Dini zina mchango gani hapa Tanzania mpaka sasa ?

Maswali ya kidato Cha pili, Yani haujui mchango wa dini

Shule

Hospital

Na huduma nyingine za kijamii dini imetoa mchango mkubwa sana

Kweli wewe ni dr mapaka kabisa
Labda amemaanisha zile dini za wahuni wenzao, na zilizosajiliwa kama taasisi binafsi za watu! Na ambazo zimejikita zaidi kwenye kuwatapeli wananchi wajinga kupitia miujiza na bidhaa zao feki.
 
Maswali ya kidato Cha pili, Yani haujui mchango wa dini

Shule

Hospital

Na huduma nyingine za kijamii dini imetoa mchango mkubwa sana

Kweli wewe ni dr mapaka kabisa
shule ya kitima iko wap
 
Labda amemaanisha zile dini zilizosajiliwa kama taasisi binafsi za watu! Na ambazo zimejikita zaidi kwenye kuwatapeli wananchi wajinga kupitia miujiza na bidhaa zao feki.
Hajui kuwa taasisi ya kidini ni serikali kamili ndani ya serikali .
 
Labda amemaanisha zile dini zilizosajiliwa kama taasisi binafsi za watu! Na ambazo zimejikita zaidi kwenye kuwatapeli wananchi wajinga kupitia miujiza na bidhaa zao feki.

je hizo sadaka mabilioni huwa unafatilia zinatumikaje ?
 
Maswali ya kidato Cha pili, Yani haujui mchango wa dini

Shule

Hospital

Na huduma nyingine za kijamii dini imetoa mchango mkubwa sana

Kweli wewe ni dr mapaka kabisa
shule na zahanati au hosptali wanatoa huduma bure ??

hao wanafanya uwekezaji for profit gain huo hauwezi kuita mchango chany.
 
Back
Top Bottom