Dambisa Felicia Moyo (born (1969-02-02)2 February 1969) is a Zambian-born economist and author who analyzes the macroeconomy and global affairs. She currently serves on the boards of Barclays Bank, the financial services group, Seagate Technology, Chevron Corporation, the global miner Barrick Gold, and the 3M Company. She worked for two years at the World Bank and eight years at Goldman Sachs before becoming an author and international public speaker. She has written four New York Times bestselling books: Dead Aid: Why Aid Is Not Working and How There Is a Better Way for Africa (2009), How the West Was Lost: Fifty Years of Economic Folly – And the Stark Choices that Lie Ahead (2011), Winner Take All: China's Race for Resources and What It Means for the World (2012), and the most recent Edge of Chaos: Why Democracy Is Failing to Deliver Economic Growth – and How to Fix It (2018). She holds a bachelor's degree in chemistry and an MBA from American University, an MPA from the Harvard Kennedy School, and a DPhil in economics from the University of Oxford.
Sina mengi ya kusema Mungu ni Mkuu kuliko vyote, nawaombea marehemu wote Mungu wa mbinguni awape pumziko la milele, inauma sana sana nasikitika sana Taifa kupitia hali hii ya ajali mbaya zenye kuumiza mioyo yetu
(Elimu ya Afya – Genesis: Ijue Afya Yako Leo)
Moyo ni injini muhimu ya mwili wetu. Lakini je, unajua nini hutokea injini hii inaposhindwa kufanya kazi vizuri?
Hapa tunazungumzia Heart Failure, au Moyo Kushindwa Kufanya Kazi.
Heart Failure ni Nini Hasa? 🤔
Heart Failure siyo kwamba moyo...
Wanajamvi karibu katika tafakuri jadidi.
Mpaka hivi sasa Leo mimi mwenzenu ni mzima wa afya,Labda Hofu kwenu!
Nimeona nipepese macho nijaribu kuangalia hili eneo ambalo kwa mtazamo wa Kalooism naona linapotoshwa ama linawekwa mahala ambapo siyo pake.
Tunapotembelea ndugu rafiki na jamaa zetu...
Komeo Lachuma - huyu jamaa ni moja ya members watata sana na huwa simwelewi atakuwa mtu wa namna gani. Hakuna siku itapita hajagombana na mtu, hajaonesha ubabe na hajachokoza mtu. Nahitaji kuonana naye nimfanye kama case study katika suala la personality. Je atakuwa ni mtu wa namna gani kwa...
Habari ndugu na dada zangu.
Kama mnavyojua starehe ya kutumia smartphone Iko amazing hivi. Wiki iliyopita nili zidisha dozi ya kutumia kifaa hiki. Unakuta naperuzi hadi usiku wa saa 9 na dakika kibao kisha nalala .Kuamka saa moja asubuhi.Aisee!
Basi wiki hii nineshtukia afya yangu haiko...
Wakuu, mimi sio mwanasiasa, sina kadi ya chama chochote, vipindi vilivyopita niliweka utaratibu wa kuangalia yule ninayemwona anaweza kuwa kiongozi wangu nampigia kura.
Kuhusu suala la kufungiwa kanisa la Askofu Gwajima, huku waumini wakisumbuliwa wasifanye ibada, wakikamatwakamatwa, na...
Maisha ya uswahilini ukiwa mgeni huwezi kuelewa wanaishi au wanatania.
Umekaa zako tu vizuri chumbani kwako unasikia inje dirishani kwako minong'ono ya watu wakitongozana laivu
Hujakaa vizuri unaona wapita njia wanapita barazani kwenu hawana hata habari wanakatiza tu popote njia
Unabandika...
Mama kasema tusicheze na ninyi mikia mna tabia mbaya. Mna tabia chafu hatuchezi na ninyi. Na huko hatuji. Hatutaki mna mchezo mbaya.
HATUCHEZI, HATUCHEZI NA HATUCHEZI NA NINYI NG'OOOO HATA MSEMEJE HATUTAKI. HATUCHEZI.
Mheshimiwa Mama Yetu Samia Suluhu Hassan,
Wapo wanaoongoza kwa mikono, wachache kwa akili, lakini wachache sana huongoza kwa moyo. Wewe ni miongoni mwa hao wachache uliyesimama si kwa nguvu, bali kwa upendo.
Katika historia ya taifa letu, jina lako limechipua kama mti wa mkaratusi wakati wa...
Mit 20:27 SUV
[27] Pumzi ya mwanadamu ni taa ya BWANA; Hupeleleza yote yaliyomo ndani yake.
Ukisikia unachunguzwa au unafuatiliwa nyendo zako zote, inaweza kukushtua na kukuongeza umakini katika kutembea kwako na kutenda kwako, wengine tunajua tunachunguzwa kila wakati kutokana na kazi zetu au...
Oya wanangu, sikilizeni hii gospel straight kutoka street za roho zilizochoka. Bro, usioe pisi kali bana! Yaani narudia loud and clear – DON’T WIFE A BADDIE! Hao ni wa ku-pass around tu kama blunt ya ghetto, si wa kuweka ndani kama wife material.
Hii ni warning ya mtaa – pisi kali ni zile demu...
"Hivi ambavyo wanatufanyia vitatengeneza visasi vya muda mrefu sana lakini mimi naamini wametufanyia sisi lakini vizazi vyao vitakuja kufanyiwa haya ambayo tumefanyiwa na sisi. Nataka nimwambie Rais Samia kwamba anachokifanya kutunyamazisha ni kosa kubwa sana kwa sababu binadamu yeyote anapitia...
Habari wanajamiiforum
Heri ya Pasaka,
Je wote pia ni wazima kabisa
Samahani ndugu zangu Jana nilitumiwa sms kutoka shule anayosoma mtoto na Mwl wake Toka January alianza chekechea sms hii
Ndugu zangu kwa Sasa Hali yangu sio nzuri kabisa ni mtu tu wa vibarua hapa na pale kwa sikukuu hizi watu...
Wana JF
Wakati mwingine, tunahitaji siasa za kimya. Siasa zenye kutafakari, kusamehe, kuponya, na kujenga. Dunia imejaa kelele, vurugu, na giza . Tanzania bado ni kisiwa cha amani. Hii si bahati. Ni hekima ya viongozi wetu na kwa sasa, hekima hiyo imevaa sura ya Rais Samia Suluhu Hassan.
Kuna...
I was just wondering what actions are taken once you finish and publish a research paper. I'm not all that experienced nor informed, so I'm just genuinely curious what could be done with one's research after it's finished. I'm talking more so about humanities research, so it's not necessarily...
Habari wakuu
Nimehangaika sana kukabiliana na hili jambo lakini kwa uwezo wangu wote imeshindikana kabisa nahitaji msaada na ushauri haswa wa kiimani
Lakini msaada huu sipendelei munielekeze kwa manabii wala mitume wala dini nyingine tofauti na ukristo
Kama una mchungaji unamfahamu ambae ana...
Gwajina yupo CCM kwa nguo tu Moyo wake upo upinzani. Heche anaongea haya haya lakini machawa wamampiga madongo Je anayo ongea Gwajima hapa anampinga nani?
https://youtu.be/2gvSQKmNeWw?si=xBlSbTN1zgqnahP_
Pongezi na pole ziende kwa Wachokonozi na huyu mwamba mpya anaitwa Chihonda.
Hawa jamaa uwezo wao wa kuchallenge foundation za jamii kuhusu Imani na tamaduni zake inastaajabisha.
Tena wanasema na kuongea hadharani.............
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.