mohamed

Mohamed Abdullahi Mohamed (born 12 March 1962), also known as Farmajo, is a Somali politician and diplomat who has served as the 9th and current President of Somalia since 16 February 2017. At the time of his election he
had dual Somali and U.S. citizenship, but he renounced his U.S. citizenship during his term in office with no explanation as to why. He was previously a Prime Minister of Somalia from November 2010 until June 2011 and is the founder and Chairman of the Tayo Political Party. He became the President of Somalia after winning in the 2017 Somali presidential election with 195 votes out of a total of 330 by members of the Somali Parliament after defeating former president Hassan Sheikh Mohamud.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Je, Waziri wa Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa ni mkwe wa Rais Samia?

    Kuna rumours za wanamitandao na wanaharakati wanaodai kuwa Mohamed Mchengerwa aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Utawala Bora ni mkwe wa Rais, ameoa binti yake ambaye ni Mbunge viti maalum kutoka Zanzibar. Pia Mohamed inadaiwa kuwa ni Msimamizi Mkuu wa utendaji wa TISS. Tumekuwa tukiwaandama marais...
  2. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Bi. Titi Mohamed: Mwanamke shujaa mwana TANU mpigania uhuru wa Tanganyika

  3. chrome

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dkt. Muhammed Seif Khatib afariki dunia

    Dkt. Muhammed Seif Khatibu ambaye alikuwa ni miongoni mwa viongozi waandamizi wa siku nyingi Serikalini na kwenye Chama cha Mapinduzi amefariki dunia. Aliwahi kuwa Mbunge wa jimbo la Uzini kisiwani Zanzibar. Nyadhifa alizowahi kushika Dkt. Khatib Mwenyekiti wa UVCCM kutoka 1978 hadi 1983...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa umma: Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi amtembelea Rais Mstaafu Dk. Ali Mohamed Shein

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi AlhajDk. Hussein Ali Mwinyi amemtembelea kumjulia hali Rais Mstaaf wa Zanzibar awamu ya Saba Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, nyumbani kwake Kibele Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kwa ajili ya kumsalimia nakuzungumza naye.
  5. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Marudio ya Hamza Kassongo on Sunday Jumamosi 2 Januari 2021 saa tisa mchana anazungumza na Mohamed Said

    HAMZA KASONGO ON SUNDAY MAZUNGUMZO NA MOHAMED SAID KITARUDIWA JUMAMOSI 2 JANUARI 2021 SAA TISA MCHANA Marudio ya "Hamza Kassongo on Sunday," TVE kitarushwa In Shaa Allah Jumamosi ijayo saa tisa mchana mada ni "Mchakato wa Uhuru." Kipindi cha saa nzima tunazungumza historia ya kujikomboa kwa...
  6. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Natafuta Television au YouTube Chaneli inayoweza kuandaa makala za uchunguzi kama Jicho Pevu za Mohamed Ali wa KTN

    Habari wakuu, Nimekuwa mpenzi wa kujisomea habari za magazeti na kuandika makala kwa zaidi ya miaka 25 sasa. Nimefanya tafiti ndogo, nimeona jamii imeshift toka kwenye magazeti na kwa sasa wanadeal zaidi na digital works kama e-newspaper, YouTube chanels n.k. Hivyo nimeandaa matukio 10 yalowahi...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Bayume Mohamed Husen: Mswahili aliyeuawa kwenye kambi za manazi Ujerumani

    Mahajub Adam Mohamed ambaye pia alifahamika kwa jina la Bayume Mohmed Husen alizaliwa Dar es Salaam mwaka 1904 kipindi hiko Tanganyika ikiwa ni koloni la Ujerumani Bayume alipigana vita ya Kwanza ya Dunia mwaka 1914 akiwa na miaka kumi. Kipindi hicho wanajeshi watoto walitumika kutoa ishara...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Tazama baadhi ya mapungufu yaliyojitokeza katika majina ya ajira za Ualimu yaliyotolewa. Jina la 'ABADALLAH LEONARD SHONDE lajirudia mara 196

    Kusema ukweli hizi ajira ni MAGUMASHI, hazina uhalisia wowote. Jina moja linajirudia mara nyngi na kituo ni kilekile. Kuna wengine wamemaliza fom4 mwaka 2019 eti na wao wameajiriwa. Swali: Kwanini hawajaandika vyuo walivyosomea? Kwanini hawajaweka serial number? MUNGU TUNUSURU --- --- ---...
  9. James Martin

    JamiiForums Tanzania Sheikh Alhad Mussa na sheikh Mohamed Iddi wamaliza tofauti zao

    Vuguvugu la uchaguzi limeleta mambo mengi sana mwaka huu. Kati ya hayo mojawapo ikiwa ni viongozi wa dini kutupiana maneno hadharani. Uhasama kati ya viongozi hawa wawili ulianza pale sheikh Alhad Mussa alivyomuombea dua ya "kipekee" mgombea wa urais kupitia CCM, John Magufuli. Hata hivyo...
  10. Mocumentary

    JamiiForums Tanzania Shekh Alhad Mussa na Shekh Muhammad Idd wamaliza tofauti zao

    Shekh Alhad Mussa na Shekh Muhammad Idd wamemaliza tofauti zao na kuwataka Waislamu wote kuendelea kuwa kitu kimoja na kuwahimiza kujitokeza kupiga Kura katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Jumatano ya wiki hii.
  11. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sheikh Alhad Mussa Salum asema Sheikh Mohamed Idd ni mshamba anayesumbuliwa na njaa, adai ana laana

    Shehe wa mkoa wa DSMsm Alhad Salum amesema shehe Mohamed Idd anayerusha vipindi vya dini kupitia Channel ten ni mshamba na kwamba yeye alhad Salum ndio kamleta mjini. Kiukweli shehe alhad Salum ameongea maneno makali na mazito kana kwamba siyo kiongozi wa dini. Shehe Alhad Salum ametumia lugha...
  12. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amina Mohamed ashindwa kutinga hatua ya mwisho katika mbio za kuwania Ukurugenzi WTO

    France-Kenya: Kenyatta mounts Paris seduction operation for WTO By Rémy Darras Posted on Monday, 5 October 2020 10:44 Meeting between Emmanuel Macron and Uhuru Kenyatta, in Paris, on October 1, 2020. © Gonzalo Fuentes/AP/SIPA During his five-day official visit to France, the Kenyan President...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa JKCI, Prof. Janabi asema magonjwa ya moyo yataongezeka kutokana na ukuaji wa uchumi

    Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi amesema magonjwa ya moyo yataongezeka zaidi kutokana na uchumi kukua kwa sababu maisha yanakuwa rahisi. Prof Janabi ametoa kauli hiyo leo jijini Dar es salaam, wakati wa utoaji wa huduma za kijamii One stop Jawabu...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Lema na Heche, msisahau kuwa Mohamed Dewji ni mwanaCCM na ana haki ya kuipigia kampeni popote alipo

    Nimewasoma Godbless Lema na John Heche wote wakiwa ni wanachama wa Chadema kule twitter wakimlalamikia Mohamed Dewji anayeimiliki klabu ya Simba (49%) kwa kuipigia kampeni CCM kwenye Simba Day. Nawakumbusha tu Chadema kwamba Dewji ni mwanachama halali wa CCM aliyezaliwa mkoani Singida pamoja na...
  15. LIKUD

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Update: Halima Hussein has come back to my life as Fatma Mohamed

    Niliwahi kuandika Uzi kuhusu kisa hiki. In case hukupata bahati ya kusoma uzi huo then let me refresh ur memory. Ni hivi nilifahamiana na Halima Hussein in 1995. I was 10 and she was 9. I was @ Std 4 & she was @ std 3. Nilipo muona Halima Hussein kwa Mara ya kwanza, macho yangu...
  16. Influenza

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais wa tiketi ya Chama cha UMD, Khalfan Mohamed Mazurui achukua fomu ya Uteuzi NEC

    Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mhe. Jaji wa Rufaa (Mst), Semistocles Kaijage akikabidhi fomu za kugombea kiti cha Rais kwa Mgombea wa UMD, Khalfan Mohamed Mazurui na Mgombea Mwenza, Mashavu Alawi Haji katika Ofisi za NEC, Njedengwa Jijini Dodoma leo Agosti 10, 2020. Chama hicho...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

    Officialshilole Naandika haya, nikiwa na akili timamu na utulivu, La kwanza kabisa nataka KUOMBA RADHI JAMII YANGU. Naomba radhi kwa sababu niliwaaminisha ndoa yangu haina tatizo, huku ukweli ukiwa hauko hivyo, nimekuwa mtu wa kuambulia vipigo na MENGINE yasiyozungumzika, Naomba radhi kwa sababu...
  18. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu yafuta mashtaka ya kusafirisha dawa za kulevya kwa Mfanyabiashara Mussa Mohamed

    MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemfutia mashtaka Mfanyabiashara Mussa Mohamed aliyefikishwa mahakamani hapo leo Juni 23, 2020 akikabiliwa na mashtaka ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya Heroine. Hatua hiyo imekuja baada ya Wakili wa Serikali,Sylvia Mitanto kudai mbele ya Hakimu Mkazi...
  19. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Nampongeza sana Mohamed Said : Nawalaumu Watanzania

    Huyu mzee wa historia ni mtu asiyekata tamaa. Naangalia Jukwaa la Historia kwa siku sikosi kuona threads zake mpaka mbili au tatu. Pamoja na vijana wengi kwa ujivuni wao wanaonekana kutochangia mada zake badala yake wanaenda kujazana mwenye jukwaa la MMU Mzee hajakata tamaa. Nampongeza kwa...
  20. Influenza

    JamiiForums Tanzania Namba 23: Mkuu wa mkoa wa Kusini Unguja, Ayoub Mohamed Mahmud achukua fomu kuwania Urais Zanzibar kupitia CCM

    Mkuu wa mkoa wa Kusini Unguja Ayoub Mohamed Mahmud amekuwa mgombea wa 23 kujitokeza kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar.
Back
Top Bottom