mpenzi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu bar-maid

    Ni miezi 5 sasa tangu niwe nae na anadai ananipenda japokuwa kiuchumi siko vizuri...😢 Ila kila nikiwaza sehemu anayofanyia kazi (bar, club) ambayo hakukosekani wale watu ambao hela hazina kazi huwa naishiwa nguvu KABISA , japokuwa ananiambia unajua alichokifata hapo (kazi) Nishaurini jmn....😟😟
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kusali pamoja huongeza upendo, kumuombea mpenzi wako huongeza uaminifu

    Unajuwa hawa ma slay queen wanaovaa chupi mara moja kisha huitupa kwasababu hawawezi kufua, mimi huwa Naona wanaishi maisha feki sana kiasi kwamba ukisha gonga hutamani tena kukanyaga. Leo siwaongelei hawa, nawaongelea wale wenye wapenzi genuine. Wapenzi mnapo omba kwa pamoja uwezo wa Nguni za...
  3. Mkulungwa01

    JamiiForums Tanzania Msaidieni huyu, miaka 23 hajawahi kukubaliwa

    Wakuu habarini, nina ndugu yangu toka kuzaliwa ana komwe, sasa ana miaka 23 now na anatamani sana kunyoa haircuts za kisasa, imekuwa changamoto kwake, jamani hivi dawa ya kuondoa komwe mwaifahamu? Yaani anakataliwa mno, hajawahi kukubaliwa na msichana mpaka umri huu. Yupo tu home hapa, muda...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi serious wa kufikia malengo ya kuoana ndani ya mwaka 1

    Ni kijana wa umri wa 27 Elimu: degree Dini: mkristo Makazi: dar es salaam Kazi: kujiajili, wakala wa Tigopesa na kusajili lines Anayehitajika Elimu: form 4 mpk darasa la 7 Msichana umri chini ya miaka 23 Urefu wa saiv ya kati Uwe serious kweli. Whatsapp 0674028267
  5. Sheillah Sheillah

    JamiiForums Tanzania Kwa wadada: Huwa mnafanyaje mpenzi wako akiwa na hii tabia?

    Habari. Ni mpenzi wako, na kila mtu anajua status ya afya ya mwenzake. Wote kwa pamoja hamjaamua kuwa na watoto. Lakini tatizo unakuta hapendi kutumia kinga hata kama anajua upo siku za hatari. Hata akitumia katikati lazima alalamike hadi aivue tu, na hapo atakuahidi ata pull out ila hafanyi...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Inauma sana, ila LET HER GO

    Nimeachana na mpenzi wangu ambae nlikuwa nae kwa miaka sita,lakini nimeanza kuona changes baada ya kufika town hapa dsm .tumeamua tuachane tu.
  7. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Grand P amuonya mwanaume anayesemekana kuwa na ukaribu na mpenzi wake

    Star wa muziki kutoka nchini Guine Grand P amuonya mwanaume ambaye anashutumiwa kuwa na ukaribu na mpenzi wake Grand P alinukuliwa akisema kuwa "Kaka yangu Roga Roga nina kuheshimu sana na ninafahamu vyema kua wewe ni raia kutoka Congo na ninawaheshimu sana wakongo lakini chombo unachojaribu...
  8. Kendk

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wa kutoka nae x.mass

    Kama uko single umri usozidi miaka 35 kuna ofer ya kutoka na mimi siku ya x.mas na siku zijazo Uwe njanda za juu kusini mikoa ya iringa mbeya na sumbawanga. Karibu pm
  9. Harrykany

    JamiiForums Tanzania Hii inakaaje kwa wadada kukubali kuwa na mpenzi mwenye wapenzi wengi?

    Kwa ufupi tu niulize kwanini mdada unakubali kuwa na mpenzi ambae ana wapenzi wengine na analitambua hilo na anamwambia jamaa kuwa hata kama upo na yule fureshi tu, kila mtu acha aplaypart yake, hivi hapo kinacho sababisha iwe ivo ni mapenzi ya dhati ya mdada, kwa mtu kama huyo, au nini...
  10. NGIMBER

    JamiiForums Tanzania Mpenzi anahitajika ikipendeza tujenge familia.

    Jinsia Me: Miaka yangu 32, Elimu degree ya kwanza.Ninaishi Dar Kigamboni dini mkristo. Ajira binafsi Ninahitaji mpenzi/mchumba awe mkristo (muhimu sana) Miaka kuanzia 26-30 na mwenye shughuli ya kufanya( for a living) Sio mweusi sana na asijichubue Mwenye sifa karibu Pm tuyajenge.
  11. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tunaishi kwenye dunia ambayo kila kinachofanywa na mpenzi wako ni kwaajili ya mpenzi wake wa zamani

    Tunaishi kwenye dunia ambayo kila kinachofanywa na mpenzi wako ni kwa ajili ya mpenzi wake wa zamani, mahusiano hayadumu siku hizi kwasababu tunawapata watu wanaowapenda na kuwakumbuka watu wao wa zamani, tunakabiliwa na ukosefu wa amani ambao hatukuusababisha sisi. Tunachumbiana na kuwa kwenye...
  12. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Mwimbaji maarufu wa Muziki wa Pop nchini Kenya toka Sauti Sol ajitokeza kama Mpenzi wa Jinsia moja

    Mwanachama wa bendi ya afro-pop nchini Kenya Sauti Sol amejitokeza kama mpenzi wa jinsia moja. Tamko la hadharani la Chimano lilikuja alipokuwa akielezea wazo la wimbo wake mpya, Friday Feeling, ambapo aliwashirikisha wanajamii wa LGBT. "Hakuna kujificha tena," aliambia vyombo vya habari vya...
  13. Masseto

    JamiiForums Tanzania Kumbe mpenzi wangu anajiuza

    Salaam wanaJF. Ninademu wangu tupo kwenye mahusiano ni mwaka sasa, tunapendana sana na ananipenda kinoma, hakuna ishara yoyote ya usaliti kwangu, Pisi kali, shepu kali ni mtulivu anajiheshimu na tumepanga kuoana mwakani na adi kwao natambulika na mipango iyo ni mwakani. Sasa wiki iliyopita...
  14. Equation x

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kupata mpenzi wa maisha

    Kama wewe ni mwanamke ama mwanaume, tumia njia hii kupata mume/mke pale unapokutana na mtu aliyeuteka moyo wako, na umwambie hivi:- Kwa mwanaume: - 'Kuna sauti inaniambia wewe ndio mke wangu' Kwa mwanamke:- 'Kuna sauti inaniambia wewe ndio mume wangu' Unapokuwa unamwambia, uwe siriazi na...
  15. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kufanyiwa utapeli gani na mpenzi wako?

    Kila mmoja kwa namna moja ama nyingine ametapeliwa kwenye mapenzi:- Kuna aliyelazimisha kuzaa na mtu akitegemea apate ndoa, mambo yakawa tofauti Kuna aliyetuma nauli akitegemea mwenzake afike, mambo yakawa tofauti Kuna aliyesomesha akitegemea waje waoane waishi pamoja, mambo yakawa tofauti Kuna...
  16. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Kwanini unamuumiza mtu unaempenda (mpenzi) au yeyote yule mwenye kushare hisia na wewe?

    Kwa nini unamuumiza mtu unaempenda? Ni kawaida kujisikia vibaya unapo muumiza mtu mnayependana hasa kama alikuamini sana. Kuna sababu mbalimbali nyuma ya maumivu kwenye mahusiano yako. Lakini matendo yako pia yanaweza kumhathiri mtu unaempenda kwa kiasi kikubwa. -Kuna muda, kumlinda mtu...
  17. Priscallia

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje kwa mpenzi anayekupa kiasi fulani cha pesa halafu ndani ya siku mbili anaomba 75% ya pesa aliyokupa

    Kwa ufupi kuna huyu mpenzi wangu, yaani juzi aliniwezesha kiasi kidogo cha pesa kama 2.5M hata hazijapita siku mbili, jana kanipigia simu anataka nimuazimie kama 1.5M kuna dharula amepata nyumbani kwao, moyo umekuwa mgumu kumuamini nahisi ni ubahili unamsumbua huyu mwenzagu hivyo nimekuja kwenu...
  18. Equation x

    JamiiForums Tanzania Usitumie mapenzi kuzurumu haki ya familia ya mpenzi wako

    Ulimwengu wa sasa mapenzi yamekuwa ni biashara, mtu atajitokeza kuwa na wewe kwa sababu atanufaika na kitu fulani. Na hicho kitu kilichomvutia kikiisha au kupotea, uhusiano au mapenzi nayo yanakufa. Atakayebaki na wewe katika majuto yako ya pesa, wadhifa, au umaarufu wako pale utakapoisha; ni...
  19. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kama wewe una miaka zaidi ya 25 na huna mpenzi, hilo ni tatizo sugu

    Kama wikiend hii yote uko mwenyewe mwenyewe tu, huna mpenzi wa kukuweka bize na unamiaka zaidi ya 25 hilo ni tatizo sugu. Ondoka hapo ulipo, oga, piga pamba, nukia vizuri, zunguka zunguka huko mtaani, utapata wa kukuweka bize. Maisha yanatafutwa, hela zinatafutwa, na mapenzi pia yanatafutwa...
  20. yuda75

    JamiiForums Tanzania Ukiwa single kazi sana kupata mpenzi mpya

    Habarini wadau Tokea nimekuwa single imekuwa kazi kweli kupata mpenzi mpya, kila napojaribu naona bila bila bila bila. Tumia nguvu ya pesa wapi ila nilivyo kuwa na mpenzi wengi walinishobokea nikatulia. Ila hawa alaaniwe alimpotosha sana Adam na Delila alaniwe alimtesa sana Samson
Back
Top Bottom