mohamed

Mohamed Abdullahi Mohamed (born 12 March 1962), also known as Farmajo, is a Somali politician and diplomat who has served as the 9th and current President of Somalia since 16 February 2017. At the time of his election he
had dual Somali and U.S. citizenship, but he renounced his U.S. citizenship during his term in office with no explanation as to why. He was previously a Prime Minister of Somalia from November 2010 until June 2011 and is the founder and Chairman of the Tayo Political Party. He became the President of Somalia after winning in the 2017 Somali presidential election with 195 votes out of a total of 330 by members of the Somali Parliament after defeating former president Hassan Sheikh Mohamud.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mgombea Namba 13: Abdulhalim Mohamed Ali amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar

    Mgombea Namba 13: Abdulhalim Mohamed Ali amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar ni mwanajeshi ambaye alikwenda kupigana vita Uganda yeye ni mwana CCM tokea 1978 alianzia Migombani wakati akiwa jeshini na anaona anahitaji kuleta maendeo Zanzibar .
  2. Influenza

    JamiiForums Tanzania Namba 8: Mohamed Hija Mohamed achukua fomu kuwania Urais wa Zanzibar kupitia CCM

    Aliyekuwa Naibu Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa na Mwambata Ubalozi India, Mohamed Hija Mohammed amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya CCM katika ofisi kuu ya CCM Zanzibar, ambapo sasa anakuwa ni mgombea wa 8 kuchukua fomu hiyo.
  3. Influenza

    JamiiForums Tanzania Namba 7: Mohamed Jaffar Jumanne achukua fomu kuwania Urais wa Zanzibar

    Bwana Mohamed Jaffar Jumanne amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya CCM katika ofisi kuu ya CCM Zanzibar Kisiwandui, ambapo sasa anakuwa ni mgombea wa 7 kuchukua fomu hiyo.
  4. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM Zanzibar haipambanii Dkt. Ali Mohamed Shein kuongezewa muda kama huku bara?

    Ukianzia na Bunge, UVCCM na baadhi ya makundi ya watu wachache hasa wanaccm wako mstari wa mbele kabisa kupaza sauti na kupambana Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibadilishwe ili tu kuweza kumpa Magufuli nafasi ya kuongoza kwa kipindi cha zaidi ya miaka mitano. Wengi wa wanaodai...
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Niger Republic's Minister of Employment, Labour and Social Protection, Mohamed Ben Omar has died of Coronavirus

    Niger Republic's Minister of Employment, Labour and Social Protection, Mohamed Ben Omar has died of Coronavirus. He was the former Minister of Higher Education. The novel coronavirus caused the death of Niger's minister of employment and labour, Mohamed Ben Omar, public television announced on...
  6. G Sam

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya ya Ukerewe, Masoud Mohamed akutwa hotelini akiwa ameaga dunia

    Kamanda wa Polisi Wilaya ya Ukerewe, Masoud Mohamed amefariki dunia ghafla akiwa ndani ya hoteli. Afande Masoud alijizolea umaarufu katika mitandao ya kijamii kwa usomaji wa Quran. Taarifa zaidi kutoka Jeshi la Polisi zitakujia. ====== OCCID wa Wilaya ya Ukerewe Mkoani Mwanza,Masoud...
  7. Superbug

    JamiiForums Tanzania Mzee wetu Mohamed Said anastahili heshima na si kejeli

    Nasikitishwa sana na kejeli ambazo baadhi ya wana jf wanazifanya kwa mzee wetu mwenye historia adhim ya taifa letu la Tanzania. Mzee Mohamed Said ni mmoja Kati ya wazee wanaoheshimika sana pale darisalama na tanzania kwa ujumla. Mzee wetu huyu ana historia kubwa sana ya tanzania na watu...
  8. Slowly

    JamiiForums Tanzania Aaliyaah Mohamed mtanagzaji wa Refresh Wasafi tv ananikosha Sana

    Huyu mtoto ana sauti moja mashalaah , tena ya kibabe na mi mrembo kweli kweli, naskia Mbosso anatafuna pale, kwa mara ya Kwanza namuonea wivu Mbosso aisee. Namkubali Sana huyu bi_dada popote alipo mpeni salam zangu, msimu huu wa Corona
  9. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mohamed Dewji and a beautiful inspiration quote from the Holy Bible

    As seen from Instagram # I once told you. Matajiri wengi huwa wapo so versatile when it comes to spiritual issues. Tajiri au kiongozi kuwa Mktisto au Muislamu hakumzuii kwenda kutafuta msaada wa kiroho kwa kiongozi au mpakwa mafuta "Annointed/ spiritually gifted person" from the other...
  10. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mohamed Mwameja: Siwezi kumsamehe Muhidin Ndolanga

    " Mwaka 96 nikiwa South Africa kuna mdau wa Jomo Cosmos aliniona akanifuata hotelini kwangu akaniuliza kama Nina wakala nikamwambia sina. Akaniambia Mimi Nina Shida ya Goal Keeper kwenye timu yangu Lakini Uingereza Kuna timu pia inahitaji kipa ( Reading FC wakiwa daraja la TATU ) Kwa hiyo...
Back
Top Bottom