mpira

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nasikitika Wadau wa Mpira hatumpongezi Mwamuzi wa leo aliyewachezesha Yanga SC na Namungo FC kwa Uchezeshaji mzuri na wa Kuigwa

    Mwisho wa Msimu wa Ligi Kuu hii ya NBC nisiposikia amepewa Tuzo sitawaelewa TFF. Leo amechezesha vyema na kwa Haki.
  2. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Simba SC wanatupa somo la mpira, kwamba uwanja wa nyumba ndio uwanja Sahihi wa Team kusonga mbele

    Wakuu Mimi ni Mwanachama na Shabiki Wa Team Ya Yanga. . Kimsingi nimepanda Jinsi Simba walivyoonesha domination ya uwanja wa Nyumbani. . Haijalishi ni Uwanja Wa Mkapa au Uwanja wowote Wa Nyumbani. . Team makini na Sahihi haiwezi kukubali Kupoteza Kwenye Uwanja Wa Nyumbani kwao ingawa mpira una...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Naombeni app za kuangalia mpira live

    Nataka nicheki mpira wa chelseafc na Real Madrid app ipi ni nzuri nitakayoiangalia ambayo haitumii mb kubwa yaani iwe 500 MB kushuka chini naombeni wadau
  4. NITAKUKAMATA TU

    JamiiForums Tanzania Kwa haya mazingira ya pre match, Coastal vs Simba sio ya kukalia kimya katika mpira wetu

    Kiukweli tunapokuwa tunajinasibu kuwa mpira wetu umekua, tujitahidi kuendana na maneno yetu kiuhalisia, kiukweli mazingira kama haya ya pre match meeting ni aibu na kushangaza TFF na bodi ya ligi msilikalie kimya, ni aibu.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Naamini CHADEMA watashiriki Uchaguzi Mkuu 2025 bila uwepo wa Katiba mpya

    Chadema wamesema hawatashiriki uchaguzi wa 2025 katu bila katiba mpya, na hakuna tume huru itakayopatiokana bila katiba mpya Utabiri wangu ni 2025 hakuna katiba mpya itakayokuwepo, na hii tume ya sasa pengine itarekebishwa kidogo, ila haitakuwa na uhuru, lakini Chadema watabadilisha gia angani...
  6. Fifteen

    JamiiForums Tanzania Ukipewa nafasi ya kuongeza Sheria moja kwenye soka ungeongeza ipi?

    Habari wanamichezo, Ikatokewa umepewa nafasi ya kuongeza Sheria moja mpya kwenye mpira wa miguu ungeongeza ipi?
  7. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ashangaa Tanzania kuwa na wachambuzi wengi wa mpira huku haina kocha hata mmoja anayefundisha nje

    Waziri Mkuu akiongea katika kikao cha maafisa Utamaduni na maafisa michezo Jijini Dodoma, alishangaa kwa nini Tanzania haina kocha hata mmoja anayefundisha nje ya nchi, hata Burundi au Rwanda lakini yenyewe ikiwa inachukua makocha wa kigeni kutoka nchi hizo. Kinachoshangaza zaidi ni Tanzania...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Heko kwa Kufuzu, ila kwa Mpira 'mbovu' tuliocheza na kwa Timu tunayoenda Kukutana nayo, tukifuzu Nusu Fainali mnizamishe Baharini na Jiwe

    Tusheherekee zetu tu kwa Kushinda jana na Kufuzu huko Robo Fainali ya CAFCC na kupata hicho Kitita cha Shilingi Milioni Mia Nane ( 800,000,000/= Tsh) Ila kwa Mpira mbovu niliouona Jana huku Beki Onyango, Beki Tshabalala, Viungo Mkude na Kanoute na Washambuliaji Morrison na Sakho wakionyesha...
  9. NguoYaSikuKuu

    JamiiForums Tanzania Simba ikitaka ifike Mbali itafute Wachezaji Waonaojua Kufosi na Kupiga Chenga. Sio hawa wa Mipasi tu

    Kama wewe ni shabiki wa Mpira na unaangalia mpira wa timu za hapa nchini utatambua kwa nini Simba SSC haipati matokeo. Ukiacha kufungwa magoli ya Corner na Free Kicks ambazo wana wanashindwa kucheza vizuri. Wachezaji karibia 90% wa Simba hawawezi kukaa na mpira yaani kupiga chenga na kufosi...
  10. Ofisho mlinzi

    JamiiForums Tanzania Ili niweze kuonesha michezo inahitajika mtaji wa Tsh ngapi?

    Naona ni fursa ya kujiajiri kupitia kutoa huduma ya kuonyesha mpira, masumbwi, tamthilia pamoja na michezo mingine pia hata matukio mbalimbali, Je mchanganuo wa mtaji wake upoje?
  11. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Kwa videos zile mbili MO Dewji na GSM wakipiga danadana, nazidi kuthibisha simba tunapigwa kweupe

    Nimeshuhudia jinsi Watu hao wawili wakijirecorf video namna wanavyouchezea mpira kwa danadana Tukianza na GSM huyu jamaa alipiga danadana vizuri na kuuuweka mguuni mpira vizuri Sana yaani inaitwa control chumba na sebure halafu hakukaza mguu huyu ni mtu wa soka kweli. Tukija kwa tajiri yetu MO...
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mpira wa Tanzania unaharibiwa na vilabu viwili -- Simba na Yanga

    Tusipo tengeneza mpira mzuri hapa tanzania basi hakuta kuwa na utofauti ya kuwapa kipaumbele kama wasanii wawili wanao shindanishwa kwa maslahi binafsi. Mpira wetu wa hapa bongo kwenye vilabu umewekezwa sana kwenye simba na yanga na si vingine. Na kila mchezaji yoyote utaka kuingia kwenye hivo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania TFF Wekeni Sheria, Tumechoka na wachambuzi waliokosa weledi wa soka hapa bongo

    Tumechoka na wachambuzi maandazi wa soka hapa bongo!! Utakuta mtu hajaweahi hata kucheza mpira ligi yoyote, anatokea kuwa eti mchambuzi wa soka huku akiwakosoa marefarii waliosomea kazi yao. Wengine wanadiriki hata kuwakosoa makocha wenye digrii zao!!! Wakome!! TFF chimbeni biti kali kuwa ni...
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Je, Watanzania kushangilia vita ya Ukraine na Russia kama mpira wa miguu ni mapungufu ya akili?

    Ukipita Facebook, Twitter, Instagram au kwenye usafiri wa umma utakuta watu wako wanabishana nani atakuwa mshindi na kufurahia kipigo anachokipata Mrusi au Ukrainian. Je, ni umaskini wa akili au mali ndio hupelekea watu kushangilia mauaji? Kuna uwezekano kama mbongo angemiliki nyuklia dunia...
  15. Buenos Aires

    JamiiForums Tanzania Mpira ni mchezo wa ajabu sana🤣 ona hapa kilichotokea

    Mamelody sundowns pamoja na kupaki kwao basi dhidi ya mabingwa na magiant wa Afrika AL AHLY, pamoja na yoote haya mamelody akaibuka na point 3 dakika za lala salama 🤣 Kiukweli inasikitisha sana, mbungi walilopiga Al ahly sio la bara hili, Mamelody muda mwingi alijidefend/paki basi. Poleni sana...
  16. adriz

    JamiiForums Tanzania Uwanja mkubwa wa kisasa wa mpira wa miguu Dodoma upo katika hatua gani?

    Moja kwa moja.. Miaka kadhaa imepita (toka 2016) tuliposikia kuhusu ujenzi wa uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu Dodoma unatarajia kuchukua watazamaji 80,000 na miundombinu mingine. Ikiwa kama ushrikiano wa serikali ya JMT na Morocco huku serikali ya Morocco ikiahidi kutoa fungu kusaidia ujenzi...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa mpira wa magongo kwenye barafu watoto wajitokeza kufanya mazoezi

    Kwenye uwanja wa barafu katika bustani ya vijana ya Shenyang, kikundi cha vijana walikuwa wakifanya mazoezi ya mchezo wa mpira wa magongo kwenye barafu chini ya uongozi wa kocha. Kutokana na michezo ya majira ya baridi kukaribishwa nchini China, watoto wengi zaidi wanashiriki kwenye mchezo wa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania TFF hongereni kwa Kumfungia Shaffih Dauda aliyewaambieni Ukweli na Kumuacha Haji Manara aliyehatarisha Usalama wa Taifa na Kuuchafua Mpira

    Endeleeni tu Kumchekea huyo Msemaji wa Yanga SC Haji Manara na Upuuzi wake, ila ipo Siku mtatukumbuka tunaowaonya 24/7 kwa Madhara makubwa ambayo yatatokana nae huku mkimuogopa au mkiogopa kwakuwa kuna baadhi yenu mlifaidika mno Kibinafsi na Pesa za GSM.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa Mpira katika Redio za Tanzania tutaanza Kuwadharau sasa, Goli la Yanga SC lilikuwa halali kwa Uzembe wa Kipa

    Mimi ni Shabiki wa Simba SC ila kwa Upuuzi wenu huu wa Kuchambua Kiuwoga au Kimahaba au kwa Bahasha Kunawaharibia na wenye Akili, tusio Wanafiki na wapenda Haki sasa tutaanza Kuwadharau na hata Kutosikiliza hivyo Vipindi vyenu vya Michezo vya Redio. Halafu nyie Wachambuzi wa Michezo katika...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa kwa hili la Mpira miguu unazidi kumpoteza "Rais" katika ramani zake

    Tumekusikia jana ukitoa maelekezo ya kutosha Baraza la michezo jinsi Wizara yako mnavyotaka isimamie mpira wa miguu “as if” Baraza la Michezo kazi yake ni kusimamia mpira wa miguu tu na huku ukijisahau kuwa wewe sio Waziri wa mpira wa miguu peke yake. Okay tuliacahe hilo. Tumesikia maoni ya...
Back
Top Bottom