Dalili mojawapo ya kujua mpenzi uliyekutana naye kwa mara ya kwanza anakupenda

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,174
39,933
Unapompatia namba yako ya simu, yeye ndio anakuwa wa kwanza kukutafuta, iwe kwa meseji au kwa kukupigia. Lakini wengi sisi huwa tunakosea, unakuta wewe ndio uliyempatia namba yako ya simu na unakuwa wewe ndio wa kwanza wa kumpigia mara kwa mara bila yeye kukutafuta, hiyo inaitwa kujipendekeza au kulazimisha usipopendwa. Matokeo yake, unatendwa na unakuja kulia lia huku JF.

Kuwa na msimamo huu, ukitoa namba ya simu subiri utafutwe, na si wewe kumtafuta uliyempa namba ya simu.

NB: Hii njia inatumika pale unapotafuta mke/mume
 
Madogo mmezidi kwenye hili jukwaa,kwahiyo seriously unadhani hiyo ni njia mojawapo ya kutambua Kama mtu anakupenda?

Any way,inategemea upo kwenye hali gani
Kama unatafuta wa kuishi naye asiyekutesa huko mbeleni, tumia hiyo njia
 
Upo wrong kumtafuta mwanamke either umempa au kakupa namba ni jambo la kuchukua point za bure,hujiona wathamani na kukumbukwa tena mtafute kama dozi asubuh mchana na jioni mjaze kichwa upepo avimbee, huwa nawachanganya sana

Kuna mmoja kila siku asubuh lazma nimpigie nimjaze upepo mahaba kibao ,nikaja kustop bana akaanza lawama ooh unipigii umempata mwingine n.k.
 
Mimi nachoelewa mwanamke ili akupende inategemea na wewe mwenyewe utavyoanza kuishi nae cha kwanza lazima uhakikishe ajue unamalengo gani kwake.

Lakini kingine ili mwanamke akupende unatakiwa upambane kuhakikisha madhaifu yake kwa kiasi fulani yanapungua ata siku ikitokea mkiachana bado atakukumbuka kukutafuta
 
Mimi nachoelewa mwanamke ili akupende inategemea na wewe mwenyewe utavyoanza kuishi nae cha kwanza lazima uhakikishe ajue unamalengo gani kwake
Lakini kingine ili mwanamke akupende unatakiwa upambane kuhakikisha madhaifu yake kwa kiasi fulani yanapungua
ata siku ikitokea mkiachana bado atakukumbuka kukutafuta
Atawakimbuka wangap
 
Back
Top Bottom