mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Namshukuru Mungu, nimekamilisha kazi tatu mpaka sasa.

    Wakuu kwema! Napenda kuwashukuru nyote Kwa namna ya pekee. Mmekuwa sehemu muhimu katika kazi zangu na Maisha yangu. Mungu awabariki Mno. Katika Kampuni yangu ya Taikon Publisher ambayo inahusika na mambo ya Uandishi katika program yetu ya WritingLife Coaching Programs ambayo imesaidia Vijana...
  2. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Kwa mwendo huu kama Serikali ya CCM ikifika mpaka 2,500 tutegemee kila kitu kitakuwa na majina ya watawala na viongozi

    Kinacho wagombanisha viongozi wa CCM ndani ya serikali kila mtu kutaka jina lake liwe kwenye miradi ili kuonekana bora. Sishanagi mwengine njia ya kwenda Singida kajiandika kwenye mawe labda sababu mda wa kupata jina la mradi ujafika. Kupeana majina kwenye miradi leo ndio chanzo cha kuonekana...
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania SI KWELI Ulaji mkubwa wa maharage husababisha uoni hafifu

    Nilipokuwa mtoto mdogo nilikuwa nasikia ukila maharage sana unapata uoni hafifu na mpaka sasa kuna watu wanaamini hivyo. Mimi ni daktari lakini mpaka sasa sijafundishwa hicho kitu.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Ilitokeaje mpaka makanisa yanaruhusu unywaji pombe wakati inaleta majaribu ya kutenda dhambi zaidi na kukusogeza karibu na ulevi?

    Habari zenu ndugu zangu, naombeni ufafanuzi Mungu alishakataza pombe agano la kale na hata Yesu katika ile sala ya baba yetu ulie mbinguni kuna sehemu ya kuomba tuepushwe na majaribu ili tuepuke uovu. Sasa inakuwaje tena kwamba hii pombe inabidi tuwe wanywaji na sio walevi? Pombe ni dawa ya...
  5. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Urusi imepoteza majenerali zaidi ya 20, hii haijawahi kutokea

    Kando na kupoteza wanajeshi 135,000 Urusi pia imepoteza majenerali zaidi ya 20, supapawa ameingia aibu hadi basi tu na yupo bado anapambana kuteka kamji ka chumvi hukooooo. ======= More than 20 Russian generals have already been killed in Russia’s war against Ukraine, Japanese newspaper Nikkei...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Rais Samia umetusahau wana Shinyanga hatuna Mkuu wa Mkoa mpaka sasa

    Tangu Sophia Mjema ateuliwe kuwa Mwenezi wa CCM, mkoa hauna mkuu wa mkoa, badala yake RC Simiyu anakaimu. Hii ya Kukaimu muda mrefu inachelewesha mambo, mipango ya maendeleo na utekelezaj wake. Teua mama, majembe yako mengi tu mtaani hayana kazi.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa bado ni porojo tu kuhusu ufisadi wa Hayati Magufuli, CCM na wabaya wake mnafeli wapi?

    kelele nyiiingi, wakati inahitajika mtu mmoja athibitishe, mahakama zithibitishe kuhusu hizi kelele za ufisadi wake, lakini mpaka sasa ni kelele tu zisizo na maana! CCM na maadui wa hayati JPM mnakwama wapi? Huyu aliyekuwa mwamba wa siasa za kiuchumi na rafiki mzuri wa Watanzania wa hali ya...
  8. 2025DG

    JamiiForums Tanzania Serikali kuwajadili waliokataa Ukuu wa Wilaya

    Wateule wa nafasi za Ukuu wa Wilaya ambao inasemekana wamekataa uteuzi huo watatakiwa kutoa maelezo ya kwa nini wameshindwa kuripoti katika vituo vyao vya kazi kwa ajili ya uapisho. Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama amesema...
  9. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpaka sasa wanajeshi wa Urusi wameuawa 127,000 hiyo ni mara nne ya JWTZ

    Kwa minajili ya Wikipedia, active personell wa JWTZ ni 28,000 sasa ukizingatia wanajeshi wa Urusi wameuawa 127,000 hiyo ni mara nne ya JWTZ, au kama vipi hapo ina maana wamefyekwa idadi ya ukijumlisha KDF, JWTZ, UDF, RDF n.k. Jameni licha la hasara yote hiyo, Urusi wameambulia kugombania kamji...
  10. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Bashe ndiyo kijana mzalendo wa ukweli atakayeleta mapinduzi ya kilimo na uchumi

    Wasalamu wana JF, Wakati vijana wengine wako busy na ku-bet, Bashe ni kijana anayetaka kuleta mapinduzi ya kweli ya kilimo na uchumi Kilimo ni biashara kama biashara nyingine, na kwa bahati nzuri sehemu kubwa ya raia wetu wanajishughulisha nayo. Sasa basi, ukiongeza thamani ya mazao, yaani...
  11. Blaszczykowski

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada nahisi kama naanza kupagawa

    Tokea wife kuondoka na vitu vyandani na kuniacha kama alivyonikuta 2017 jamani shida inakuja kila nikiona kirikuu kimebeba vitu yaani mtu anahama 🤣🤣 nahisi kama wife anarudi hata kama nikiwa nakula nitaganda na kusindikiza kwa macho kirikuu mpaka kipotee. Hata nikiwa kwenye daladala nitatoa...
  12. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tukutane wanaume tuliowahi kupata “wife material” mpaka leo tunajuta baada ya kuleta wenge

    Wazungu wanasema " you will never miss your water untill your well gets/become dry, yaani umuhimu wa maji huja baada ya kisima kukauka. Nakumbuka nikiwa mwaka wa kwanza wa masomo yangu katika moja ya chuo kikuu hapa nchini niliwahi bahatika kupata " a well raised woman '' unfortunately...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kusafirisha mazao kutoka Karagwe mpaka Dar es Salaam

    Habari wakuu, Naomba mwenye usafiri au mwenye kujua bei za kusafisha mazao kutoka Karagwe kwenda Dar anijuze ni shilingi ngapi kwa gunia la kilo 100. Asanteni
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mbali na kujipendekeza kwa kiwango cha juu kabisa, bado hatutakiwi! Tufanyeje?

    Makazi na mashamba tunatoa umilki kwake, ila kwake sisI hatutakiwi kugusa! Umeme unashusha bei mpaka kiwango cha maumivu kwa watoto wetu' lakini aah wapi! Tukasema hiyo isiwe noma! Basi tukafanya hivii, tukienda kukopa, tutagawana naye pasu ingawa nyumbani kwetu inawatoto wengi, hatukujali...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Jana ulikuwa ni mkutano wa CCM uliovalishwa vazi la CHADEMA

    Na, Robert Heriel Jana agenda kuu ya mkutano ilikuwa kumshukuru na kumpongeza Rais, na ukimpongeza Rais tafsiri yake umeipongeza CCM. Ninaweza kusema Ulikuwa Mkutano wa CCM katika Vazi la CHADEMA. Na Hii ndio inaweza kutoa picha ni aina gani ya Siasa katika nchi hii tulizonazo. Hakukuwa na...
  16. mdukuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niliwahi kwenda kwa mganga kuomba dawa ya biashara haikusaidia, ikanipa mvuto wa wanawake. Niliwachakata mpaka nikafilisika

    Miaka ya nyuma nilikuwa na biashara yangu ikawa inapata ugumu wa ushindani. Mjinga mmoja akaniambia twende Handeni lwa babu ukaiboost. Nilichoamini sasa, hawa mawitch doctor nao wana areas of specialization kama MD walivyo, kunaambao wamebobea kwenye dawa za kufuta kesi, dawa za mapenzi...
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Balance ya maendeleo ikikosekana Dar itakuwa kimbilio la kila mtu mpaka wasio na ajira

    Kama umebahatika kuingia mikoani na vitongoji ndani ndani unaona kabisa watu wanaishi tu basi ila tu sababu wapo kutafuta mkate na ukiangalia kila familia iliyopo mkoani kazi ya ndugu 1-9 wote wapo Dar. Sababu zinazopelekea Dar kila mtu kuwepo ni kutobalance huduma na maendeleo vyuo vizuri vipo...
  18. MR.NOMA

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kufanya jambo gani la hovyo mpaka ukajutia?

    Karibuni wakuu, tushirikishane juu ya jambo lolote la hovyo ,ambalo umewahi kulifanya maishani mwako ,hasa kipindi Cha ujana/ utoto na badae ulijutia. Nianze Mimi,; wakati nipo darasa la 2 nikiwahi kufungulia radio ya mzee , nikaweka Kanda ya lackdube nikasililiza mwanzo mwisho. Lakini bahati...
  19. marehem x

    JamiiForums Tanzania Mtuelewe tuna nia nzuri tu, tutauana hivi mpaka lini?

    Bodaboda ndio chanzo cha uzi huu. Hawana za kuendesha hivi vyombo. Reckless driving. Wanakunywa, wanavuta mavi ya ng'ombe. Hawa usalama barabarani wana nini lakini? Ni mara ngapi mnaambiwa mtafute mbinu hamuelewi? Ni vyombo muhimu but why you people are dumb?! Mtuelewe tuna nia nzuri tu...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Bei ya chakula ipo juu halafu mtu anasema Mama anaupiga mwingi

    Napenda kila mtu ajuwe Kiongozi ni mwanadam kama sisi ila sote hatuwezi kuwa viongoz nilazima mtu mmoja asimame kwa niaba ya wengine kwa mataifa ya Dunia ya kwanza nafasi nyeti za kitaifa kuzipata unapita ktk moto na mara nyingi Huwa ni elite people wanapata hizo nafasi. Wenzetu wana angalia...
Back
Top Bottom