mpenzi

  1. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anapenda kucheka, nifanyaje?

    Doh, najuta kutoa email yangu Maana ndio mvua za maswali kama haya, Money Penny, me Nina mpenzi wangu nampenda Sana, lakini ana tatizo moja Tu Money Penny: Tatizo gani? Kijana: anapenda Sana kucheka, Yani akikutana na kitu kinachekesha, hapo mjipange DK 10 mpaka 15 anacheka yeye tu. Money...
  2. JamiiForums Tanzania Simu ya mpenzi wangu haina amsha amsha. Nifanyeje?

    Kumekucha Ila fans wangu mnajua sana kunipa Raha na kucheka Jana nimepata kero Kwa mrembo mmoja Kwa email yangu, anasema kuwa "Simu ya mpenzi wake, haina AMSHA AMSHA Haina ex anaemsumbua Madeni wanaomsumbua Wadada, mijimama inayomsumbua Contact ya simu yake imejaa Marafiki zake WA KIUME...
  3. JamiiForums Tanzania Dada punguza maswali ya kijinga kwa mpenzi wako

    Kuna mwamba amenicheki jana, akawa na malalamiko yake ana mdate dada wa miaka 37, na yeye mwamba ako na miaka 45 Sasa kero yake moja tu, anasema wame date kwa miezi 6, juzi dada anamwuliza huyu kaka swali hili; ''Babe, samahani nikuulize swali, eti kwanini unanipenda, kwanini umenichagua...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu alinidanganya yeye ni bikra!

    Habari wana Jf Leo naandika uzi huu moyo wangu ukiwa umejaa huzuni sana sielewi hata la kufanya! Ipo hivi mwaka 2021 nikiwa chuo, nilikutana binti mmoja classmate, nikatokea kuvutiwa naye maana alikuwa na kila sifa nilizohitaji; Sura, Tako + Mguu wa bia. Basi mwanaume nikamtongoza binti...
  5. JamiiForums Tanzania Antony wa Man United aondolewa timu ya taifa kwa tuhuma za kumpiga mpenzi wake

    Uongozi wa Timu ya Taifa ya Brazil imechukua maamuzi hayo dhidi ya nyota huyo wa Manchester United ikidaiwa alimshambulia kwa kumpiga kichwa Gabriela Cavallin walipokuwa hotelini Januari 15, 2023. Gabriela ambaye kwa sasa hana uhusiano na Antony (23) anadai aliumizwa kifuani na hivyo kulazimika...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanaume, natafuta mpenzi

    Mimi ni mwanaume, umri miaka 24 natafuta mpenzi awe mzuri mweusi au mweupe, umri wowote. Akiwa Dar itapendeza.
  7. JamiiForums Tanzania Utafanya nini ukigundua mpenzi wako amekuambukiza HIV tena kwa makusudi?

    Habari wakuu, Long time sana sijachapa uzi humu, Sasa nimekaa nikawa najiuliza kwamba hivi mfano wewe upo kwenye mahusiano au ulilala na mtu fulani alafu after unakuja kugundua kwamba huyo mtu ni muathirika wa HIV na anaifahamu hali yake ila hakukupa taadhari yoyote na sasa tazama...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kila ninachoomba ananipa isipokuwa muda wake, nifanyeje?

    Mimi nipo kwenye mahusiano na mwanaume yapata miaka mitatu, kabla sijamkubalia alikuwa muda mwingi tunawasiliana ila nilipoanza nae mahusiano tu alibadilika; akawa bize muda mwingi na akipata mapumziko atatumia kuangalia mpira tu. Hatuishi mbali sana ila kuonana inaweza pita mwezi mzima...
  9. JamiiForums Tanzania Marafiki wa mpenzi wangu, NI wanafiki Sana!

    "Hakuna watu wanafiki huku Duniani kama Marafiki WA mpenzi wangu (mashemeji WA KIUME) Wanajua ubaya, siri, dhambi nyingi anazofanya mpenzi wangu lakini watakunafiki mwanzo mwisho😱 Wakikuona Tu wanakusalimia, shemeeejiiii, au shemeji wewe Woi 🚶🚶🚶🚶🚶🚶 Mashemeji popote mlipo Mungu atawachoma na...
  10. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ananiangalia kwa jicho la ukali kweli

    Huyu mpenzi wangu simuelewi kabisa, tangu mchana leo amekuwa mkali kweli na ananiangalia kwa jicho la hasira. Na ameanza kubadilika baada ya kuniona nakula nazi mbichi tatu, mihogo mibichi sita, na sasa namalizia karanga mbichi sado moja. Sasa sijui, hapendi nile vitu vya asili; au anataka...
  11. JamiiForums Tanzania Nilivyofyeka shamba la nyanya ekari moja la jamaa aliyekuwa akinichapia mpenzi wangu

    Miaka kadhaa nyuma nikiwa mkoani iringa kuna mwamba mmoja alikuwa akinichapia shemeji yenu. Jamaa hakuwa na shughuli nyingine zaidi ya kilimo, Alilima nyanya na pilipili hoho, mwaka huo 2019 tenga la nyanya kwa DSM lolifika 90,000. Jamaa nyanya ilimpa jeuri, nilijiridhisha bila shaka kuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Sijawahi kuambiwa maneno yakaniuma kama aliyoniambia aliyekuwa mpenzi wangu, sitayasahau kamwe

    ,
  13. JamiiForums Tanzania Ni Wimbo gani wa Kikongo ( Sebene au Rhumba ) uliucheza vyema 'Stejini' hadi Ukampata Mpenzi wa Kukupenda?

    Kila nikiukumbuka Wimbo wa Maggie ( hasa Sebene lake ) wa Koffi Olomide nakumbuka mbali mno kwani nilivyokushauri Nauserebuka Kiustadi katika Sherehe uliweza kunipa Mpenzi ambaye baadae alinikataa kwa kuona nimeanza kupenda Nyimbo za Bob Marley na Tupac Shakur. Pia kila nikiupiga Wimbo wa...
  14. JamiiForums Tanzania Mtathmini mpenzi wako, anafaa kuwa mke/mme?

    Kwa haraka haraka, muonekano wa mtu kimavazi, kimiondoko, kimaongezi, na alivyosuka kichwani; humtambulisha huyu ni mtu wa namna gani, na kupitia maeneo hayo unaweza pia kujua tabia ya muhusika. Kwa hiyo kama wewe ni mwanaume na unatafuta mke, kwa haraka haraka anza na mavazi; kama anavaa...
  15. JamiiForums Tanzania Nimfanyeje mpenzi wangu aache kutukana matusi tukiwa katikakati ya tendo?

    Baada ya kuhamishiwa mkoani dar kikazi siku moja nikiwa kwenye gari yangu nikavutiwa na binti mmoja kituoni alipokuwa amesimama nikampa lift kuanzia hapo tukazoeana na mwisho akapajua home napokaa. Sasa nipo naye hapa napokaa wiki inaenda ya tano hivi yaani ni pika pakua but anafanya kazi huko...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Je, online betting inaweza kuwa chanzo cha kipato?

    Kubashiri mtandaoni kwenye tovuti au Apps kama vile Sokabet kunaweza kuwa chanzo cha mapato, lakini ni muhimu kutambua kwamba si njia ya uhakika ya kupata pesa. Ingawa baadhi ya watu wamefanikiwa kupata faida mara kwa mara kwa kubashiri mtandaoni, wengine wanaweza kuishia kupoteza pesa kwa muda...
  17. M

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Hakimu wa kiume ajigeuza binti ili amfanyie mtihani mpenzi wake

    HAKIMU WA KIUME ADAIWA KUJIGEUZA BINTI, AKAMATWA AKIMFANYIA MTIHANI MPENZI WAKE Hakimu mmoja nchini Uganda amefutwa kazi kutoka utumishi wa mahakama baada ya kukamatwa kwa kujifanya mwanamke ili kufanya mitihani ya sheria kwa niaba ya mpenzi wake. Ammaari Musa Semwogerere aliteuliwa kuwa Afisa...
  18. JamiiForums Tanzania Mshahara wa mpenzi wangu NI TSH 200,000 Kwa mwezi, nikae au nimkimbie?

    Haya mnaolipwa laki 2 naomba mje mumsaidie dada WA watu amekwama huku? Kwan skuhizi mishahara inaanzia TSH ngap wajameni au ndio vita ya Eukran na Russia imebana Kila kitu mpaka mishahara? Jamani TSH 200,000 ndio anapewa Benki ishakatwa makodi yote Ps: Mpenzi wake nI mwanaume jamaa, sio...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mpenzi (Mume)

    Mimi Ni mwanamke mwenye umri wa miaka 23, natafuta mume. Aliye serious karibu PM kwa maelezo zaidi, thanks!
  20. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anajikojolea kitandani nifanyaje?

    Uzi mama Uzi unajieleza Usiniletee mbambamba sijui maswali sijui picha mambo ya kitoto Hapa FANYA Tu kumsaidia kikojozi afanyaje na anaekojolewa afanyaje? Kama ni maombi alishaenda kama mafuta ya mwamposa alishapaka, nabii alishamwombea, mfungo alishafunga ila dada etu anajikojolea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…