Plot4Sale Kiwanja chenye hati kinauzwa Morogoro Mjini Tshs Milioni 3

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
1,195
1,661
Ninauza Kiwanja number 36 kilichopo Mkundi, Morogoro mjini, umbali mita miambili toka Dodoma road. Kina hati rasmi, siyo squatter. Gharama ya kubadilisha jina la hati itakuwa juu yako ambayo haizidi laki mbili na nusu.

Ukubwa wa kiwanja ni 400 mita za mraba ( 20 kwa 20) . Bei ni Milioni tatu na nusu (3,500,000).Huduma za umeme na maji zimefika kitambo. Piga 0713039875


WhatsApp Image 2020-03-30 at 3.28.43 AM (1).jpeg
WhatsApp Image 2020-03-30 at 3.28.43 AM.jpeg
WhatsApp Image 2020-03-30 at 3.39.42 AM.jpeg
 
Mkuu kimesha uzwa au bado maana hili ni zari la mentari aise
 
Back
Top Bottom