Netanyahu atukana wenzake mtindo mmoja kisa ni Hamas

Netanyahu atukana wenzake mtindo mmoja kisa ni Hamas

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,509
Reaction score
16,734
Benjamin Netanyahu anazidi kuchanganyikiwa na kuwa kama mwendawazimu huku akiwatukana viongozi wenzake wa nchi za nje kwamba ni madhaifu sana.
Matusi hayo amekuwa akiyatoa bila kuzuizi jambo linaloashiria kuna kitu si cha kawaida kichwani mwake kila anapowafikiria Hamas
Wiki mbili zilizopita alimwambia waziri mkuu wa Australia,Albanese kwamba ni kiongozi dhaifu sana na kwamba ameamua kuisaliti jamii ya kiyahudi iliyomo nchini mwake.
Jana tena amemwambia waziri mkuu wa Belgium maneno kama hayo akimwambia ameamua kuwapa zawadi Hamas kwa matendo yao ya oktoba 7 mwaka 2023.
Hayo yanatokea huku jeshi la Israel likiwa linasitasita kuingia kwenye magofu ya jiji la Gaza ambako wanaamini wapiganaji wa Hamas bado wapo na silaha zao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom