Katika mahusiano mapya ukigundua mpenzi uliyenaye hakukubali huwa unachukua hatua gani?

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Mwanamke au mwanaume yeyote anapokuwa mwenye akili timamu zilizo tulia katika mahusiano mapya kuna vitu ni lazima utavigundua kama huyu mpenzi wangu ananikubali au hapa nilipo nalazimisha huu uhusiano. Kwani utagundua huyu mtu nilie naye hanikubali

Je, ukigundua mahala ulipo haukubaliki huwa unachukua hatua gani?
 
Tafta sababu kwann hakukubali? Ukipata sababu bas chukua maamuzi.

Kuna mda upya wa mahusiano unaweza fanya mhusika mmoja amchukulie mwenzie poa maana bado kuna kuwa hakuna zile strong feelings zilizojengwa baina yao {anza kuzijenga}
pia mtu anaweza kukuchukulia poa kwa sababu ana mtu mwingne sasa hapa ni ww tu kuachana nae
 
Dont panic, make sure mna sex kama vichaa mpaka kila mmoja apate uraibu (addiction) kwa mwenzake, penzi jipya halianzi kwa wote kuwa hot 100%. lazma mmoja awe low kidogo, sex ni jibu la tatizo lako

Zamani kupata true love ilikua ni shida, kwa sasa hata kupata dem tu ni mzozo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom