mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mpaka leo kuna watu wanaishi nyumba za kupanga?

    Yaani mpaka leo kuna watu wanaishi nyumba za kupanga? Poleni aisee ila niwaambie kitu huo ni uzwazwa inakuaje mpaka leo kijana mzima unaishi nyumba za kupanga? Sasa kipindi wazazi wa wenzenu wanapambana kuwatafutia viwanja na mali watoto wao nyie wazazi wenu walikuwa wapi? Shame on them. Ili...
  2. JamiiForums Tanzania Mpaka leo kuna watu wanatumia Tecno na Infinix

    Enyi watu badilikeni basi inakuaje mpaka leo kuna watu wanatumia tecno? Kuna jamaa mmoja nimepishana nae njiani eti linatumia tecno aisee nilishikwa na kichefuchefu nusura nitapike yaani jinsi nilivyokerekwa na kuchukia baada kumuona linatumia tecno hebu badilikeni. Yaani mimi nikimuona mtu...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa yale ambayo ameyafanya Rais mpaka sasa anafaa kupongezwa sana

    Tufikie hatua tuweke pembeni tofauti zetu. Naona kuna mwanga mkubwa mbeleni kwa mwenendo ambao unaonekana kwa matendo ya Rais. Ni Rais mchapa kazi na ana nia ya dhati ya kufanya kazi na watanzania wote. Naamini akiendelea hivi kuna siku tutakuwa na nchi nzuri huko mbeleni. Hili la kuruhusu...
  4. R

    JamiiForums Tanzania ILE TIMU ISIYOKUWA NA PESA MPAKA MABASI YAKE KUSHIKWA KUWEKA KAMBI DUBAI

    ILE TIMU inayosemekana Ina hali mbaya ya kipesa imeweka Kambi ya wiki moja Dubai. Timu hiyo ambayo ilisemekana imevuliwa ubingwa wa mapinduzi kumbe ilikuwa na mipango yake ya kujiandaa na michuano ya kimataifa imeonyesha tofauti ya club kubwa na ndogo inapokuja mashindano ya kimataifa
  5. M

    JamiiForums Tanzania HII TIMU INAYOMRUBUNI FEI TOTO ILI IMSAJILI MPAKA AKAVUNJA MKATABA NA KLABU YAKE YA YANGA MBONA AIMTAMBULISHI MPAKA SASA KAMA YUKO HURU?

    Mpaka sasa sijaelewa kuna tatizo gani kwa mchezaji aliyevunja mkataba na klabu yake na akaona yuko sahihi kisheria na yuko huru kusajiliwa na timu yoyote ile nashangaa timu iliyomrubuni na kumpa mamilioni ya pesa akalipe na kuvunja mkataba imeshindwa kumtambulisha mpaka sasa, Mchezaji huru tena...
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi: Huku watumishi wengi wakipata nyongeza ya chini ya elfu 70 kuna watumishi wameongezewa mshahara mpaka 90% ya mshahara wao

    Habari ndio hiyo. Hili jambo watu wa benki kitengo cha mikopo wanalijua, watumishi wa hazina wanalijua. Kazi iendelee. Hizi ni tetesi nilizozipata kwa mmoja wa wanufaika wa 90%.
  7. JamiiForums Tanzania Daraja la Tanzanite kufungwa kuanzia Januari 2, 2023 mpaka Januari 9, 2023

    Wakala wa Barabara (TANROADS) mkoa wa Dar es Salaam anawatangazia watumiaji wa daraja la Tanzanite kuwa daraja litafungwa siku ya Jumatatu tarehe 2 Januari 2023 kuanzia saa 12 asubuhi na kufunguliwa siku ya tarehe 9 Januari 2023 saa 12 asubuhi. Sababu ya kufungwa ni ili kuweka nembo ya Tanzanite
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpaka mwanamke aharibu, basi nyuma yake kuna mwanaume/wanaume walishaharibu

    NB.. siandiki haya Kwa sababu labda nawapendelea Wanawake , au natafuta Wanawake, la Hashaa, Nina Mke na nina Wanawake zangu Kadhaa huku nje tunasogeza life bila stress !!. Turudi kwenye Mada,. Unajua tangu ulimwengu kuumbwa, Mwanaume akapewa ,Ufalme, Uongozi ,Umiliki na Utawala Kwa...
  9. JamiiForums Tanzania JamiiForums msaidieni Umughaka, kazi yake ilindwe na haki miliki

    Ninachofahamu kazi zote zinazotumwa na wanachama hapa jamvini ni mali ya JamiiForums. Kijana wa Kikurya UMUGHAKA ameonyesha kipaji na kipawa cha hali ya juu kwenye uandishi wa riwaya. Lakini hizi kazi zake zinalindwaje dhidi ya maharamia? UMUGHAKA aelekezwe BASATA na umuhimu wa kusajili kazi...
  10. JamiiForums Tanzania Tuacheni kuwa Wanafiki kwahiyo tulisubiri mpaka Pele 'Akate Moto Mazima' ndiyo tumpambe kwa hii Misifa?

    Hivi tungekuwa tunampa hizi Sifa zetu zote za Kinafiki tunazozitoa sasa sehemu mbalimbali asingezifurahia na hata Kumfariji alipokuwa bado Hai anapambania Maisha yake Hospitalini? Hakuna Kitu nachukia kama Unafiki. Na hasa hasa tabia hii tunayo Sisi Miafrika ila zaidi kabisa Sisi Mitandania...
  11. JamiiForums Tanzania Moto moto wamechokoza wenyewe, yani mpaka wajute, Yanga tunakiwasha

    Yani hapa,mpaka life jitu,tupo tayari kwa mapambano,tunavunja mkataba na azam,tunawafuata dstv,hatutumii vitu vya azam,tunatumia vya azania na makapuni mengine, Yaani tumejianda kwa vita wananchi wote hakuna kununua vitu vya Azam, yaani atakaye pata shida ni azam sio yanga, ebu imagine yanga...
  12. JamiiForums Tanzania Kweli Hali Ngumu mpaka Muda huu 0-0

    No Mwaliko no invitation na mchezo ndo unaelekea mwishoni bado 0-0
  13. JamiiForums Tanzania Tumshukuru Mungu kwa hii pumzi maana tumeweza kufika mpaka leo tar 25/12/2022

    Tuombe: Asante Mtakatifu, asante Jemedari uketie mahali pa juu palipoinuka, asante Mungu wetu Alfa na Omega. Tunakushukuru Mungu wetu kutufikisha mpaka leo hii, maana si kwa uweza wetu bali ni kwa uweza wako ewe Mtakatifu. Kuna wenzetu hawajaweza kufika Leo kutokana na umauti, yote tunasema...
  14. JamiiForums Tanzania CCM mtaogopa siasa za wazi hadi lini?

    CCM ni chama kikongwe kwa vyama vya ukombozi kusini mwa jangwa la sahara na Afrika kwa ujumla. Kilipaswa kuwa mfano bora kwa vyama vingine vya siasa kutokana na kuishi kwingi na kuona mengi. Ajabu ndicho chama kinacho ogopa siasa kuliko vyama vyote vya siasa nchini,kwa kulitambua hilo...
  15. JamiiForums Tanzania Mahakama yaamuru mwili wa aliyefia Polisi ufukuliwe, uchunguzwe

    Uamuzi umetolewa na Hakimu Mkazi Mkuu, Franco Kiswaga, baada ya kukubaliana na maombi ya familia ya Marehemu Stella Moses aliyefia katika kituo Cha Polisi Mburahati Desemba 20, 2020. Hakimu Kiswaga ametoa Amri hiyo kwa maelezo kuwa Polisi hawakutekeleza Wajibu wao Kisheria ikiwemo kuweka wazi...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Hizi sadaka ambazo wahubiri wakristo wanazipigia debe mpaka mapovu yanawatoka ni kwa sababu zinaingia mifukoni mwao?

    Huwa najiuliza maana siku hizi huko kwenye redio na mikutano ya kikristo msisitizo mkubwa ni sadaka. Ingekuwa sadaka hizi haziwanufaishi hawa wahubiri( wao husema mtolee Mungu), wangekuwa kweli na bidii ya kutengeneza mafundisho haya (aghalabu mengi ni ya uongo na matisho tu) yenye msisitizo wa...
  17. JamiiForums Tanzania Ni fitina za kibiashara au ukosefu wa ubora? Kwanini gari la Masoud Kipanya mpaka leo hakuna mrejesho?

    Nimeona niulize maana ukimya umekuwa mkubwa sana sana, si Masoud mwenyewe au serikali iliyodai inaenda kuifanyia uchunguzi iliyokuja na kutoa mrejesho tuambieni kama haifai tujue mmeifukia wapi tukatafute vyuma chakavu sie.
  18. JamiiForums Tanzania Tushachoka kubembeleza undugu, itapendeza Ufaransa ikiwapa Morocco kipigo cha mbwa koko wapigwe mpaka wachakae

    Offcourse tunajua kuna tofauti kubwa kati yao na sisi hasa linapokuja suala la asili yao, Lakini kweli wakatae hata undugu wa kiafrika kwamba wapo nasi ndani ya bara la Africa? Morocco wametukataa, yaani wanaona wao siyo ndugu zetu ni kwamba tunajipendekeza. Basi ndiyo tumekoma hatujipendekezi...
  19. JamiiForums Tanzania Mapigano mafupi yametokea kwenye mpaka wa India na China

    Troops from China and India fought on their disputed border Dec. 9, leading to minor injuries on both sides, New Delhi said, in the most serious such incident since 2020. Samahani kwa msiojua kingereza, Ila kwa mwendo huu ni wazi marekani ataendelea kutawala mpaka Leo hii china na India...
  20. JamiiForums Tanzania Boda ya Horohoro (Kenya - Tanzania) vyoo ni vichafu na abiria wanakoma kwa joto (AC hazifanyi kazi)

    Wiki iliyopita nikiwa natoka Kenya kuja TZ kupitia boda ya Horohoro kuna mambo mawii niliyoona na yakanikata na kunifanya nitafakari kuhusu mamlaka zetu hizi za Uhamiaji. Nilikuta mazingira ya vyoo ambavyo vinatumiwa na abiria ni vichafu na vinahatarisha hata afya ya watumiaji, kuanzia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…