mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwa shambulio hili la Israel basi vita baina yao ndio basi. Kila mmoja atamuheshimu mwenzake

    Lengo halisi la Israel inaonekana ni Rafah na ile kurusha droni tatu Iran ambazo zimedunguliwa ilikuwa ni kuzubaisha ulimwengu lengo halisi likiwa ni kuingia Rafah ikijua Iran haitaiuliza kitu. Huku watu wamecharuka kujadili shambulio la Israel lililotangazwa na US kwa upande wake Israel ndio...
  2. JamiiForums Tanzania Afrika tutafika lini uwezo huu? Makombora yote hayo ya Iran yamefaulu kumjeruhi binti mmoja tu!

    Hivi mamia ya makombora, mizinga na drone zingeelekezwa kwa nchi ya Kiafrika, je kuna yenye uwezo wa kudungua kama ilivyofanya Israel? Yaani Iran imetumia nguvu zote hizo na kufanikiwa kumjeruhi binti mmoja tu, sasa hivi Israel watu wamerudia hali ya kawaida kama kwamba hamna chochote...
  3. JamiiForums Tanzania Ndoa ina mwezi mmoja, nishaanza kukosa amani

    Jaman ndoa ndo zilivo. Yaan tangu nimuoe nimuweke ndani naanza kuona tabia zinazoanza kuninyima aman.Had natamani nimwambie bana tumeshindwana Tabia anazoonesha 1. Kisiran 2. Kununa 3. Kuzalisha migogoro Haya yote alivyokuwa kwao sikua nayaona aisee nishachoka.Nimeukumbuka uhuru wangu
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kipi kigumu kwenye kufuta mchezo kwa maamuzi mabovu ya Refa? Madhara yake ni yapi kiasi cha mtu mmoja kuwa na maamuzi ya mwisho yasiyoweza kubadilika?

    Hili ndio swali ninalijiuliza huku nikizingatia uwekezaji wa gharama kubwa unaofanywa na vilabu plus wachezaji kuvuja jasho halafu kunakuwa na sheria/kanuni inayompa mtu mmoja anaeitwa mwamuzi kuwa na maamuzi ya mwisho na kibaya zaidi hayabadiliki hata ikithibika alitoa maamuzi yasiyo sahihi...
  5. JamiiForums Tanzania Ukiwa mtumishi wa umma hakikisha kila wiki unatengeneza fedha sawa na mshahara wako wa mwezi mmoja

    Huu ni ushauri tu kwa watumishi. Kutokana na kupigwa na vitu vizito kichwani kama vile Sheria mpya za kikokotoo, na danadana za ongezeko la mshahara pamoja na serikali kushindwa kukopesha watumishi wake bila riba au kwa riba isiyozidi 5% napenda kuwashauri watumishi wa umma wahakikishe chini juu...
  6. JamiiForums Tanzania Ligi ya Mabasi ya NewForce na Sauli hatari, kila mmoja anataka kukaa mbele kivyovyote

    Wale wanazi wa ligi ya mabasi haya mnaona mambo, japo ni hatari lakini inaleta burudani.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Miradi yote mikubwa iliyoanzishwa kwa pupa na Hayati Magufuli sioni hata mmoja utakaokuwa na ufanisi

    1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema. 2. Madege:- Kwa mujibu wa ripoti ya CAG iliyotolewa karibuni madege haya...
  8. JamiiForums Tanzania Sheikh Rusaganya: Kwa mujibu wa Hadithi za Mtume Mohamad, Watu wafupi ni marufuku kukanyaga Peponi

    Sheikh Rusaganya ameonya kwamba kwa kujibu wa mafundisho ya kiisilamu, watu wafupi wamepigwa marufuku kukanyaga Peponi. Sheikh anasisitiza kwamba watu wafupi ni marufuku kukanyaga Peponi na hawatakiwi kuonekana kule. Msikilize Sheikh Rusaganya hapa.
  9. JamiiForums Tanzania Wanawake walioungana mmoja aolewa

    #FAHAMU: Abby na Brittany Hensel ambao ni mapacha walioungana mmoja wao ametangaza kufunga ndoa na Josh Bowling ambaye ni nesi na mwanajeshi mkongwe wa Jeshi la Marekani ndoa ambayo ilifungwa mwaka 2021 Aliyetangaza kuolewa ni Abby Hensel ambaye ni pacha aliyeungana upande wa kushoto ambapo...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Bilioni 6 zilizokusanywa na halmashauri hazikufika benki? Halafu rais hajatumbua hata mmoja!

    Kama watu wanafuja kodi na tozo zetu kiasi hiki na hawachukuliwi hatua, kuna haja ya wananchi kuendelea kulipa kodi kwa uaminifu?? Nadhani kila mfanyabiashara atafute mbinu ya kukwepa kulipa kodi.
  11. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo watangaza nia ya kujitoa SUK

    Hii ndio gia mpya waliyoamua kuja nayo baada ya Chaguzi zao kumalizika Zaidi soma hapa -- Akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 8 Machi 2024 jijini Dar es Salaam Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema viongozi wa chama hicho watakutana na Rais wa Jamhuri wa...
  12. JamiiForums Tanzania Mmoja wa magaidi kutokea Uturuki aeleza jinsi walifuata mahubiri ya Fariduni Shamsidin kwenda kuua Warusi

    Limetetemeka kweli kweli na kufunguka yote, sijawahi kuelewa mawazo ya hawa watu na haya maugaidi ya kwenye dini yao.................... This is the moment the gunmen suspected of carrying out an attack on a concert hall in Moscow are arrested by Russian authorities. Videos shared online...
  13. JamiiForums Tanzania Chui kala mbuzi 31 wa mzee mstaafu, serikali imelipa Tsh 25,000 kwa kila mbuzi. Hii sio sawa

    Mnaowekeza mifugo ukoo maeneo ya mbugani. Vijijini mjipange bora mnunue mbwaa muanze kuuzaa Leo naangalia TV mwananchi kaliwa mbuzi zake na chui mmoja Serikali wakaja kumkamata wakamrudisha alipotoroka Mwenyee mbuzii anaulizwaa anambiwaa 25000 ndioo malipo stahili kila mbuzii jamani angalieni...
  14. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung galaxy S10e mpya imetumika mwezi mmoja tu inauzwa laki 3 na Nusu

    Wakuu. OFFER: Samsung galaxy S10e mpya imetumika mwezi mmoja tu inauzwa laki 3 na Nusu Specification: Kwanza kabisa ina wireless charging system Yaani unaweza kuchaji kwa kuilaza juu ya simu nyingine. RAM 6 GB Storage 128 GB BATTERY Type Li-Ion 3100 mAh, non-removable Charging15W wired...
  15. JamiiForums Tanzania Aron Kagurumjuli, unawezaje kujigawa kufanya kazi za Ukurugenzi na Kazi za CCM kwa wakati Mmoja?

    Wakuu salaam Kama tunavyojua, kwenye Nchi yetu bado kuna Mvutano wa Wakurugenzi kusimamia Uchaguzi baada ya kubainika kwamba Wakurugenzi ni Makada wa chama cha Mapinduzi. Hivyo Vyama vya upinzani vinaona havitendewi haki uchaguzi uchaguzi kusimamiwa na chama shindani. Lakini pamoja na yote...
  16. JamiiForums Tanzania Shabiby yapata ajali usiku wa kuamkia leo, mmoja afariki

    Kwa habari zilizotufikia ni kuwa gari ya usafirishaji abiria ya kampuni ya Shabiby Line, imegonga lori la kontena kwa nyuma na kusababisha kifo cha mtu mmoja.
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO HR wa Kampuni ya G 1 Security Group Limited, amshambulia mmoja ya Wafanyakazi wake baada ya kwenda kufuatilia Sitahiki zake

    Mnamo tarehe 10/02/2024 Hr wa kampuni ya ulinzi ya G1 security iliyopo upanga jijini dar es salaam mtaa wa kitonga,kwa kushirikiana na baadhi ya watendaji wengine,walijaribu kumuua mmoja wa aliyekuwa mfanyakazi wao katika nafasi ya supervisor aliyefahamika kwa jina KESI. Mfanyakazi huyo alifika...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Washindi watatu wa kampeni ya ‘Benki ni SimBanking’ wapatikana, Mmoja aondoka na Bajaji

    Katika jitihada zake za kuhamasisha matumizi ya mifumo ya kidijitali nchini, Benki ya CRDB ilizindua msimu wa tatu wa kampeni ya ‘Benki ni SimBanking’ na kutenga jumla ya zawadi zenye thamani ya Shilingi milioni 470 kwa wateja wake mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Constantine Oswald Millinga: Mmoja wa waasisi 17 wa TANU mwaka 1954

    MAKALA: MZEE MILLINGA MUASISI WA TANU TUTAMKUMBUKA DAIMA Mzee Constantine Oswald Millinga mmoja wa waasisi wa TANU akiwa na rais Jakaya Kikwete Na Kassian Nyandindi, SIKU zote binadamu anapozungumzia jambo la kimaendeleo kuelekea Uhuru wa Tanganyika, amekuwa akitoa taswira au picha ya...
  20. JamiiForums Tanzania Urafiki wa Upande Mmoja/ Urafiki wa kujifaidisha kwa ngao ya mapenzi au upendo

    Kuna mfumo Fulani upo kwa Watu wa Jinsia ya Kike. Unapo mtongoza tu unakua umempa Fulsa ya Kupata Pesa/ Mali kutoka kwako Mwanaume. atataka umuaminishe Kama unampenda kupitia Pesa au Vizinga Vya Hapa na Pale. Kipindi Pesa zinatoka we bado mzigo ujapewa, unajiaminisha utapata tu, Sasa swali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…