Raia mmoja wa Tunisia, Saber Chouchane (56), amehukumiwa adhabu ya kifo kwa kosa la kuchapisha kwenye mtandao wa Facebook, maneno yanayodaiwa kumkashifu Rais Kais Saied na kudhalilisha vyombo vya usalama.
Hukumu hiyo ilitolewa jana Oktoba 3, 2025 na imekuwa gumzo nchini humo.
Mawakili wa...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Imekuwa ni kitu ya kujiridia sana sana mara kwa mara katika maono, nimekuwa nikiona kiongoz mpya nchini Tanzania
Leo nimeona mwanaume mmoja ndo amekuwa rais na baada ya huyo kuwa rais sikuona tena maandamano
SAYUNI BOY
Akili Mnemba (Artificial Intelligence au AI) hutumia kompyuta kufanya kazi ambazo kwa kawaida zingehitaji akili ya binadamu. Siku hizi AI inatumika katika maisha ya kila siku, mfano wasaidizi wa benki wa mtandaoni, roboti za kiafya zinazojibu maswali, magari yanayojiendesha yenyewe, hata...
Afrika inaamka sasa hizo kanuni za mihula miwili mbona zilikua kabla ya Chargpt!! Wananchi wa Malawi wameona Chikwera hawafai na katika uchaguI na wa haki sanduku la kura limeamua kuwa term yake moja madarakani inatosha.
Ni wakati wa kurudisha thamani ya kura na muamuzi Mkuu wa nani...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linatoa taarifa ya tukio la mauaji lililotokea mnamo tarehe 16 mwezi wa 9 mwaka 2025 saa 12:50 jioni katika Kitongoji cha Ululu, Kijiji na Kata ya Idiwili, Wilaya ya Mbozi, Mkoa wa Songwe.
Katika tukio hilo, Evaristo Zabroni Mwambogolo, mwenye umri wa miaka 28...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea kusimamia mifumo ya kuzuia matukio ya kihalifu Jijini. Kwa ujumla usalama umeimarishwa kwa kiwango cha juu. Tarehe 11 Septemba, 2025 maeneo ya Kariakoo Ilala alikamatwa mtuhumiwa Peter Mahende Mkazi wa Ilemela Mwanza kwa tuhuma za...
Tunaweza kujifunza sasa tukiamua kabla hazijaja nyakati ngumu.. Nguvu ya uma ni nguvu ya ajabu mno
Imewachukua vijana wa Nepal masaa 36, kupata uhuru wao kuondoa serikali isiyowajibika madarakani.
Mwanzo polisi walitumia amri, mabomu, risasi na kuzima mitandao.
Sasahivi waziri mkuu yuko...
Benjamin Netanyahu anazidi kuchanganyikiwa na kuwa kama mwendawazimu huku akiwatukana viongozi wenzake wa nchi za nje kwamba ni madhaifu sana.
Matusi hayo amekuwa akiyatoa bila kuzuizi jambo linaloashiria kuna kitu si cha kawaida kichwani mwake kila anapowafikiria Hamas
Wiki mbili zilizopita...
Benjamin Netanyahu anazidi kuchanganyikiwa na kuwa kama mwendawazimu huku akiwatukana viongozi wenzake wa nchi za nje kwamba ni madhaifu sana.
Matusi hayo amekuwa akiyatoa bila kuzuizi jambo linaloashiria kuna kitu si cha kawaida kichwani mwake kila anapowafikiria Hamas
Wiki mbili zilizopita...
Watu wawili wamefariki papo hapo na mmoja kujeruhiwa vibaya huku nyumba kadhaa zikiharibiwa kufuatia mlipuko mkubwa uliotokea kwenye banda la kuchomelea vyuma chakavu, Mtaa wa Magomeni, Wilaya ya Bagamoyo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Salim Morcase, amethibitisha kuwa tukio hilo la...
Huu ujinga wa kumuhakikishia rais au mbunge kuwa atakaa madarakani kwa miaka mitano au kumi inawajengea kujiamini na kupiga hesabu za wizi kabisa wakijua wamefika.
Ni bora katiba iseme rais na mbunge atadumu au atawajibishwa kulingangana na utendaji kazi wake iwapo anakubalika basi hata...
CCM imemteua Dk Asha Rose- Migiro, kuwa Katibu Mkuu wake kuchukua nafasi ya Dk. Emanuel Nchimbi, Mgombea Mwenza wa Mama Samia.
Aidha Chama hicho kimemteua Kenani Kihongosi, Mkuu wa Mkoa wa Arusha kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi.
Mabadiriko haya ni ya Kimkakati zaidi kuelekea Uchaguzi Mkuu...
Kuna kitu kimoja wanamtandao wamefanikiwa sana kuchezea akili za watu wa CCM na Chadema. Wamewafanya wajione kuwa ni maadui wa kufikia hata kuuana.
Sijui lini haya makundi mawili yatatambua kuwa yanakuwa playe dhidi ya mmoja na mwenzake. Na siku makundi mawili haya yakitambua hilo, basi...
Kwa sababu bado tupo kwenye AI dhaifu Narrow AI si ajabu watu wengi kuanzia humu ndani na duniani kwa ujumla kutokuona tishio kubwa lijalo la AI.
Watu wakisikia AI akili zao zinaishia katika kujibu maswali,kuandika documents,kuchora picha hiyo ndio picha watu wanajenga kuhusu AI si ajabu fikra...
Kwenye wimbo wa Msanii Fareed Kubanda "Fid Q" aliyoitoa hivi karibuni kama zawadi ya Birthday yake ya Mwaka 2025 ina maneno kadhaa yenye ukakasi?
Kwenye ngoma inaitwa History
Mstari mmoja amesema
"Mtaani hali ni mbaya ila tunakaza tu kiubishi, Siasa zimetufunza kufunga mdomo ili tuishi"...
Hivi mmekosa wafanyakazi??
Ama wafanyakazi wanafanya kaxi kwa mazoea?
Hii mara ya tatu nimetoka hapo mlimancity tumepangana kama watu 12 mhudumu n mmoja tu huu n ushenzi
Wewe unaepanga kutoa hela kuweka nenda sehemu zingine branch ovyo kabisa.
Mbaya zaidi wanakuja wazungu ama wahindi...
Kiungo mshambuliaji wa zamani wa Young Africans Sports Club Clatous Chama, ameibuka na kudai kuwa hakuna mchezaji ambaye hatamani kuichezea klabu ya Simba SC, kutokana na ukubwa na ushawishi wa klabu hiyo ndani na nje ya Tanzania.
Chama ambaye kwa sasa ni mchezaji huru baada ya kuachana na...
Nina wasiwasi na fundi anayenirekebishia pikipiki anatumia udhaifu wangu wa kutokuwa na uelewa juu ya changamoto za pikipiki na kutojua bei ya vifaa kunikanda linapokuja ishu ya payments baada ya service.
Kwa wamiliki na wazoefu wa pikipiki which ni best way ya kufanya service kutumia fundi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.