mpenzi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Kuna haja ya kumwambia mpenzi wako kuwa upo off mood bila ya kumpa sababu yoyote ya msingi?

    Hii tabia naona inataka. Kuota mizizi kwa mpenzi wangu, Mara nyingi ninapompigia kumjulia Hali, maana tunaishi mikoa tofauti amekuwa akinijulia kuwa yupo off mood,bila ya kunioa sababu ya msingi. Nashindwa kumuelewa kwamba anakuwa anamaaniaha Nini?kwamba nisimsemeshe au ni Nini? mwenye uelewa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Siwezi kumuita mpenzi wangu majina ya kimahaba

    Namuitaga tu jina lake mambo ya kumuita baby sijui mpenzi sijui honey naonaga ulimi mzito na iyo ni kwa mademu zangu ote niliokuwaga nao
  3. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mwanaume una njia zote za kufupisha ahadi ya mpenzi wako, kama utaamua

    Wikiend iliyopita, nilikuwa nimejichokea kiaina; nikaona bora niende zangu 'club' moja ya karibu angalau nipate kinywaji kidogo, huku nikiburudika na mziki pamoja na kuosha macho kwa watoto wazuri. Baada ya kuingia club, mhudumu akaniongoza mpaka kwenye meza moja ambayo haikuwa na mtu...
  4. Baba jayaron

    JamiiForums Tanzania Binti mwenye penzi la siri nzito

    Wasalaam; Katika harakati zangu na changamoto za mambo ya ndoa si nikalengeshwa bwana si unamuona binti flani hana MTU mcheshi, mwenye adabu, anapendwa na kila mtu na wa mama wengi wangetamani watoto ama ndugu zao wa kiume wamuoe. Nilipozitazama zile sifa nikajiridhisha ni za kweli. Kidume...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Imethibitika kumbe Mhesh Madaraka Nyerere Ni mpenzi wa Klabu ya Yanga

    Ushahidi umeambatanishwa hapo chini Niwatakie good Friday
  6. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Hivi huu Mshahara wa UN mpakampenzi wako na watoto wanalipwa?

    Heshima kwenu wakuu. Well, nimekuwa nikiskia tu kuwa unapofanya kazi UN mpaka mchumba/mpenzi/mke wako nae ana lipwa kila mwisho wa mwezi. Leo katika pitapita nikawa napita kwenye website ya UN kuangalia Salaries, Allowances, Benefits and Job Classification nikaona hii kitu hapa...! Hii ina...
  7. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Pleasee eleweni siitaji tena mchumba na wala siitaji tena watu wanisumbue inbox ukihitaji mpenzi toa post

    Please understand muelewe siitaji tena mchumba no more. Mume hutoka kwa bwana sio hapa very sorry Asanteni kwa wote waliokuja ila for now noo. Siitaji.
  8. Mwanakulipata

    JamiiForums Tanzania Filamu ambazo hutakiwi kuangalia na watoto, unaweza kuangalia na mpenzi wako

    Hizi hapa baadhi ya Movie ambazo hutakiwi kuangalia na watoto, au kama upo na mwenza wako unataka movie Colour Of Night The Dreamers Intimacy Nymphomaniac In The Realm Of The Senses Kiss And Kill Loving White Girl Love Darker Shades Of Elites Illicit Desires Spread Mother's Job Double Lover...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nina uhusiano wa kimapenzi na aliyekuwa mpenzi wa mdogo wangu wa Kiume

    Hapa juzi nilileta kisa cha kuachana na mchepuko wangu ila nilikatisha baada ya watu kuunganisha matukio na kunijua so nikaona nikiendelea ni kujivua nguo mimi na yule binti. Sasa baada ya kuachana na yule mchepuko nikawa natafuta mwingine wa kureplace mdogo mdogo. Kuna binti mmoja ninajua...
  10. comte

    JamiiForums Tanzania Kuanzia sasa ukiulizwa na mpenzi wako swali hili majibu haya hapa

  11. Bata batani

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimegundua penzi la mpenzi wangu kwangu limeshakufa

    Tofauti alivyokuwa mwanzo na sasa kiukweli kuna dalili nimegundua mahaba na penzi nililokuwa nakipata toka kwa mpenzi wangu limeshakufa yaani kuna dalili zinaonesha hapa tiyali nimechokwa lile vibe la treatiwa kama mpenzi limeshakufa yamebaki tuu mazoea tuu. Kuna time naamua kulianzisha lile...
  12. Kifaru86

    JamiiForums Tanzania Nimeshidwa kumuelewa mpenzi wangu kwa kuwa na huzuni na msiba usiomuhusu wakati marehemu si ndugu yake

    Nina mpenzi wangu week mbili zilizopita aliniomba ruksa kuna msiba mtaani kwao ambako amezaliwa na amekulia kuna kijana mmoja alikuwa amefariki kwa ajari basi nikamruhusu akaenda nami pia akaniomba nimsindikize tukaenda wote. Sasa tangu huu msiba umalizike mpenzi wangu amekuwa ana huzuni sana...
  13. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Mwimbaji wa Sauti Sol, Chimano hayupo tayari kupata mtoto

    Mwanamuziki wa bendi ya Sauti Sol, Willis Austin Chimano ameweka wazi kwamba kwa sasa hayupo tayari kupata mtoto. Chimano ambaye takriban miezi mitatu iliyopita alikiri kuwa shoga amesema kwamba kupata mtoto ni jukumu kubwa ambalo bado hayuko tayari kulichukua. "Kwa sasa bado nakua. Kupata...
  14. josephdeo

    JamiiForums Tanzania Nakuomba uniruhusu nikupende

    Mara kadhaa nimepata wasaa wa kutazama sura yako kwa ukaribu zaidi. Hatua chache toka ulipo hiyo imenipa wasaa wa kuutazama uziri wako nikiwa karibu. Sio mtaalamu katika kuyaeleza maneno yanayo husisha mapenzi. Ila leo nimeona ni busara zaidi kukueleza haya. Inanilazimu kukueleza kwa kuwa...
  15. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti kubwa kati ya kutafuta mke/mume na kutafuta mpenzi

    Kuna njia au namna za kutafuta mke/mume na kutafuta mpenzi. Ni vizuri ukajua kuzitofautisha. Njia utakazotumia kutafuta mke/mume ni tofauti na njia utakazotumia kutafuta mpenzi. Ukijichanganya kwenye hizo njia, mwisho wake huwa ni kilio; mfano ulitumia njia za kutafuta mpenzi ili upate...
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Zawadi niliyopewa na mpenzi wangu siku ya "Full Moon" 18.02.2022

    Bhanigini bhane, Mimi sio mdau wa mahaba licha ya kwamba nina mapenzi tele. Mahaba ndio chachandu ya mapenzi, mambo ya kuitana bebi, switi hati hayo kwangu ni matumizi mabaya ya sauti. Kunyonyana madenda na kubusubusu kwangu hizo ni kero. Mambo ya kukumbatiana ni kupakana tu taka sumu za...
  17. ragin

    JamiiForums Tanzania Utajisikiaje zawadi aliyokupa mpenzi wako inafanana na ya mchepuko wake?

    Pale mpenzi wako anakuletea zawadi iwe ya gari, nyumba, saa, boxer, mkoba, au kitenge n.k Ghafla ukashona kitenge kile tena akakudizainia mshono kuwa ndo anoupenda jumapili moja mkatoka out nae wakati mpo matembezi kuna shost anamjua mchepko wa mpenzi wako na aliwahi kumwona kapost pc whatsapp...
  18. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Moja Kati ya faida Bora kabisa utakazo zipata baada ya kuachana na mpenzi wako

    Uta stop Ku pretend kumpenda / kumkubali / kumtolerate ndugu kimeo wa ex wako ambae katika hali ya kawaida usingeweza kuwa na ukaribu nae ila ulizamika kuwa Na ukaribu nae Kwa Sababu ya kuwa katika mahusiano Na ex wako.. Kwa mfano binafsi niliwahi kutoka Na dada mmoja yupo vizuri sana ila ana...
  19. Equation x

    JamiiForums Tanzania Muhudumu wa 'lodge' ni pisi kali kumzidi mpenzi wangu niliyempeleka hapo mapumzikoni

    Kuna kipindi fulani nilienda Kahama kwa shughuli za kimiangaiko; kutokana na kuwa na marafiki wengi, nikaomba si vibaya kuomba 'appointment' na mwenyeji wangu mmoja anayeishi katika mji huo. Alipofika, tukabadilishana mawazo, kula kunywa na hatimaye tukaelekea mapumzikoni. kufika...
  20. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna ubaya mpenzi akitaja jina la mtu mwingine wakati mnafanya mapenzi?

    Je, kuna ubaya gani ikitokea hivyo? Imagine wewe ni Juma, lakini wakat una sex na mpenzio anamtaja Benja😅😅😅 Au wewe ni Asha, una sex na Mohammed, mudi wakati yuko katikati ya unono anamtaja Hamida😅😅😅😃😃
Back
Top Bottom