Tokea kushika kijiti kwa JPM kumekuwa na matukio ya kutisha na ufisadi wa kutisha.
Kuna kisa kimoja nimekumbuka hata nchi kubwa wanatumia sana zengine tunaona kwenye movie.
Ukishapangiwa majukumu na mkubwa wako na mission ikawa inakwenda kumfichua mkubwa wako ni wazi unatakiwa kupotezwa ili...
Kwa machawa utasikia "mama kafanya" haya mwambieni kuhusu maji.
Hakuna Dar es Salaam wala mikoani ni yale yale tena kanda ya ziwa ndio kabisa yani shida ya maji ni mgao.
Wizara inapitisha bajeti kubwa ila uwezi kuona inafanyia nini zaidi ya kutegemea mvua.
Hivi kama nchi ina vyanzo kila kona...
Wakuu kwema?
Nina swali la kwamba; kwanini baadhi ya vyuo vimehairisha mahafali (graduation)mpaka 2026 kwa wanafunzi wote undergraduate na postgraduate na wamemaliza masomo mwaka huu 2025?
Mfano ni kama ifuatavyo;
a)chuo cha diplomasia (Centre for Foreign Relations) graduation imesogezwa mbele...
Nmejiuliza sana hili swali muda huu nikiwa napata chai na vitumbua +maharage mahali
Eti mtu anawekeza mahali bilioni 600, mtu anajenga jumba la bilioni 10, mtu ana drive gari la bilioni 20...tupeni basi connection dah ...
Gen Z hawapoi hawaboi, wanasema hii kesi haijaisha, wapo kwenye plan ya kuja na maandamano mapya siku ya uhuru 09/12.
Wanasema maandamano hayo yatapewa jina la Liberation Day.
Aione
IGP
Jumanne Muliro
===
Mtangazaji wa Clouds TV, Paul James maarufu PJ amesema, "Asubuhi wakati nakuja kwenye kipindi nilikutana na askari kwenye daraja linalotenganisha mkoa wa Pwani na Dar es Salaam. Wapo askari wanafanya kazi yao vizuri. Wameniuliza kama nina kitambulisho cha NIDA. Nikaonyesha. Mmoja wapo aliponiona...
Kitendo cha serikali kutumia nguvu kubwa kuminya uhuru wa watu kuandamana na badala yake watu wametii na kuamua kukaa ndani, hapo kiuhalisi walioshinda ni wale walioamua kukaa kimya .
Ni sawa unagombana na mtu unajimaliza kwa kila kitu, unamsukuma mtu, una mdhihaki, una mtusi lakini mtu huyo...
Jeshi la Polisi limesema kuna picha mjongeo ya zamani na nyinginezo zinasambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikihadaa wananchi kuwa maandamano yameshaanza, huku likisema hakuna jambo kama hilo kwani vyombo vya ulinzi na usalama vipo mitaani kudhibiti hali kama
hiyo.
Hiyo ni kwa mujibu wa...
Niliwaambia kuwa namna ya uendeshaji wa shuguli za ulinzi na usalama hapa Tanzania ni wa kipekee.
Hakuna mtu ataipeleka pua yake barabarani leo au siku yoyote. Na atakayejitoa akili kufanya hivyo mama yake na dada zake watalia sana.
October 29 pia channel link ilitolewa mwishoni kabisa na ndio maandamano yakaanza, bila kuwa na app ya kuunganisha waandamanaji ni ngumu sana watu kutoka.
Sasa jana kasema watu wadownload zello ila hajaweka jina la channel ili watu wa join.
Huyu ni mamluki wa mama kilaza.
Tundu Lisu ilibidi aachiwe tangu November 3 baada ya samia kuapishwa .
Naona umepita mwezi sasa tunaona kimya, kesi haisikilizwi na yeye bado hajaachiwa.
Au je mamlaka husika wanaona nchi bado haijakaa sawa kutokana na hofu ya maandamano au wanahisi atakuwa chachu ya watu kuandamana akiingia...
Gerson Msigwa najua umeifungia JF na wewe huingiii humu ila mie napitia hapa hapa kukutaka useme wazi hizo bilioni 200 ziko kwa nani tuzifuate?
Hizo ni Kodi zetu zirudi kwetu, au mpaka tuvae nguoza kijani tuonekane CCM tukakutane na vibaka walioajiliwa Halmashauri wakiongozwa na wakurugenzi...
Mpaka sasa wahuni wamekataliwa wamebaki kujialishia kuelekea D9 eti jeshi litatulinda ngoja wataona maana halisi ya moto.
Kwa kifupi tushawashinda wanabaki kubweka bweka hasa huyu mzee wa ufafanuzi amebaki na mipasho tu. wataenda kunyea debe soon.
Ibara ya 18 ya katiba ya JMT imempa kila mtanzania haki ya kushiriki katika mijadala, kupeana taarifa na kuwa huru kupata habari.
Kifungo cha Jamii forum jukwaa ljnalowaunganisha dunia nzima Watanzania kilisha keo saa sita usiku.
Lakini mpaka sasa hivi Jamii forum haijafunguliwa Jambo ambalo...
Sasa hivi hii December tunao juwana idarani mbona sikukuu zote tutasikia mabaraza yote kila mkubwa anayoitisha
kuna baraza la sikuu jipya linakuja kutoa taamko.
Nye Nye Nye. Mekutana na kina Mogela hapa Mazimbu Mayii. Wafurahisha Nye.
Maneno mengi pyuu ushubwada hamna lolote. Wajiita mji kasolo bahari wakati washamba watupu.
Wanaume kama mabinti hehehe. MO29 mayii iliwaumbua pabaya mayo. Mo town yakushindwa na Mafinga Nye.
Kule igumelo kahama...
Kwanini viongozi wengi wa Kiafrika ikiwemo nchi yetu ya Tanzania hukengeuka pale wanapopata nafasi ya kuongoza nchi zao?
Wasalaam Wakuu!
Ni swali linaloumiza kichwa na kutufanya tutafakari kwa kina: Kwa nini viongozi wengi Barani Afrika ikiwemo nchi yetu Tanzania wakishapata madaraka hugeuka...
Akizungumza nje ya viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, mfanyabiashara wa vipodozi maarufu, Niffer, amewashukuru Watanzania wote waliomwombea na kumpigania alipokuwa mahakamani na gerezani, ambako alikuwa akikabiliwa na tuhuma za uhaini zinazodaiwa kutokana na madai ya kuhusika kuchochea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.