mpango

  1. I

    JamiiForums Tanzania Marekani yatangaza kuanza majadiliano na Congo kuhusu mpango wa uchimbaji madini ili kubadilishana na ulinzi.

    Wakuu, Marekani hivi karibuni imetangaza kwamba iko tayari kw mazungumzo kufuatia ofa ya Rais wa Congo Felix Tshekedi la kuipa Marekani madini mbalimbli ili Marekani iweze kuisadia Congo kupambana na kundi la M23 Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, nchi yenye utajiri wa madini kama cobalt...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa: CHADEMA imepoteza imani na wananchi, No Reforms, No Election ni mkakati butu

    Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Mchungaji Peter Msigwa ambaye kwa sasa ni Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM ameibua mjadala mkali kuhusu hali ya CHADEMA, akidai kuwa chama hicho kimepoteza imani kwa...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Poland yatafakari mpango wa kumiliki silaha za nuclear za kujihami.

    Waziri mkuu wa Poland Donald Tusk anasema ni wakati sasa wa Poland kufikiria kuwa na silaha za juu zaidi ya za kawaida ikiwemo silaha za nuclear. Hatua hii inakuja baada ya Marekani kujiondoa kama mdhamini mkuu wa usalama wa Ulaya pamoja na kuwa na sera zisizotabirika tena katika mahusiano...
  4. Ritz

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wa mambo ya nje wa Ufaransa, Ujerumani, Italia na Uingereza wanasema wanaunga mkono mpango unaoungwa mkono na Waarabu wa kuijenga upya Gaza.

    Wanaukumbi. Mawaziri wa mambo ya nje wa Ufaransa, Ujerumani, Italia na Uingereza wanasema wanaunga mkono mpango unaoungwa mkono na Waarabu wa ujenzi wa Gaza ambao ungegharimu $53bn na kuepuka kuwafukuza Wapalestina kutoka katika eneo hilo. =============== BREAKING: The foreign ministers of...
  5. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mpango wa uhamishaji wakazi wa gaza wazinduliwa!

    Mpango wa Uhamiaji wa Wakaazi wa Gaza Wazinduliwa Israel imekamilisha maandalizi muhimu ya kuwezesha uhamiaji wa wakaazi wa Gaza, mradi tu nchi zilizo tayari kuwapokea zinaweza kupatikana. Maafisa wa usalama waliiambia Israel Hayom kwamba utaratibu umeanzishwa kuruhusu hadi watu wa Gaza 2,500...
  6. Webabu

    JamiiForums Tanzania Nchi za kiarabu zaupiga kofi mpango wa Trump na Netanyahu kuhusu Gaza. Wasema wana mpango bora zaidi

    Viongozi wa nchi za kiarabu waliokutana huko Cairo wamesema Gaza itajengwa kwa plani nzuri waliyokwisha kuibuni wakati wapalestina hao wakiwa humo humo ndani. Raisi Elsisi ambaye mara nyingi ameonekana kama kibaraka mkubwa wa Marekani ameongoza kwa kutoa tamko kali akisema zaidi ya kuijenga...
  7. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Kwaresma Sio mpango wa Mungu, ni mihemko tu ya kibinadamu

    Kwaresma haiko kwenye biblia, Yesu hakuwahi kufunga kwaresma. Yesu alifunga siku arobaini ili akajaribiwe na aanze huduma ya kufundisha na kuponya Kwa miaka mitatu. Kwaresma ETI wanafunga ili waende kwenye mateso ya Yesu, hii Sio sawa, tusipotoshe neno la Mungu lilivyosema.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Unabii wa makamu wa Rais mstaafu Mh Mpango utatimia 2026

    Makamo wa Rais kwa akili timamu ameamua ku step down nakuwaacha vijana waongoze... ila nyuma ya pazia wapambe hawakufurahi ila hawakufurahi kwa sababu Mh Mpango ameona mbali kuliko wenzake wameona na kiukweli hakuna atakaye kwambia uwone nijukumu lako uwone. Alama zinaonyesha uwenda utabiri na...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Ukraine yakubaliana na Marekani kuhusu mpango wa Madini, asema afisa wa Ukraine

    Tukiona DRC kajisalimisha kwa USA ili asaidiwe kuwaondoa M23 tusishangae! Je, Putin atakuwa ameingiwa ubaridi sasa? Habari kamili; Ukraine imekubali masharti ya mkataba mkuu wa madini na Marekani, afisa mkuu wa Kyiv ameiambia BBC. "Kwakweli tumekubaliana na marekebisho kadhaa mazuri na tunaona...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Erik ten Hag hana mpango wa kurejea kwenye soka hivi karibuni

    Kocha Erik ten Hag ametoa kauli ambayo inaonesha kuna uwezekano wa kutorejea kwenye mchezo wa Soka badala yake akaelekeza nguvu kwenye kazi zake binafsi. Akizungumza kwa mara ya kwanza tangu alipositishiwa ajira yake Manchester United, miezi minne iliyopita amesema kwa sasa anajihusisha na...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Afya za viongozi: Lissu, Samia na Mpango punguzeni uzito wa mwili

    Mimi binafsi najua kwamba afya zetu ni muhimu sana ! Tunavyokuwa watu wazima ni lazima tubadilike bila hivyo magojwa yanaongezeka sana. Mimi binafsi napata shida sana kupungua na kwasababu hiyo nakula mara mbili kwa siku mlo wangu wa kwanza ni kuanzia saa nne na nusu asubuhi na wa mwisho sio...
  12. Halmashauri ya Jiji DSM

    JamiiForums Tanzania Madiwani Jiji la DSM wapitisha Rasimu ya Mpango na Bajeti ya TShs. Bilioni 290.5 kwa Mwaka 2025/26

    BARAZA la Madiwani Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, limefanya Mkutano Maalum wa Mapitio ya Mpango na Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2024/25 kwa kipindi cha nusu mwaka (Julai-Disemba, 2024) na kisha kufanya Makadirio ya Mpango na Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2025/26 wenye Jumla ya TShs. Bilioni 290.5...
  13. Moaz

    JamiiForums Tanzania Vyama vingi vya upinzani kwenye mfumo wa demokrasia ni sehemu ya mpango wa demokrasia kandamizi

    Vyama vingi vya upinzani barani Afrika, ikiwemo Tanzania, vimeundwa ndani ya mfumo ule ule wa kidemokrasia ambao tayari ni mtego kwa Waafrika. Hii inamaanisha kuwa hata kama chama cha upinzani kikishinda, hakina uhuru wa kweli wa kufanya mabadiliko kwa sababu: 1️⃣ Mfumo wa Demokrasia Umewekwa...
  14. Harvey Specter

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yatupilia mbali ombi la kibali cha kupeleka maombi ya kufanyia mapitio uhalali wa Makamu wa Rais, Dr. Mpango kuendelea kubaki madarakani

    Mahakama Kuu imetupilia mbali ombi la Wakili Tenzi Anthony Nyundulwa (Mleta Maombi) la kuomba kibali cha kupeleka maombi Mahakama Kuu kufanyia mapitio uhalali wa Makamu wa Rais, Dr. Philip Mpango kuendelea kubakia madarakani kufuatia taarifa za kuwasilisha barua ya kujiuzulu katika nafasi hiyo...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Mfalme wa Jordan kaenda white house kamuunga mkono Trump kuwahamisha wapalestina, Misri na nchi nyingine kukutana Saudi Arabia kusuka mpango kazi

    Mfalme Abdullah wa Jordan na Mwanawe Wamtembelea Trump Ikulu Mfalme Abdullah wa Jordan na mwanawe wametembelea Ikulu ya White House kwa mazungumzo na Rais wa Marekani, Donald Trump. Mkutano huo uliangazia juhudi zinazoendelea za kubadilisha mwelekeo wa Mashariki ya Kati, hasa kuhusu uhamishaji...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mpango wao Utopolo sio huo tu wameshajipanga kutuangamiza kombe la Shirikisho ili tufanane, msiseme sikuwaambia

    Kikosi kazi cha Utopolo bado kinaendelea kuhakikisha kuwa umoja unapungua ama kufa kabisa ili tuanze kucharurana na hatimaye mwezi Machi washushe maangamizi mengine kwetu, sasa hivi kikosi chao kinasubiri kujua nani amepangiwa kucheza na simba hatua ya robo ili wamalize shughuli kwa kushirikiana...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania JANETH MAHAWANGA; Anauliza; Ni Upi Mpango wa Serikali wa Kuhakikisha Jamii Inapata Uelewa Kuhusu Umuhimu wa Kulipa Kodi na Kudai Risiti?

    JANETH MAHAWANGA, Mbunge wa Viti Maalum; Anauliza; Ni Upi Mpango wa Serikali wa Kuhakikisha Jamii Inapata Uelewa Kuhusu Umuhimu wa Kulipa Kodi na Kudai Risiti? Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad chande amesema kuwa Serikali inaendelea kuchukua hatua mbalimbali ili kujenga uelewa kuhusu umuhimu...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania JANETH MASSABURI: Serikali ina mpango gani wa kutenga bajeti ya elimu kwa umma kwa masuala mbalimbali yanayotarajiwa kutekelezwa nchini?

    JANETH MASSABURI, Mbunge wa Viti Maalum Anauliza; Serikali ina mpango gani wa kutenga bajeti ya elimu kwa umma kwa masuala mbalimbali yanayotarajiwa kutekelezwa nchini? Serikali imezisisitiza Wizara zote na taasisi zake kuendelea kutenga fedha kwenye mafungu yao kwa ajili ya kutoa elimu kwa...
  19. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Kwa nchi zinazotegemea misaada hali inazidi kuwa ngumu, Elon Musk aanzisha mpango wa kuiua USAID

    Elon Musk ameanza kutekeleza mpango wa kuliua Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID). Amesema anaamini USAID ni "shirika la kihalifu" ambalo linapaswa "kufa." Kupitia mtandao wa X Musk alisema “USAID ni shirika la uhalifu. Ni wakati wa kufa” Hii ni baada ya taarifa iliyosema...
  20. Strong and Fearless

    JamiiForums Tanzania Jinsi Wanawake wanavyoweza kutambua Mwanaume ambaye ana malengo ya ndoa na Mwanaume ambaye hana mpango wa kukuoa

    Wanawake wanapaswa kuwa na ufahamu wa kutambua ni mwanaume gani yuko tayari kwa ndoa na ni nani ambaye hana malengo ya ndoa .Hii itawawezesha kuwa na uamuzi bora kuhusu uhusiano wao na kuepuka kuumizwa. Mwanaume Aliye Tayari kwa Ndoa: 1. Anaonyesha nia ya dhati: Mwanaume ambaye yuko tayari...
Back
Top Bottom