Mpambanaji17
Senior Member
- Feb 18, 2024
- 100
- 181
Yaani unatumia bando linaisha ata hujamaliza siku akati kuna Pocket wifi za yas kwa sh140,000 unapata kifaa chenywe kinakaa na charge masaa 8 mpaka 10 nakupa na unlimited bundle mwezi mzima baada ya mwezi utakua unarenew kwa 70,000 tu kupata unlimited bundle yako.