mpenzi

  1. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Moja Kati ya faida Bora kabisa utakazo zipata baada ya kuachana na mpenzi wako

    Uta stop Ku pretend kumpenda / kumkubali / kumtolerate ndugu kimeo wa ex wako ambae katika hali ya kawaida usingeweza kuwa na ukaribu nae ila ulizamika kuwa Na ukaribu nae Kwa Sababu ya kuwa katika mahusiano Na ex wako.. Kwa mfano binafsi niliwahi kutoka Na dada mmoja yupo vizuri sana ila ana...
  2. Equation x

    JamiiForums Tanzania Muhudumu wa 'lodge' ni pisi kali kumzidi mpenzi wangu niliyempeleka hapo mapumzikoni

    Kuna kipindi fulani nilienda Kahama kwa shughuli za kimiangaiko; kutokana na kuwa na marafiki wengi, nikaomba si vibaya kuomba 'appointment' na mwenyeji wangu mmoja anayeishi katika mji huo. Alipofika, tukabadilishana mawazo, kula kunywa na hatimaye tukaelekea mapumzikoni. kufika...
  3. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna ubaya mpenzi akitaja jina la mtu mwingine wakati mnafanya mapenzi?

    Je, kuna ubaya gani ikitokea hivyo? Imagine wewe ni Juma, lakini wakat una sex na mpenzio anamtaja Benja😅😅😅 Au wewe ni Asha, una sex na Mohammed, mudi wakati yuko katikati ya unono anamtaja Hamida😅😅😅😃😃
  4. DALA

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu wa zamani anataka turudiane. Ameomba talaka kwa mumewe ambaye ni shoga! Ushauri wenu

    Salaam kwenu nyote! Aisee kuna wakati hapa duniani binadamu tunajikuta katika mazingira magumu sana. Hoja iko hivi, huyu binti (dada) tulikutana naye 2004 Novemba, tukapendana yeye wakati huo alikuwa anajiandaa kwenda A level, mimi nikaingia mitaani bongo kuzisaka. Baadae kulitokea mengine...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mapenzi hayako Fair. Wakati mpenzi wa Zamaradi kawekwa kwenye bango la mil. 6, wengine hata kwenye phonebook hampo

    Watu wanapendwa asikwambie mtu, lakini wewe unatendwa na kupondwa. Wanaumeeeeee! Mpo? Mwenzenu anapendwa mpaka anawekwa kwenye bango lakini wengine hata kwenye phonebook hampo ama mme-seviwa kwa jina la "Guruwe ama Nguruwe" Mapenzi kizunguzungu hata kwa wanawake maana wapo wanaohongwa...
  6. Slowly

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mliman City, Diamond na Zuchu mahaba nje nje

    Mambo si mambo...!!! New couple in town? Wacha tuendelee kunywa mtori , nyama tutazikuta chini
  7. libeva

    JamiiForums Tanzania Zamaradi Mketema aweka ujumbe wa siku ya Valentines kwa mumewe kwenye bango Morocco, Dar es Salaam

    Mtangazaji Zamaradi Mketema ametrend sana kwenye mitandao ya kijamii kutokana na kukodi Bango na kuweka ujumbe wa mahaba kwa mume wake kama zawadi ya siku ya valentines. Bango hilo liko maeneo ya Morocco Dar es Salaam ambayo ni barabara anayopita mumewe kila siku. Zama amesema kuwa mumewe...
  8. KENZY

    JamiiForums Tanzania Ungependa mpenzi wako akuimbie wimbo gani?

    Mapenzi ni furaha ukiwa na umpendae huku penzi likikolezwa kwa utamu wa muziki murua wenye kutikisa ala za huba, huku mtima wa moyo ukiwa umetulia tulii kama kiu kikali kikitulizwa na maji ya mtungi! Ewe wangu laaziz sogea karibu yangu na uniimbie nyimbo hii mahususi Ukiniongeza na hii...
  9. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kila nikianza kuchepuka anakua na hisia za tofauti, hivi imekaaje?

    Mpenzi wangu kila nikianza kuchepuka anakua na hisia za tofauti, hivi imekaaje? Kuna wakati anashituka mwili, na kuanza kunitafuta. Kuna wakati utakuta tu anaanza kuzidisha mapenzi kwangu. Wanasanyasi hebu tujadili hii condition inamaana gani? Najua kunikamata kuwa nachepuka ndio hawezi ila...
  10. Baba jayaron

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mke wangu, analazimisha kunirudia

    Mabibi na mabwana, Yule shemeji yenu aliyenivuruga na kunitelekeza na watoto kwa mbwembwe na kiburi sasa ana-force kurudi akiwa hoi bin taaban. Anadai hata nikim-crash vipi mimi ndio mume wake baba watoto wake. Maajabu na sasa. Yaani msg simu haziishi sorry za kila aina mhhh sijui katumwa huyu...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mwanasoka Mason Greenwood ni mchawi wa career yake mwenyewe

    Sometimes genes (vinasaba) zetu za Kiafrika zinatuponza. Mwanaume wa kiafrika anajulikana siku zote kuwa dominant katika mahusiano tofauti na races nyingine duniani. Mwanaume wa kiafrika huwa hakubali ujinga wa kutawaliwa na mwanamke. Sasa hali hii imemponza mwanasoka chipukizi pale Old Trafford...
  12. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Valentine inakaribia ila sina hata wa kuniletea ua

    Kama kichwa cha uzi kinavyosomeka ...valentine imekaribia ila jaman hata sina wa kuniletea ua..... Uncle hana ishu za kisasa za kupeana maua... hapo nikiomba hela ntapewa nyingi tuu ila sasa ulete vitu romantic utashangaa na roho yako. Yani natamani mtoko wa maana nifanyiwe japo romantic...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Ladha ya tendo inapungua ukiwa na mpenzi mmoja tu mda mrefu?

    Habarini wakuu, Mimi nina mpenzi wangu ambae nimekuwa nae mda mrefu sasa na huduma zote za chumbani huwaga ananipa yeye tu, yaani sichepuki. Ila cha ajabu naona kila siku zinavozidi kwenda, ladha ya tendo inapungua yaan utamu wa siku za nyuma haupo tena sikuhzi. Hivi hii ishawahi kuwakuta...
  14. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Nilivyofyeka shamba la jamaa aliyeniibia mpenzi wangu

    Katika harakati za maisha niliwahi kwenda kujaribu kilimo mkoa fulani kule nikapata binti mmoja mzuri sana, kumbe kuna mkulima mmoja wa zao fulani alikuwa ameanza kuvuna, hilo zao kwa wiki kuingiza milioni tatu ilikuwa kawaida na angeweza kuvuna kila wiki kwa miezi mitatu. Mimi zao langu...
  15. Izrael k Adam

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri msichana wa kizungu tuliye kutana nae mtandaoni ananipenda na anataka taarifa zangu kama namba lakini naogopa nifanyaje?

    Habari zenu wadau Wadau naomba mnishauri kitu kimoja nina mwanamke ambae tumezoeana sana yeye ni mzungu wa anaishi Marekani baada yakuzoeana kunawakati sasa ananisumbua anataka tubadilishane namba za simu na anataka siku moja aje Tanzania maana anasema nisehemu mzuri ya kitalii. Sasa tatizo...
  16. carcinoma

    JamiiForums Tanzania Najuta kuangalia SMS za mpenzi wangu

    Habari wakuu. Mimi ni mtu mkimya sana kitaa sina hata marafiki wengi. So mambo mengi yanayotokea huwa nasolve mwenyewe tu na mara nyingi yanaisha.. lakini hili naona limenikaa sana na sina wa kumwambia akanielewa. So naona ni bora niliweke hapa. Lengo sio kuomba ushauri wa mtu.. leo ni kushare...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anapenda ngono sana

    Mimi nimeoa na mke ila nimekutana na mdada nae ni single mother tulianza mahusiano yapata mwaka sasa, ananipenda sana ila naona mwisho sio mzuri, coz kwanza anapenda sana sex, sasa kwa maisha hya ya kibongo ukipiga hesabu kudate nae 30,000x4 = 120000/ sasa kwa kipato gani unafanya zinaa tu...
  18. Napoleone

    JamiiForums Tanzania Unafanyaje inapotokea umemchoka mpenzi wako ila yeye bado anakupenda sana?

    Una mtu wako hujamuoa ila mpo mna muda mrefu ila umemchoka kabisaa Ila anakupenda sanaa kias kwamba umejarib jaribio la kwanza la kumuacha imeshindikana yaan. Amekua hadi depressed kabisa .kula hali..hadi anaumwa..ndugu na rafik wanakupigia simu kila mara. Hivi unafanyaje hali hii inapotokea na...
  19. kunta93

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wako anapokwambia "flani ananitongoza" anakua anamaanisha nini?

    Juzi kaniambia mwanasheria wa kampuni yao anamtongoza akanitumia na screenshot ya meseji na hio sio mara ya kwanza kuniambia nadhani ni ya nne wahusika wakiwa tofauti tofauti Sasa najiuliza hiv huyu dem ananambia hivi ili iweje??anataka nikampge huyo anaemtongoza?au ananitambia tu ili kutishana...
  20. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Ogopa sana mpenzi mwenye mashosti

    Hahahah hebu cheki hii mkeo anavyoomba ruhusa ili akajinafasi na mjuba Co-worker ambaye wana crush ili wakalane vizuri! We unaagwa anaenda kwenye birthday ya Millen amepitiwa home na Suzy kumbe wameachania Samaki Samaki. Suzy kamuacha mkeo na Alfred huku Suzy naye Kaenda kwa Kelvin amekuwa...
Back
Top Bottom