"......Huyu mzee Evarist Chahali ni sehemu ya wazushi nchini anayetegemewa na wanaharakati uchwara, Amezusha hili jambo kwamba mimi ni sehemu ya mashahidi wa siri. Ni muongo na anajua wazi ni uongo….ana agenda yake aliyoitafuta kwa muda mrefu. Amekuwa akinishambulia tangu 2015 lakini nimekuwa...
Yawezekana Bangi ina faida kwa baadhi ya watu, lakini kimazoea ya heshima ya jamii ya ki-tanzania, kila mvuta bangi hapewi heshima kiasi kikubwa. Hata kama anafanya mambo ya maana kila wakati hutiliwa mashaka.
Hiki ninachoandika ni taarifa rasmi niliyopewa toka kwa classmate wa mmoja wa...
Jana usiku pale Mlimani City imedhihirika Eng Hersi anataka kuitumia Yanga kwa manufaa yake kwa gharama yoyote hata kama ni kuiingiza timu matatizo ya kikanuni.
Hakuna kikao cha timu kilichokaa kwa niaba ya timu ya Yanga na kufikia maamuzi ya kutoa milioni 100 wakati wanachama wanahimizana...
Kwenye Utumishi au Serikalini kuna Mafile 2 ; moja huwa ni your basic information and correspondences, file la pili huitwa File la Siri. Mara nyingi unaweza kustaafu usiwe umewahi kujua kumeandikwa nini .
Yupo mwana mmoja alikuwa mtumishi kwa muda very hard working, Samia alipoingia...
Kuna mzee mmoja aliwahi kusema, kama mtoto wa kiume unaenda haja kubwa mzigo hautengenezi kakichuguu kadogo basi una utapiamulo.
Watoto wa kiume tuleni tushibe, tulinde na heshima zetu.
Kuna clip ya Dada mmoja anaongea kwa hasira kuhusu mazingira ya Mwendazake kufariki huku akitaja baadhi ya vigogo anaowatuhumu kuhusika akiwepo Mstaafu mmoja.
Hii clip bila shaka ni mpya na ni wazi wa nchi hii kuna mambo mazito yanaendelea.
Kwakeli nimeshangaa sana na sidhani huyu dada kama...
Kwanza kwenye chama tawala haya ya sasa ni maigizo hata mkibalia wagombea watatu mgombea wa Mwisho anachaguliwa sio kwa kura bali kwa matakwa ya viongozi bila hata kuhojiwa sababu! Hivyo hakuna mchakato wa kidemokrasia ndani ya CCM .
Pili kuna watu wamekatwa bila sababu yeyote na hawaja ambiwa...
Kiongozi wa kimila wa jamii ya Kimaasai nchini Tanzania, Laigwanan Isack Olekisongo, ametoa wito kwa jamii hiyo kote nchini kujitokeza kwa wingi kupiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025, huku akisisitiza umuhimu wa kuwachagua madiwani na wabunge watakaowaletea...
Salaam!
Mapacha watatu,Vijana wababaifu waliotutambia Enzi zile kwamba hatuwawezi kwa lolote ni yule wa Mtama, Tanga na Singida.
Sasa wajumbe wamekosea kumkata mmoja na kuwaacha wawili ndani,
Ombi: Tunawaomba wajumbe wamalizie kazi ikibidi watuongeze na mmoja zaidi wa pale Geneva ya Africa...
Moderator kusema kuna falme nyingi za shetani ndo mnafuta uzi kwelii?????
Mbona hii forum imekua ya ajabu sana serious Moderator uzi unaosema kuna tawala nyingi za shetani sijatuhumu mtu au kikundi cha watu wowote unafuta uzi aisee nimeshangaa sana
unajua hii nchi ni ya ajabu sana kwanini hadi...
Mwaka 2022 ni mwaka ambao sitaka niusahau hivi vyote navyoandika huku jamiiforums ikiwemo na huu uzi wa sahivi niliuandaa mwaka 2022
(Kuna mambo mengi sana sijaandika sababu nitazua taharuki) mfano au baadhi ya mambo ambayo niliyaandika mwaka 2022 na nimesha-share huku ni kama yafuatayo;-...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Kwanini Nasema Azam au Simba mmoja wapo atakuwa Bingwa Msimu huu?
1.Kocha Fadlu Davis amekuwa kocha wa Simba huu unaelekea msimu wa pili;mazingira ya ligi Kuu tayari keshayajua,tayari kesha tambua na kufahamu kikwazo Cha yeye kutochukua Ubingwa kilikuwa...
Niko hapa naangalia hii mikeka ya chama Cha tawala forever, halafu wakati naangalia hapa huku nikiwa nacheka kwa uchungu naskia nyimbo ya mwamba Profesa Jay na Stamina
Embu kila mtu anae struggle amuulize mzee wake leo na kila mtu aweke jibu hapa, kwamba wakati ule Hawa wanawekwa mazingira ya...
Kufuatia majina ya waliopitishwa na uongozi wa juu wa ccm pale Dodoma.
Jimbo la Mchinga kapita mama Salma Kikwete pekee hana mpinzani.
Jimbo la Chalinze kapita Ridhiwani Kikwete maana hakuna aliyejitokeza kuchukua form.
Hakika huu ni uthibitisho kuwa hawa wabunge waliwatumikia wananchi wa...
Jina: Charles Mhando Njama
Cheo: Kaimu Meneja Mkuu – Barrick Tanzania
Utaaluma: CPA (NBAA), MBA – Mzumbe University
Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Jimbo: Korogwe Mjini
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua rasmi CPA Charles Mhando Njama, Kaimu Meneja Mkuu wa Barrick Tanzania, kuwa mmoja wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.