moto

Grand Prix motorcycle racing is the premier class of motorcycle road racing events held on road circuits sanctioned by the Fédération Internationale de Motocyclisme (FIM). Independent motorcycle racing events have been held since the start of the twentieth century and large national events were often given the title Grand Prix. The foundation of the Fédération Internationale de Motocyclisme as the international governing body for motorcycle sport in 1949 provided the opportunity to coordinate rules and regulations in order that selected events could count towards official World Championships. It is the oldest established motorsport world championship.Grand Prix motorcycles are purpose-built racing machines that are unavailable for purchase by the general public and unable to be ridden legally on public roads. This contrasts with the various production-based categories of racing, such as the Superbike World Championship and the Isle of Man TT Races that feature modified versions of road-going motorcycles available to the public. The current top division is known as MotoGP since 2002 when the four-stroke era began. Prior to that, the largest class was 500cc, both of which form a historical continuum as the official World Championship, although all classes have official status.
The championship is currently divided into four classes: Moto Grand Prix, Moto2, Moto3 and MotoE. The first three classes use four-stroke engines, while the MotoE class (new in 2019) uses electric motorcycles. The 2019 MotoGP season comprises 19 Grands Prix, with 12 held in Europe, three in Asia, two in the Americas, and one each in Australia and the Middle East.
The most successful rider in Grand Prix history is Giacomo Agostini with 15 titles and 122 race wins. In the top-flight series, Agostini holds the title record with eight, followed by active riders Valentino Rossi with seven and Marc Márquez with six. As of 2019, Rossi holds the record for most top-flight race wins with 89.

View More On Wikipedia.org
  1. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Vita ya kugombea mali za aliyekuwa Mchungaji, Marehemu Getrude Rwakatare sasa imeshika kasi

    VITA ya kugombea mali za aliyekuwa Mchungaji wa Kanisa la Assemblies of God - Mlima wa Moto, Marehemu Mchungaji Getrude Rwakatare sasa imeshika kasi huku ikizidi kuwagawa watoto wake. Taarifa za kuwepo kwa vita hii zimekuja ikiwa ni miezi kadhaa baada ya mtoto mkubwa wa kiume wa Marehemu...
  2. kavulata

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya Yanga kupata matokeo bila Kibwana Shomali wakala kichwa kinapata moto

    Kijana wetu Kibwana kapata injury, hachezi lakini Yanga haijakata moto wa wimbi lake la ushindi kila moto. Hii sio hali nzuri kwa mchezaji yeyote duniani. Kibwana amepata nafuu karudi kundini lakini mkataba wake unaenda mwisho na hajapewa mkataba mwingine bado. Wakala wa mchezaji kupitia...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Mama adaiwa kumchoma moto mwanawe mdomo, pua

    MKAZI wa Newland Kijiji cha Mvuleni, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, Grace Pima, anadaiwa kumchoma moto mtoto wake wa miaka mitano mdomo pamoja na pua. Mama huyo anadaiwa kutekeleza kitendo hicho kwa kutumia banio linalotumiwa kuunganisha njia ya reli, pia inadaiwa alimfungia ndani mtoto...
  4. Background Check

    JamiiForums Tanzania Tukio la Kuungua Moto shule ya Shauritanga 18 June 1994

    Habari wakuu!, Ni muda sasa umepita tangu nipotee katika majukwaa mbalimbali hapa JF. 18 June 1994, Usiku wa manane, wanafunzi katika shule ya wasichana ya Shauritanga wakiwa wamelala, moto mkubwa ulizuka. Mabinti wale walipiga kelele za kuomba msaada kutoka kwa walinzi hawakufanikiwa hadi...
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Wawili wafariki magari yakigongana na kuwaka moto Mbozi

    Picha: Eneo ambalo ajali imetokea Watu wawili wamefariki na wengine watatu kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari mawili likiwamo lililobeba mafuta na kuwaka moto katika ajali iliyotokea maeneo ya Old Vwawa wilayani Mbozi Mkoa wa Songwe. Ajali hiyo imetokea jana Machi 7, 2022 majira ya...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kufa kufaana: Biashara ya majenereta na solar yapamba moto Mwanza

    Ni kutokana na mgao wa kimyakimya unaoendelea kwa kishindo jijini mwanza,wanyonge wananunua solar na generators kwa kasi kabisa Wafanyabiashara wa bidhaa hizo wengi wanaishukuru awamu ya sitaa kwa opportunity hiyo na wameahidi kulipa Kodi kwa kutoa risiti halali
  7. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Singida: Wanafunzi wachoma moto pikipiki ya mwalimu na kufyeka shamba lake la mahindi

    Kamanda wa Jeshi Ia Polisi mkoani Singida, Stella Rutabihirwa amethibitisha kushikiliwa kwa wanafunzi sita wa kidato cha tano na sita Mchepuo wa CBG, kutoka Shule ya Sekondari Mwenge iliyopo Manispaa ya Singida kwa tuhuma za kuchoma Pikipiki ya mwalimu wa shule hiyo na kuharibu mazao...
  8. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wachoma moto pikipiki ya mwalimu, wafyeka shamba kisa adhabu ya kukutwa na simu shuleni

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linawashikilia wanafunzi sita wa Shule ya Sekondari Mwenge iliyopo Kata ya Majengo Wilaya ya Singida kwa tuhuma za kuchoma moto pikipiki ya mwalimu yenye namba za usajili MC 653 BFS pamoja na kufyeka mahindi yaliyooteshwa katika shamba la mwalimu huyo lenye...
  9. John Haramba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Licha ya kupigwa 2-0, Simba watamba "RS Berkane wakija Dar watavuta pumzi ya moto"

    “Tunarudi kwetu sasa.... Nyumbani kwetu na sisi... Kwenye ufalme wetu “Save the date MARCH 13 2022,🔥🔥 “Siku ambayo Rs Berkane watavuta pumzi ya moto, siku ambayo Berkane wataiona Simba halisi “Wana Simba wenzangu tujiandae kwa siku hii ya kihistoria, hizi ndio mechi zetu za kujidai “Hatuna...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania DR Congo: Takriban watu 20 wafariki dunia baada ya boti kushika moto bandarini

    Takriban watu 20 wamefariki dunia na wengine 11 kuungua vibaya baada ya Boti kushika moto kwenye Bandari ya Ngafura iliyopo Mto Kongo. Imeelezwa, Boti hiyo ilikuwa na idadi kubwa ya bidhaa zenye kuwaka moto Serikali Nchini humo imepiga marufuku abiria kupanda boti za mizigo lakini Wananchi...
  11. Dr Msweden

    JamiiForums Tanzania Kaka yangu amechomwa Moto kwa kudhaniwa ni mwizi

    Inasikitisha sana Kaka yangu ni mlemavu wa akili (ana downs syndrome) hata kumuangalia kwa macho unajua kabisa huyu mtu kichwani hakuna kitu. Majuzi alitoroka nyumbani tulimtafuta bila mafanikio ghafla tukapewa taarifa kuwa ameitiwa mwizi amechomwa moto, amekamatwa mzima mzima wala hawajampiga...
  12. John Haramba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Kenya afungwa jela kwa vifo vya moto shuleni

    Msichana mmoja raia wa Kenya amehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela kwa kosa la kuua bila kukusudia kufuatia moto katika bweni la shule na kuua wenzake tisa. Msichana huyo mwenye umri wa miaka 18 alitenda kosa hilo mwaka wa 2017 akiwa na umri wa miaka 14 katika mwaka wake wa kwanza wa...
  13. MtamaMchungu

    JamiiForums Tanzania Mabibo jeshini nini kinaendelea, biashara zimepamba moto

    Kama ni mpitaji au mkazi wa maeneo ya Mabibo jeshini, hivi karibuni shughuli za kibiashara zimekuwa zikichipuka kila siku, pembezoni mwa barabara upande wa kambi ya jeshi. Nini kimetokea au kubadilika siku za hivi karibuni? Yale maeneo yanauzwa au kukodishwa au ni biashara za jeshi? Mwenye...
  14. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wataka uchunguzi kiini moto sokoni, wadai ni njama

    Baadhi ya wafanyabiashara wa Soko la Mbuyuni katika Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, wameiomba serikali kuunda tume ya kuchunguza chanzo cha moto ulioteketeza maduka matatu katika eneo la Stendi ya Mboya, huku wakidai tukio hilo ni njama. Wafanyabiashara hao wamemuomba Mkuu wa Mkoa wa...
  15. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania RC Makalla asema amechoka kusikia ajali za moto katika Mkoa wa Dar

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Amos Makalla amesisitiza umuhimu wa kutengeneza miundombinu ya njia kwenye masoko inayoweza kusaidia kukabiliana na majanga ya moto huku akisema amechoka kusikia ajali za moto katika mkoa huo. Kauli hiyo ameitoa jana Februari 13, 2022, wakati anatoa pole kwa...
  16. fmlyimo

    JamiiForums Tanzania Dar: Soko la Mbagala laungua moto

    Soko la Rangitatu jimbo la Mbagala lawako moto usiku huu wa kuamkia leo.
  17. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii barabara ya Kenya yasababisha Twitter kuwake moto baina ya raia wa Zibambwe - MATAGA vs upinzani

    Jameni hata mimi sikua nimeona hii picha kihivi kwenye hii angle, mamayeee hii nchi inazidi kunoga. Mwandishi wa habari wa Zibambwe ameipost kwenye ukurasa wake wa Twitter, humo raia wamepelekeshana balaa baina ya MATAGA wa huko au makada na wapinzani
  18. Mayunga234

    JamiiForums Tanzania Masoko kuungua Moto hiyo ni Mipango tu

    Mambo ya kuungua kwa masoko mara kwa mara Maeneo tofauti tofauti nchini Hiyo yote naona ni Technique ya kutaka kuboreshewa masoko hayo na sio vinginevyo Hili watengenezewe soko la kisasa zaidi
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Moshi: Moto wateketeza Soko la Mbuyuni

    Soko la matunda na mbogamboga Mbuyuni lililopo wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro likiteketea kwa moto. Juhudi za kuuzima moto huo zikiendelea na bado chanzo cha moto hakijafahamika.
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Amos Makalla: Chanzo cha moto wa soko la Karume ni mshumaa uliowashwa na mateja

    SERIKALI YARUHUSU WAFANYABIASHARA KUREJEA KARUME KWA MPANGO MZURI. - Umati walipuka kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan. - RC Makalla apokea taarifa ya ripoti ya Kamati iliyoundwa kuchunguza Chanzo Cha Moto. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameruhusu...
Back
Top Bottom