mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. Kubwjing

    TANZIA Arusha: Askari Polisi auawa Picnic bar akidhaniwa jambazi baada ya kuzidiwa kilevi na kwenda kulala kwenye gari lisilo lake

    ASALAAM ALEYKHUM WADAU, Aisee bana kuna Askari aitwaye Omari Mnandi, aliyekuwa ameingia katika gari binafsi la Mtu aliyekuwa akijivinjari maeneo ya Picnic, alijisahau akajiachia kama yupo kwenye gari lake mpaka kusinzia...(Nafikiri walikuwa katika Doria ya usalama) kilichotokea alipigwa na kitu...
  2. Genius Man

    Marekani kuzuia watanzania kuingia nchini humo mpaka dhamana litakuwa limesababishwa na wale CCM walienda kufanya uhalifu

    Marekani kuzuia watanzania kuingia nchini humo mpaka dhamana litakuwa limesababishwa na wale CCM walienda kufanya uhalifu. Kuna vijana wapumbavu wapumbavu walienda kutekeleza uhalifu juzi hapa dhidi ya watanzania waishio huko wasio muunga mkono mama Abdul. Kutokana na misimamo mikali ya...
  3. didy muhenga

    Vitu ambavyo hautafanya mpaka 29 October ipite

    Wakuu karibun mtaje vitu ambavyo hamtovifanya mpaka nchi hii ikombolewe. Binafsi naanza kama ifuatavyo 1. Sitofanya mapenzi mpaka October 29 ipite. 2. Sitoangalia picha au picha mjongeo yoyote yenye maudhui ya ngono. Karibu mtiririke
  4. Magufuli 05

    GE2025 Oktoba 29 hatutachagua mtekaji. Damu hizi zitakulilia mpaka mwisho wa uhai wako

    Wewe unayeteka watu nakwambia hautachaguliwa kwa matendo Yako haya. Na hizi damu za watu wasio na hatia wana wa Mungu zitakulilia mpaka mwisho wa uhai wako. Huwezi kuteka watanzania hivi halafu ukalala usingizi. Mungu huyu wa mbinguni tunamuomba kila siku akutendee adhabu kwa kiwango Cha...
  5. Yoda

    Watawala bora wa kijeshi katika Afrika waliobadilisha mataifa yao kutoka utawala mbovu mpaka utawala bora

    Hawa ni viongozi wa kijeshi Africa waliotwaa madaraka kutoka tawala za kiraia zilizoharibika na kujaa udhalimu kisha kuyaweka mataifa yao katika mkondo sahihi wa mageuzi, haki na utawala bora. 1. Jerry Rawlings- Ghana 2. Olusegun Obasanjo- Nigeria 3. Thomas Sankara- Burkinafaso 4. Meles...
  6. K

    Hivi Leo bado Kuna kile kizazi mpaka sasa mama yupo, bibi yupo na mama wa bibi pia yupo?

    ..... yani wewe hapo upo mama yako yupo, bibi yako yupo, na pia mama wa bibi yako pia yupo? yani mama mzaa bibi, inafurahisha sana eeh🙂
  7. Mashamba Makubwa Nalima

    Barua kwa Kwanza Kwa Mr. Ebbo: Labda leo Wamasai wangepata mtetezi, shida wanazopitia sio, waliitwa mpaka "waKenya", Huu ndiyo UTU???!!!

    Kwa kinachotokea kwa Wamasai sasa sio UTU kabisa na nakumbuka mara kadhaa tulipokutana uliniambia kuhusu ndugu zako Wamasia unavyotaka kuona wakiheshimiwa kama watu wengine. Leo hamna thamani yoyote, waandishi wa habari hawawataki kuwasikia na kureport taarifa zenu, wanasiasa wanafurahi...
  8. H

    Mrejesho: Harakati za kutafuta mpaka kuandikishwa JWTZ

    Habarini ndugu ? Ninawashirikisha baadhi ya harakati nilizofanya katika kutafuta kuandikishwa na kuwa askari JWTZ. Ni ndoto yangu tangu nikiwa mdogo kiumri kuwa askari wa JWTZ hususa ni kuwa komandoo. Baada ya kuhitimu kidato cha nne nilitaka kwenda jeshini wazazi wangu wakanikatalia wakasema...
  9. K

    Kosa la binti huyu mwanachuo lilikuwa nini mpaka atekwe na kuuawa mkoani Mbeya?

    Shyrose alitekwa siku ya Jumamosi na watu wasiojulikana na wakaanza kumpigia Baba yake simu kumuomba Pesa ili wamuachie huru huku wakimtumia Video fupi wakimuonesha wanavyomtesa. Baada ya kupata Video hizo Baba Mzazi Dkt. Mabula Mahande alituma kiasi kidogo cha pesa ili Mwanae asiumizwe lakini...
  10. M

    Nini kinaendelea Facebook mpaka wameondoa option ya kutafuta post na vipengele vya kuchuja ?

    Kwa sasa uki 'search' facebook matokeo yanakuja kwa mchanganyiko wa post, picha na video bila mpangilio maalum. Hakuna sehemu ya kuchagua uone post peke yake Hakuna sehemu ya kuchuja posti mpya, kwa mwaka, ulizoziona, n.k.
  11. Mashamba Makubwa Nalima

    Kwahiyo CRDB nayo mpaka tarehe ishirini na tisa, acheni uoga nendeni ofisini

    Yeah kama wasiojulikana walivyosema comments, hashtags hazibadilishi chochote (Nimeparaphrase tu, ila ndiyo point yao ya msimu). Ni pesa zenu, ni jasho lenu,mnaogopa nini kwenda ofisi za CRDB na kuona mnarudishiwa vipi pesa zenu au miamala inasolviwa. Nimepitia comments kwenye page za CRDB...
  12. ndege JOHN

    Kula yako ipoje? huwa unakula unachokiona au mpaka ujiandae kiakili

    Kwa mfano kwa Sisi wapenda pombe huwa kula yetu ni ya Kiasi tunamfuata Janabi, sasa Mimi binafsi ukiniamsha asubuhi ukanishtukiza eti kula supu ya kuku hii hapa aisee huwa siwezi. Mimi napenda niamke asubuhi nianze kujiandaa na kutafakari nini Leo samaki au utumbo ndizo au majani ya maboga au...
  13. Chizi Maarifa

    Ritz, Hawa Mayahudi mpaka sasa wangapi wameshafungwa kwa kufuata yale maamuzi ya SA?

    Once a Kobaz always a Kobaz. Nlikuwa namsoma Ritz akishaambiwa maneno na sheikh ubwabwa anakuja anzisha uzi JF na tatizo la Ritz lugha ya Kibeberu pia haifahamu. Ya kisunna pia haifahamu amekariri tu mistari ya Quran. Alikuwa aanzisha nyuzi daily, Netanyau kauawa, Israel wamehukumiwa kufungwa...
  14. tang'ana

    Ni formula gani inatumika mpaka mtu kuitwa na mabinti mubaba hapa mjini?

    Habari zenu watu wa mapenzi? Hivi ni criteria gani hapa mjini inayofanya mtu uitwe mubaba na hutu tubinti twa 2000? Iko hivi kuna siku nilikua bar ya komida kimara temboni na jamaa zangu,tumekula vyombo sana,wenzangu wote wakakata moto wakawa hawajielewi so nikawa na kazi ya kuwasomba kwenye...
  15. Dennis Robert Shughuru

    Alianza Magufuli kufungia mitandao sasa ametuachia a beautiful playbook ambayo mpaka leo inatumika na itaendelea kutumika sana

    Katika mambo ambayo Magufuli alikuwa hayapendi ni uhuru wa vyombo vya habari mara zote alivichukia Alishawahi kutamka kwamba ingependeza malaika waje wafunge mitandao Tanzania na aliongea waziwazi usiniambie ni mtandao kwa sababu alitamka kwa kinywa chake Mwaka 2018 aliifungia jamiiforums kwa...
  16. T

    Nini kimetokea mpaka marais watatu wenye asili ya Ukristo wakafa ?

    Nini kimetokea mpaka taifa likapoteza marais watatu wenye asili ya ukristo je tunahitaji fungua kesi ya wazi kujibu hili swali gumu?
  17. Money Penny

    Mpenzi wangu amesema ikisimama asubuhi haisimami tena mpaka kesho asubuhi je hii ni kawaida au mwanaume ni shoga?

    Haya Marijali naomba mje mjibu swali Du, kwa siku mara moja, alooo!
  18. J

    GE2025 Rais Samia, hii ahadi ya kuondoa tatizo la umeme mpaka lini?

    Moja kati ya mambo yanayokera katika nchi hii ni changamoto ya kukatika kwa umeme. Nakumbuka nikiwa kule kusini mwaka jana, nikiwa kwenye hotel Moja, umeme ukikatika ghafla. Pembe yangu kulikuwa na wazungu wanne wakipata vinywaji. Mara umeme ulipokatika walisikika wakisema, " welcome to...
  19. B

    MPAKA LINI TUTAKUJA HURU?

    Kwa mawazo yangu nafikili nch tutakuja kua huru pale taasisi mbili muhimu zitakapokuja kupata viongozi wenye akili na wenye kujielewa. Wenye kujali maslai ya taifa zaidi kuliko kujali maslai yao binafsi. Taasisi hizo ya kwanza ni jeshi la polish. Siku ukipata kiongozi anaejielewa na kuelewa kua...
Back
Top Bottom