Never through good money after bad

Never through good money after bad

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
2,631
Reaction score
4,841
Umeanzisha biashara lakini inaendelea kupata hasara kila siku, halafu unaendelea kuingiza pesa zaidi bila kubadilisha kitu — hapo unakuwa unatupa “good money after bad.”
Cha kufanya badilisha biashara au uza kwa mtu
Unafikiri ni kwanini watu wanafirisika hiyo ndio sababu kubwa.
Zingatia hilo greatmind is speaking
 
Back
Top Bottom