kuchukua jukumu hilo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie mnaoshangilia Mpira wa Fujo, Kukamiwa, Kuumizwa na Ahadi za Viongozi wenye Uyanga wanazofanyiwa Simba SC mna Akili timamu?

    1. Mbona hawa Viongozi Wanafiki na wenye Uyanga 100% akina Ally Hapi ( Mkuu wa Mkoa wa Mara ) na Mbunge wa Dodoma Mjini Antony Mavunde Biashara United FC na Dodoma Jiji FC zikicheza na Timu zingine huwa hawatoi Ahadi zao kama Vilabu hivi vikicheza na Simba SC? 2. Sikatai kutoa Motisha ila...
  4. Masibayi

    JamiiForums Tanzania Yataka moyo kuwa mchezaji wa mpira wa miguu Tanzania

    Hebu piga picha, lengo la yanga ni kutafuta watu,lengo la simba ni kuonesha kikosi kipana. Ndugu zangu wanaobeti sasa! Unakuta anaitabiria yanga kufunga magoli saba huku haina kikosi kipana? Duh! Wao wanataka watu na siyo magoli,hhhhhh! Hongereni watani zangu yanga kaa ushindi wa jumapili.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Aina ya mpira wanao cheza yanga hauvutii hata kidogo

    Kwanza kabisa nitangaze interest yangu mimi ni muumini wa mpira wa pasi zote ndefu na fupi na matokeo uwanjani yaonekane.Kwa miaka mingi sana yanga imekua na utamaduni wa kutumia pasi ndefu na mashambulizi ya kushitukiza(counter attack) lakini kwa bahati mbaya kwa miaka ya hivi karibuni kama sio...
  6. Bayga

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kwanini mashabiki wa mpira wanakufa kwa matatizo ya moyo?

    Mashabiki wengi kipenzi wa mpira wapo hatarini kufa au kuathiri afya zao kutokana na magonjwa ya moyo, Kiharusi na matatizo ya kisaikolojia kwa mjibu wa utafiti uliochapishwa katika jarida la Current problem in cardiology na katika jarida la Stress and Health mwaka 2020.  #Picha | Mwanaspoti...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wallah! Kama Simba SC itacheza Mpira Mkubwa iliyocheza Simba Day na TP Mazembe, kuna Mtu tarehe 25 anafungwa Goli 7

    Kuna Timu kwa nia njema tu naionya kwakuwa bado ina Jeraha la Kufungwa mara mbili Dar es Salaam na Port Harcourt isikubali Kucheza Mchezo wake wa Ngao ya Hisani (Jamii) na Simba SC tarehe 25 Septemba, 2021. Kwa aina ya Mpira mkubwa (mwingi) na wa Kiwango cha Kimataifa iliyoucheza (...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Yanga msitolewe kwenye njia na mashabiki oyaoya, timu mnayo

    Kuna baadhi ya mashabiki oya oya na wale wa makoro koro FC wanataka kutumia mechi ya yanga ya jana kufungwa Kama kichaka cha kueneza propaganda ya kuwa yanga imesajili vibaya. Watu hao nafikiri hawako timamu kwenye masuala ya kuangalia timu kiufundi bali wanasukumwa na mihemuko aidha ya chuki...
  9. mdudu

    JamiiForums Tanzania Timu ya Mpira wa miguu Namungo inamilikiwa na Tamisemi?

    Wakuu habari za jumamosi? Naomba Kama kuna mtu mwenye uelewa anieleweshe. Ahsante
  10. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Rais Samia abadilishiwe washauri, mbona anazidi kupoteza dira?

    Mwelekeo wa mheshimiwa mbona unatia mashaka? Siku zinavyo kwenda mbele ndivyo ambavyo anazidi kuonekana tofauti sana kwa kauli na matendo. Jee ni washauri wabovu au hulka zake tuu?
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kwa mpira wa jana mapengo ya Chama na Miqueson yapo wazi

    Jana simba imecheza mechi ya kirafiki na kutoa sare, kwa mpira ule kocha anakazi ya ziada kukijenga kikosi, tumefungwa magoli ya offside alafu mpira tumecheza kama chandimu, nimeamini itatuchukua muda kuyaziba mapengo ya chama na luis Nb: kama hujaona clip za mchezo ule katizame kwanza ndo...
  12. P

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwalimu Alex Kashasha, mchambuzi nguli wa Soka afariki dunia

    Mchambuzi nguli wa habari ya michezo maarufu kama mwalimu Kashasha amefariki dunia hivi punde alipokuwa amelazwa hospitali ya Kairuki. Chanzo mimi mwenyewe niko eneo la tukio. ---- Mchambuzi nguli wa soka nchini Tanzania, Mwalimu Alex Kashasha amefariki dunia leo Agosti 19, 2021 akipatiwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wanayanga SC mmemsikia na kumuelewa Mchambuzi Oscar Oscar wa EFM na TvE?

    Unaenda Morocco Kwa siku 10. Siku 4 ni safari ya kwenda na kurudi. Siku moja ni mapumziko. Siku 5 ni Pre-Season! Sio Bangi kweli hii? Chanzo: Twita Akaunti yake.
  14. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Kwanini taasisi kama TRA, NSSF, TPA na zinginezo zisiwe na timu za mpira wa miguu?

    Ukiangalia kwa makini kwenye huu ukanda wetu wa Afrika Mashariki na KATI na hata Afrika kwa ujumla wake, soka linaendeshwa sana sana na Taasisi za Serikali, watu binafsi wenye hela na makampuni maana ndo waajiri ambao wana uhakika wa kulipa mishahara na kuhudumia timu kwa uhakika.. ZAMBIA na...
  15. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania ZBC yangia Makubaliano na TFF Kutangaza Matangazo ya Mpira Redioni yennye thamani ya 3.5bilioni

    TBC na TFF wameingia makubaliano yenye thamani ya Tshs 3.5bilioni ambapo TBC watakuwa na haki xa kutangaza mpira wa ligi kuu kwa upande wa Redio. Makubaliano hayo yatakuwa no kwa miaaka 10 ambapo hakuna radio yoyote itakayo ruhusiwa kurusha matangazo hayo mpaka wapate kibali toka TBC. Una...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Naomba Kujulishwa Mchezaji Mpira Duniani Aliyefariki kwa Covid-19

    Naomba kufahamishwa mchezaji wa mpira ambaye yupo active, wa timu yoyote duniani aliyefariki kwa ugonjwa wa korona.
  17. C

    JamiiForums Tanzania Hii ndo mechi inayoshikilia record ya kuingiza mashabiki wengi kwenye historia ya mpira wa miguu ulimwenguni

    Rejea kichwa cha Habari hapo juu Ni mechi ya kirafiki iliyochezwa tarehe 2/8/2014 mjini Michigan kwenye dimba la Ann Arbor Stadium, Nchini Marekani, ilihudhuriwa na watazamaji 109,318 na kuweka historia ya aina yake kwenye ulimwengu wa kandanda kwa vilabu. Mechi hiyo ya kirafiki Manchester...
  18. IAmShedeOne

    JamiiForums Tanzania Mpira wa adhabu ndani ya 18 (freekick inside penalty box)

    Mchezaji akifanyiwa madhambi (foul) ndani ya eneo la hatari (penalty box) kinachofata ni mpira wa adhabu ambao hujulikana kama mkwaju wa penati, lakini ulishawahi kujiuliza kuhusu hii (kwenye video). Kuna hii inaitwa Indirect Free Kick (IFK) mpira wa adhabu usio wa moja kwa moja yaani penati...
  19. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania SoC01 Nawalaumu sana Wazazi na Walimu, huenda leo hii ningekuwa mbali

    Katika Maisha yangu huwa kuna wakati nawalamu mno wazazi wangu , Walimu wangu na Serikali pia kwa Mfumo wa hovyo sana, Katika Maisha yangu nilikuwa na Kipaji kikubwa sana cha kucheza Mpira, Wakati huo TV hazikuwepo tulikuwa tunawekewa mikanda ya mpira hasa World Cup na kwa sisi tulikuwa...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa hadhara na Mpira wa hadhara kipi ni hatari kwa maambukizi ya Covid 19?

    Tanzania ni yetu sote hebu tuutangulize utanzania na Mungu mbele. Tunapofikiria kuzuia maambukizi ya Covid 19 kwa kuzuia mikutano ya kisiasa tufikirie pia kuzuia maambukizi kwenye viwanja vya mpira wa miguu kwakuwa watu ni walewale. TFF kupeleka mechi ya Simba na Yanga Kigoma kwenye uwanja...
Back
Top Bottom