Je, kuna faida gani ya kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja?

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Ningependa kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja huwa kuna faida yeyote ilee unapokuwa na mpenzi wa njee.

Kama ndio hebu tueleweshane kuhusu hili jambo.
 
Waliotangulia walisema mwanamke ni...

Pambo
Kiburudisho
Jiko
Chombo cha sterehe
Msaidizi
n.k. n.k.

Ukiwa na mwanamke zaidi ya mmoja, basi hizo huduma na zaidi ya hapo utazipata kwingi kwingi....
 
Kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja kuna faida sana. Kwa huyu unavhukua hela ya TV, kwa mwingine unachukuwa ya nywele, na mwingine unachukuwa ya nguo. Wengine unabeba za vikoba, Kodi ya nyumba, ya kumtumia mama, n.k

Kuna faida sana
 
Ningependa kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja huwa kuna faida yeyote ilee unapokuwa na mpenzi wa njee

Kama ndio hebu tueleweshane kuhusu hili jambo
Mbususu moja Kila siku inakinai yaani hata uwe na pisi Kali Kama Ile ya sabaya kuna muda utatamani kademu kafupi keusi natural kanakonukia Ile harufu natural hakajui hata perfumes ubadirishe Radha
 
huyu akiwa period unakula mbususu ya yule,
huyu akiringa unapakua yule
huyu anakupa mbususu yule anakupa tigo,
 
Back
Top Bottom