Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.
Nimewaza tu kwa sauti na kwa maono ya Kimadhabau,
Je yawezekana Rais akatokea huko mbeleni (Sisemi wa sasa) akaomba kupimzika kwa maslahi ya Taifa?
1. Inaweza kuwa ni kweli anataka kupumzika kisa Afya
2. Yaweza kuwa Nia njema kwa kusoma michezo ya wanaotaka kumrithi kwa mtandao akaamua akae...
🏠 MDau ameuliza:
“Nianze na nyumba ndogo ya kuanzia maisha, au nianze moja kwa moja na dream house yangu?”
Jibu langu kama mtaalamu wa ujenzi ni hili 👇
Kama tayari una ramani na maono ya nyumba unayotaka kuishi kwa muda mrefu, usikimbilie kujenga nyumba nyingine pembeni ya kiwanja.
Kwa nini...
Unakuta bibi fudenge amefiwa unamuonea huruma na wengine kufurahi kumbe huyo bibi fudenge alisha move on kitambo na anafurahia mapenzi ya jinsia moja kwa kuwahonga vibinti vidogo na ni mlevi kupindukia.
Bibi fudenge makazi yake yatakuwa jahanamu milele na milele.
Nimemsikia OMO anaongea leo kwenye mkutano. Amedai kuwa Pemba walipewa majimbo Manne na Unguja hawakupewa hata jimbo moja.
Je, anataka kukubaliana kuwa haya majimbo sasa yanatolewa kwa hisani ya CCM ama?
Kwa jinsi alivyoongea ni kama vile anaomba hisani kwa CCM badala ya kudai haki yao.
Kama unapenda SUV mpya, 0 Km, usinunue Range Rover 2026 kwa $120,000 (cheap base model), Bali angalia Xiaomi SkyNomad N70 au N90 kwa $30,000 full loaded.
SkyNomad ni Range Extended, Ina engine ya 1.5 L, turbo i4, zina battery ya either 56 kWh au 72 kWh zenye range ya EV ya 380 Km na 505 Km...
Mrembo Dalali Pink ambaye ni mwendeshaji wa kipindi cha Tema Cheche cha Tiktok ameweka wazi kuwa mahari yake ni milioni mia kwa Mwanaume ambaye anataka kumuoa na kama itashuka sana basi milioni 90.
Dalali Pink amesema kuwa kiwango hicho cha mahari ameweka kwasababu yeye ni mzuri ana macho...
META password moja kwa account zote.
Yaani unaingia Facebook, Instagram, WhatsApp na apps zingine za meta kwa password moja .
Sasa vip mtu akidaka password yako ana access kote daah. Hii imekaaje wakuu.
Again;
Username in WhatsApp na sio number tenaa coming soon!
Ni hivi karibuni waziri wa Elimu Prof. Adolf Mkenda alikumbushia muda wa wanafunzi kufika shuleni asubuhi ni saa 2 asubuhi. Na hiyo ni kwa mujibu ws sheria namba 84 inayoongoza shule za misingi nchini.
La ajabu walimu bado wanadharau na kupuuzia maelekezo ya viongozi wakuu level ya waziri wa...
Ni asiyejitambua tu ndio atalilia tuwe na katiba itakayodogosha ukubwa wa mamlaka .......Eti Rais awe na nguvu sawa na Mwenyekiti wa kijiji cha mpitimbi au rais wa NGO s za kutetea haki ya mbu kuishi.!!
Ukiruhusu katiba ya namna hiyo utakuwa na Taifa la kambale au uduvi kila mmoja ana ndevu...
Naona ni kama hawa wanatucheza au kutuosha.
Sioni jipya wala la maana.
Kila kitu kimefanyika kiCCMCCM.
Wananchi wajiepushe kuingia mtego wa karata tatu.
Wote ni wasanii na wananchi ni walengwa.
Ni suala la kutumia akili. Ukimuona mbwa, jua kuna mwenyewe.
Sijui Ndejembi nimuite nani na nini...
Sisi wakweli na wanazuoni wa iliyokweli huwa hatubabsishwi na matukio.
Inawezekana tuna tukio moja tu la huyu anayesemaekana ana msimamo na wasiojua wanaweza kusema eti ana msimamo kutokana na hilo tukio moja tu.
sisi wenye msimamo tunakuambia tukio hilo halitubabaishi wala kutuondoa kwenye...
NB: Nina Akili Ndogo Sana
Kama kuna mtu aliwahi kufanya jaribio lolote ambalo halihatarishi maisha yako, hakuna sida.
Kama kuna mtu yeyote aliwahi Fanya jaribio la kutaka kukua (kukutoa uhai), usimsamehe hata siku moja. Akijaa katika mfumo, mpe zawadi yake, kama sio yeye personally, basi mpe...
Leo nimefuatilia kesi ya Lissu kuanzia Alfajiri mbaka Wasalamu, na nimepata picha kwamba Taifa letu linapaswa kupata Katiba mpya yenye Mamlaka ya Usimamizi wa Misingi yake. Kitu kikubwa hapa ni kwamba misingi ya haki, demokrasia za kisiasa, utawala bora na utawala wa sheria vimeifadhiwa kwenye...
Uoga mkubwa ambao anaonyesha Samia kwa Lissu hauna tija kwa jamii. Lissu anahitaji kuheshimiwa sio kuogopewa. Ukiwa Raisi hata kama fake ni vibaya kuogopa mtu kwa kiasi hiki maana usipokuwa makini kama sasa Samia atabomoa kila sheria za bunge na mahakama kwasababu tu ya uoga. Sasa Watanzania...
Tangu saa kumi mpaka sasa tunasubiri kuangalia mechi kati ya Azam na Pamba Jiji.
Umeme umekatika nchi nzima. Habari tulizoambia kuna mega watt 2115 ni kama kupiga ndulu tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.