Mwamba wa demokrasia Afrika amelala, Mwamba aliyefungwa jela kwa uhaini akitetea watu wake amelala, Mwamba aliyepinga matokeo ya uraisi mahakamani na mahakama ikabatili ushindi wa Raisi Uhuru Kenyatta amelala, mwamba ambae huwezi kumwelezea kwa maneno peke yake ikatosha amelala, Mwamba aliyependwa na raia wote wa hali ya chini na wa hali ya juu amelala, ni majonzi mazito.
Nikiwa kama moja ya watanzania tuliobahatika kumuaga marehemu mheshimiwa Jaramogi leo katika uwanja wa Nyayo, nakiri na kusema kua tenda mema kwa watu, wema hulipa hata kama wewe haupo, leo Kenya nzima inamlilia Jaramogi, si watu wa chini wala mabwanyenye wote wanalia kama wamefiwa na family member.
Katika kitu nimefurahi kuona leo msibani kama mtanzania, msiba ni kama ulikuwa wa kwetu, maana tulikua na wawakilishi watatu muhimu,
Rais mstaafu, makamo wa Rais, na mfanyabiashara mashuhuri, tena wote wakiwa viti vya mbele kabisa, ni bahati iliyoje kuendelea kuenzi urafiki wetu na Kenya.
Kwa kifupi Mstaafu bado anang'ara ajabu, hana dalili ya kuzeeka leo, tupo nae sana, big up mstaafu
Mpango kwa upande wake kama ilivyo ada kwake hana makuu mzee wa watu, unyenyekevu kwake ni hazina,
Huyu tycoon Rostam yeye ndiyo kwanza anasuka mipango, kama nchi tuna mfanyabiashara technical sana, imagine anakaa second row kutoka President Ruto, yaani nyuma yake, na yeye ni mfanyabiashara tu(kulikua na wanasiasa wengi wangeweza kukaa pale, lakini protocal wakampa yeye na Waziri wetu wa Mambo ya Nje) huyu atatusaidia sana kuingia maeneo mbalimbali hata wanasiasa wakikosana, pesa haijawahi kushindwa, inapenya kila pahala yaani shaaaaaa
Nimefurahi sana kuwaona viongozi wetu, japo wakati wa msosi mmekaa kivyenu (sisi ni vijana wenu muwe mnakula nasi, tujifunze namna ya kuishi na wakubwa😄),
Nawaombea kwa Mungu awajaalie kila lililojema mzidi kutuwakilisha, lakini kwa hotuba zile za yule askofu, mstaafu ujitafakari (natania tu😄)
Naomba kuwasilisha
oooh, nilikua nimesahau, MVP leo alikua Uhuru Kenyatta (UhuNye) mzee wa kamunyweso