Netanyahu atukana wenzake mtindo mmoja kisa ni Hamas

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,509
Reaction score
16,734
Benjamin Netanyahu anazidi kuchanganyikiwa na kuwa kama mwendawazimu huku akiwatukana viongozi wenzake wa nchi za nje kwamba ni madhaifu sana.
Matusi hayo amekuwa akiyatoa bila kuzuizi jambo linaloashiria kuna kitu si cha kawaida kichwani mwake kila anapowafikiria Hamas
Wiki mbili zilizopita alimwambia waziri mkuu wa Australia,Albanese kwamba ni kiongozi dhaifu sana na kwamba ameamua kuisaliti jamii ya kiyahudi iliyomo nchini mwake.
Jana tena amemwambia waziri mkuu wa Belgium maneno kama hayo akimwambia ameamua kuwapa zawadi Hamas kwa matendo yao ya oktoba 7 mwaka 2023.
Hayo yanatokea huku jeshi la Israel likiwa linasitasita kuingia kwenye magofu ya jiji la Gaza ambako wanaamini wapiganaji wa Hamas bado wapo na silaha zao.
 
Sijaona tusi hapo boss wangu.
 
Huyu Mzee soon wanamtuliza damu alizo zimwaga should pay

Deal of million dollars, kwishaaaaa
Firauni alipokaribia kuangamizwa ni pale alipozidisha kufuru kwa kudai yeye ni Mungu na akataka aoneshe uungu wake hadharani.
Netanyahu baada ya kuuwa kwa miaka 2 sasa anajiona yeye ni mwamba sana na anaanza kutukana watu na heshima zao kuwa madhaifu.
Karibuni hivi ataoneshwa hadharani kuwa yeye ni dhaifu na mdogo sana katika dunia.
 
Yaani mtu akikuita wewe ni dhaifu sana hujaona kuwa kakutukana.
Mtu akiniita "ww ni mdhaifu" itakuwa Hajanitukana hata kidogo. Mbona ukiitwa "wewe ni mwamba, mbabe au baunsa hulalamiki???
Tafuta maana halisi ya neno hilo ujiridhishe kama ni tusi. Achana na maana ya maneno itolewayo huko mtaani/vijiweni.
 
Mtu akiniita "ww ni mdhaifu" itakuwa Hajanitukana hata kidogo. Mbona ukiitwa "wewe ni mbabe au baunsa hulalamiki???
Tafuta maana yake ioli ujiridhishe kama ni tusi. Achana na maana ya maneno itolewayo huko mtaani/vijiweni.
Huko mtaani ndiko kwenye maana halisi za matusi sio hiyo maana yako dhaifu.
Mitaani ukimwita mwenzako dhaifu mbele ya rafiki zake au mkewe inakuwa sababu ya kupigana mpaka watu kuumizana.
 
Hajakosea! Hizo nchi siyo big power.
Zingekuwa nchi kama UK,German,France Italy hapo Netanyahu huend angeshituka.
 
Huko mtaani ndiko kwenye maana halisi za matusi sio hiyo maana yako dhaifu.
Mitaani ukimwita mwenzako dhaifu mbele ya rafiki zake au mkewe inakuwa sababu ya kupigana mpaka watu kuumizana.
Yeah! Usisahau pia kwamba huko mitaani ndiko waliko wavuta bangi, machizi, walevi, wabwia unga, wadangaji, mashoga wabobevu, watu wenye stress zao, job seakers n.k n.k
Unaendaje kutafuta maana ya neno huko? Unless kama unataka kuijua Slang.
 
Firauni alipokaribia kuangamizwa ni pale alipozidisha kufuru kwa kudai yeye ni Mungu na akataka aoneshe uungu wake hadharani.
Netanyahu baada ya kuuwa kwa miaka 2 sasa anajiona yeye ni mwamba sana na anaanza kutukana watu na heshima zao kuwa madhaifu.
Karibuni hivi ataoneshwa hadharani kuwa yeye ni dhaifu na mdogo sana katika dunia.
huyo firauni mbona ndugu yenu kobazi alikuwa na mawazo kama yenu ya kufuta kizazi wayahudi leo mnamgeuka

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Benjamin Netanyahu anazidi kuchanganyikiwa na kuwa kama mwendawazimu huku akiwatukana viongozi wenzake wa nchi za nje kwamba ni madhaifu sana.
Matusi hayo amekuwa akiyatoa bila kuzuizi jambo linaloashiria kuna kitu si cha kawaida kichwani mwake kila anapowafikiria Hamas
Wiki mbili zilizopita alimwambia waziri mkuu wa Australia,Albanese kwamba ni kiongozi dhaifu sana na kwamba ameamua kuisaliti jamii ya kiyahudi iliyomo nchini mwake.
Jana tena amemwambia waziri mkuu wa Belgium maneno kama hayo akimwambia ameamua kuwapa zawadi Hamas kwa matendo yao ya oktoba 7 mwaka 2023.
Hayo yanatokea huku jeshi la Israel likiwa linasitasita kuingia kwenye magofu ya jiji la Gaza ambako wanaamini wapiganaji wa Hamas bado wapo na silaha zao.
Wle wale wanawasema wengine huku na kwao wanayo hayo hayo.. Iran nao mbona wamesema waziri mkuu wa Australia ni Dhaifu au hujui? ilikuwa Breaking news kuwa Iran imeungana na Israel

Iranian FM agrees with Netanyahu's claim Australian PM ...

News

Iran's Foreign Minister Calls Australia PM 'Weak Politician'​

Iran’s foreign minister accused Australia of making unfounded allegations after Canberra expelled Tehran’s ambassador over links to antisemitic attacks.

Foreign Minister Abbas Araghchi said Australia was targeting Iran because of public support for Palestine, calling the country’s prime minister a “weak politician” in a social media post.

Australia declared Iranian Ambassador Ahmad Sadeghi and three other diplomatic officials “persona non grata” on Tuesday, giving them seven days to leave the country.

Australian authorities accused Tehran of involvement in antisemitic attacks in Sydney and Melbourne.

“I am not in the habit of joining causes with wanted war criminals, but Netanyahu is right about one thing: Australia’s PM is indeed a ‘weak politician,’” Araghchi wrote on X, referring to Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu.

The Iranian foreign minister attempted to dismiss the allegations by pointing to Iran’s Jewish population.

“Iran is home to one of the world’s oldest Jewish communities, including dozens of synagogues,” Araghchi said.

“Accusing Iran of attacking such sites in Australia while we do our utmost to protect them in our own country makes zero sense.”

Araghchi claimed Iran was being punished for Australian public opinion on the Israel-Palestine conflict.

“Iran is paying the price for the Australian people’s support for Palestine,” he wrote.

The foreign minister also accused Australia of trying to appease Israel, warning against such moves.

“Canberra should know better than to attempt to appease a regime led by war criminals,” Araghchi said. “Doing so will only embolden Netanyahu and his ilk.”

Iran has faced increasing international isolation over its support for armed groups and cross-border operations.

The Australian expulsion adds to a series of diplomatic confrontations that have seen Iranian personnel expelled from countries across multiple continents.
 
Firauni alipokaribia kuangamizwa ni pale alipozidisha kufuru kwa kudai yeye ni Mungu na akataka aoneshe uungu wake hadharani.
Netanyahu baada ya kuuwa kwa miaka 2 sasa anajiona yeye ni mwamba sana na anaanza kutukana watu na heshima zao kuwa madhaifu.
Karibuni hivi ataoneshwa hadharani kuwa yeye ni dhaifu na mdogo sana katika dunia.
Wewe una matatizo ya akili sio bure,ushauri wangu fika kituo chochote cha afya kilicho karibu nawe ufanyiwe matibabu Tanzania bado inakuitaji kwa maendeleo ya taifa
 
Subiri utaona ni nani mwenye matatizo kwell ya akili na anayemfuatia kati yangu mimi,wewe na Netanyahu
 
Benjamin Netanyahu anazidi kuchanganyikiwa na kuwa kama mwendawazimu huku akiwatukana viongozi wenzake wa nchi za nje kwamba ni madhaifu sana.
Matusi hayo amekuwa akiyatoa bila kuzuizi jambo linaloashiria kuna kitu si cha kawaida kichwani mwake kila anapowafikiria Hamas
Wiki mbili zilizopita alimwambia waziri mkuu wa Australia,Albanese kwamba ni kiongozi dhaifu sana na kwamba ameamua kuisaliti jamii ya kiyahudi iliyomo nchini mwake.
Jana tena amemwambia waziri mkuu wa Belgium maneno kama hayo akimwambia ameamua kuwapa zawadi Hamas kwa matendo yao ya oktoba 7 mwaka 2023.
Hayo yanatokea huku jeshi la Israel likiwa linasitasita kuingia kwenye magofu ya jiji la Gaza ambako wanaamini wapiganaji wa Hamas bado wapo na silaha zao.
Israel revange is fear ukiona mpaka Ge4man anamsal8mia Israel jiulize kile kimewapata. Alie panga, alie fund, alie tekeleza, alie toa wazo, alie wahifadhi alie juwa hakusema wote hawa watalamba mchanga. Israel kaa mbali nayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom