moyo

Dambisa Felicia Moyo (born (1969-02-02)2 February 1969) is a Zambian-born economist and author who analyzes the macroeconomy and global affairs. She currently serves on the boards of Barclays Bank, the financial services group, Seagate Technology, Chevron Corporation, the global miner Barrick Gold, and the 3M Company. She worked for two years at the World Bank and eight years at Goldman Sachs before becoming an author and international public speaker. She has written four New York Times bestselling books: Dead Aid: Why Aid Is Not Working and How There Is a Better Way for Africa (2009), How the West Was Lost: Fifty Years of Economic Folly – And the Stark Choices that Lie Ahead (2011), Winner Take All: China's Race for Resources and What It Means for the World (2012), and the most recent Edge of Chaos: Why Democracy Is Failing to Deliver Economic Growth – and How to Fix It (2018). She holds a bachelor's degree in chemistry and an MBA from American University, an MPA from the Harvard Kennedy School, and a DPhil in economics from the University of Oxford.

View More On Wikipedia.org
  1. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania Deborah Fernandez ni mchezaji wa kawaida Sanaa, Simba Bado timu haijakaa vizuri tunajipa moyo tu

    Kwanza kabla ya yote namshukuru Mungu Huwa nikileta mada hapa jamii sports, kwa mara ya kwanza watu Huwa wanaichukulia tofauti ila baada ya mda ukweli unadhibitika!!. fuatilia mada zangu za humu jamii sports utanielewa. Sasa twendeni sambamba kwenye mada husika kama kichwa Cha habari hapo juu...
  2. ngara23

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Wapinzani lindeni kura, uchaguzi ni ushindani hutapewa madaraka Kwa huruma

    Nina uhakika wapinza hawatashinda hata mitaa 10 nchi nzima 1. Vituoni hamna mawakala wa vyama vya upinzani, Kuna mawakala wa Chama kimoja CCM pekee Hapa tutegemee hata wakishindwa watasema wameshindwa. Tunaanguza kura Bure 2. Mawakala waliopo wamezubaa mno Hawahakiki majina ya wapiga kura...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Nimevunjika moyo na uchaguzi huu wa leo

    Leo majira ya saa 5 asubuhi nimeenda kupiga kura (uchaguzi wa wenyekiti) Mimi sio mwanasiasa na sijui hata majina ya wanao gombea, lakini nilijipanga kuenda kuwachagua wagombea wa upinzani pekee. Nilipofika nimekutana na mambo haya. Nilianza kwa kutafuta jina langu kwenye makaratasi yaliyo...
  4. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siri ya Moyo: Acha kabisa kumpenda mtu ambaye umeshagundua na kujithibitishia kuwa moyo wake haukukubali

    SIRI YA MOYO Katika Maisha Yetu Duniani nimegundua kwamba tunatumia muda mwingi kujirekebisha ili tuonekane wazuri, warembo, na ma-handsome 😍😎 — wajanja na watu makini. Lakini nimegundua mambo mawili: 1: Nimegundua kuwa wale watu wanaotupenda kwa dhati, huwa hawatutazami kwa macho yao zaidi...
  5. John Gregory

    JamiiForums Tanzania ACRIMONY: Mapenzi na Ndoto, Mahususi kwa Kijana Yeyote Anayepambania Kutimiza Ndoto Zake

    Hii ni story Inayomhusu kijana aliyepambana katika harakati za kutimiza ndoto zake, akiwa bado mwanafunzi wa chuo akapata mwanamke waliyefunga naye ndoa. Mwanamke huyo alikuwa na mchango mkubwa wa hali na mali ambapo aliuza mpaka nyumba ya urithi ya familia pamoja na kutumia pesa zote alizorithi...
  6. Magical power

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiongea na mtu wa hisia zako, anayeutawala moyo wako lazima mwili usisimke

    Ukiongea na mtu wa hisia zako, anayeutawala moyo wako lazima mwili usisimke, akili ihame yaani wa hisia zako hat sauti yake tu inakupa namna ya kuuhisi upendo na kuwaza mbali💞 Hakikisha unahusiana na mtu ambaye hata ukisikia sauti yake tu unapangawa, ukimuwaza unakosa utulivu bila kusikia sauti...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Dr Nchimbi apongeza Kasi ya Uokoaji Kariakoo na kusema iongezwe zaidi, asema CCM iko tayari kutoa Msaada wowote utakaohitajika!

    Salaam za Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi: 1. Shukrani Kwa Wananchi kwani Wao ndio walikuwa wa kwanza kufika na kuanza Uokoaji 2. Shukrani Kwa Vyombo vyote vya uokozi vinavyoendelea na kazi ya uokozi 3. Shukrani Kwa Waziri Lukuvi Kwa kusimamia zoezi muda wote Bila kuchoka 4. Shukrani Kwa RC...
  8. Truth Bot AI

    JamiiForums Tanzania Sala ya kuwaombea toba Washenzi wa Afrika mbele ya moyo mtakatifu wa Yesu

    Ni sala maarufu sana Iliyokuwa Inalindima Kipindi kile cha Ukoloni Kutoka kwa WaMissionary na Hasa Maaskofu wakuu wa enzi hizo za Ukoloni.. Mungu utusaidie Tusiwe Miongoni mwa Washenzi Wasio kuwa na Elimu ya Kukutumikia. cc:- Kiranga Kisai Rabbon min -me
  9. Magical power

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Moyo wa mwanaume unapenda mwanamke mmoja tu

    Moyo wa mwanaume unapenda mwanamke MMOJA TU, lakini hizi filimbi zetu huku chini ndio zinatamani Kila mwanamke 😂😂😂😂😂😂😂
  10. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Tuliohamia makwetu 2024 kabla hata ujenzi hujaisha tukutane hapa kutiana moyo na kupeana changamoto

    Uzi maalumu kwa wale baba wenye nyumba walioamua 2024 liwalo na liwe wamefanikiwa kuhamia kwao na maisha yanasonga na hawalipi tena kodi bali wanaweza hata kugombea ujumbe wa nyumba 10 tukutane hapa. Wengine shida maji wengine umeme na wengine usafiri.vp una solve ishu hizo kuzirahisha.mpewe...
  11. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Suala la watu 87 kati ya 100 Tanzania kuwa tegemezi linavunja moyo sana wakuu

    Hii taarifa tangu nilipoiona, kama inaukweli basi nchi yetu ni masikini wa kutupwa. Inaonuesha uhalali wa kupigwa mizinga popote utakapopita. Inaonyesha vuguvugu la uchawa ni harakati za watu waliolemewa na utegemezi wa kifikra uliokithiri. Hali hii wenda ndio imepelekea ongezeko la ukahaba...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Domo lisilokuwa na meno ndiyo linafanya moyo unauma

    "Nakupa vinchenchi nakupa visenti mbona hautaki kutulia" wivu mama wivu! 1. Miaka hiyo wakati naingia kwenye tasnia ya mahusiano nilidhani nikimpa🤣visenti ndo atatulia aah nilijidanganya kumbe 2. Miaka hiyo nilidhani kuishi kipole Bila KUMFOKEA pale anapokosea ndio atatulia nilijidanganya 3...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Naumia moyo ndugu zangu

    Mzee wetu ni katiri hasa, kiasi kwamba ametufanya vijana wake wote tumuachie kila kitu. Sasa jana nmejikuta nalia ghafra baada ya kuwaona ndugu wanaoshirikiana na wamepiga hatua kimaisha. Wazazi, fundisheni watoto wenu ushirikiano, Niasaidieni, kifua kimekaba hatari🙏🙏🙏
  14. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Sympathizers wa hamas wanapenda kujipa moyo na vimaneno kama hivi ili tu wafunike aibu ya kushindwa na kutetea ugaidi na utapeli

    "wanajeshi wa idf wanabeba maiti zao huku wakilia" JIBU: ULITAKA WACHEKE "Mitambo ya kuzuia makombora ya Israel haikufanya kazi vizuri kipindi Iran waliporusha makombora" JIBU: WEWE HAPO ULIPO KWA SHEMEJI YAKO UMEISHAUNDA MTAMBO MGANI "Israel ni mashoga" JIBU: UMEJUAJE KAMA HAKUWAHI KUFANYA...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Nimeota, nimwambie Raisi wa liberia asigombeee tena uraisi, Astaafu kwa amani na Moyo wake.

    Ndoto ni ndoto, huwezi kuchagua uote nini na nini uache kama ikimpendeza basi mama aende katika madhabau anayoamini apige magoti ashukuru kwa yote aliyowafanyia wananchi wake, Tukiwa wakweli vijana wengi ajira zilifunguka kiasi chake, Moyo wa mtu kichaka yeye kama mwanamke kajitahidi sana. Yangu...
  16. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Moyo mpweke pita hapa upate faraja

    Usikae kinyonge Usisononeke. Maisha bado yapo na siku hazigandi. Unayopitia walishayapitia wengine wewe si wa kwanza na wala hutakuwa wa mwisho Pita hapa uone pia shuhuda za wengine Changamoto za kipato Changamoto za ajira Changamoto za kimaumbile (vibamia nk) Changamoto za mahusiano (usaliti...
  17. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Zamani kusoma shule ilikuwa uwe na moyo wa kipekee sana. Pitia kisa hiki

    Bwana awe nanyi nyote. Hii story ya kweli itaangazia hasa maisha ya Kanda ya Ziwa especially sukuma tribe. Wakuu huu ni ukweli na nitaungwa na Kila aliyeishi Kanda ya Ziwa usukumani miaka hiyo kuanzia miaka ya 1980 hadi2005(2005 kurudi nyuma) Ili usome na kumaliza la Saba lazima uwe na...
  18. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Hi siku Kaseja alituchomesha derby sitokaa nisahau

    Kama ulisahau kuna mtu alifanya miujiza siku ya derby Simba na Yanga na hakushangaa hata kilichotokea Mnaongelea marefa leo hii enzihizo watu walimalizana na wachezaji mapema. Mpira ulipigwaa mh akacchukua mpira akarudisha nyuma anataka kupiga chenga dah wakamalizana nae Jukwaaa linachekaa tu...
  19. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Moyo wa mtu ni kiza kinene.. Tenda wema uende zako

    Anaandika Gerald John Komba, mtoto wa kwanza wa marehemu Kepteni John Komba. ________________________________ Wakati namuuguza Marehemu Baba, siku moja nilimshuhudia akilia Machozi. Nilimuuliza, kuna tatizo gani Baba? Akaniambia "Gerald, ndugu zako wananiua"... sikumjibu kitu, lakini lile neno...
  20. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Septemba 29, 2024: Siku ya Moyo Duniani, Wanaopoteza maisha kila mwaka kwa Magonjwa ya Moyo wafikia Milioni 18.6

    Siku ya Moyo Duniani huadhimishwa Septemba 29 kila mwaka tangu ilipoanzishwa na Shirikisho la Moyo Duniani (WHF) kwa ushirikiano na Shirika la Afya Duniani (WHO) mwaka 1999. - Siku hii hulenga kuongeza uelewa kwa Watu kushirikia katika kuzuia, kupima afya mara kwa mara na kubadili mtindo wa...
Back
Top Bottom