Lema na Heche, msisahau kuwa Mohamed Dewji ni mwanaCCM na ana haki ya kuipigia kampeni popote alipo

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,975
Nimewasoma Godbless Lema na John Heche wote wakiwa ni wanachama wa Chadema kule twitter wakimlalamikia Mohamed Dewji anayeimiliki klabu ya Simba (49%) kwa kuipigia kampeni CCM kwenye Simba Day.

Nawakumbusha tu Chadema kwamba Dewji ni mwanachama halali wa CCM aliyezaliwa mkoani Singida pamoja na mgombea urais Tundu Lissu, hivyo Mo anayohaki kumpigia kampeni Magufuli, Zungu na CCM popote pale alipo ilimradi tu asivunje amani.

Nawatakia Dominica yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
 
Mo ni CCM na Simba na Yanga ni mali za CCM.full stop.
nikawaida tu.hata tp mazembe inamilikiwa na mwanasiasa na pia mfanyabiashara Moiss Katumbi.
 
Chapa za uso Mkuu. Kule Twitter kapata habari yake na sidhani kama atarudia upuuzi wake alioufanya jana wa kuihusisha Simba na genge la wahuni la maccm.
Mkuu hawa watu hawa... hawa watu hawa...hawa watu mimi kuna kipindi niligombana sana na Chadema kwa sababu walikuwa kama wanawatetea walipofikwa na masaibu. Hawa siyo watu wa kutetea hata kidogo na wapo kwa maslahi ya matumbo yao na ndugu zao. Ndiyo maana mimi mpira wa Bongo nilishaupiga kiatu siku nyingi sana na sifufuatilii kwa namna yoyote. Hata kwenye hivyo vilabu hawa watu wako kimaslahi tu. Nilishakataa kuburuzwa nao tena.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Bora nawe umeliona hilo Mkuu. Mimi naamini huyu yuko Simba kwa maslahi yake binafsi ya kufaidika kipesa kwa kiasi kikubwa sana kwa kufanya mambo mbali mbali kwa kutumia pesa yake kisha yeye avune mara mbili zaidi au hata tatu badala ya hiyo pesa kuingia kwenye mfuko wa club.

Mkuu hawa watu hawa... hawa watu hawa...hawa watu mimi kuna kipindi niligombana sana na Chadema kwa sababu walikuwa kama wanawatetea walipofikwa na masaibu. Hawa siyo watu wa kutetea hata kidogo na wapo kwa maslahi ya matumbo yao na ndugu zao. Ndiyo maana mimi mpira wa Bongo nilishaupiga kiatu siku nyingi sana na sifufuatilii kwa namna yoyote. Hata kwenye hivyo vilabu hawa watu wako kimaslahi tu. Nilishakataa kuburuzwa nao tena.
 
Mo ni CCM na Simba na Yanga ni mali za CCM.full stop.
nikawaida tu.hata tp mazembe inamilikiwa na mwanasiasa na pia mfanyabiashara Moiss Katumbi.
Umiliki wa Katumbi huwezi kumfananisha na MO.
MO ni mwekezaji anayemiliki hisa za 49% wakati Katumbi ile ni timu yake
 
Back
Top Bottom