Clouds FM mna matatizo gani? Morogoro wiki ya tatu haisikiki

Clouds FM mna matatizo gani? Morogoro wiki ya tatu haisikiki

Kingjr2

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2018
Posts
644
Reaction score
1,276
Mimi ni miongoni mwa wasikilizaji wa redio hii hasa wa vipindi vya Power Breakfast, Jahazi na Amplifier. Hii ni wiki kama ya tatu redio hii haisikiki Morogoro na hakuna taarifa yoyote.

Jamani kuna shida yoyote? Tufahamishane tafadhali.
 
Back
Top Bottom