https://youtu.be/RWa5mN3dgSI?si=ft38Wy6v-jqDon9N
MAULID YA MAFUNGO SITA MNAZI MMOJA YATIMIZA MIAKA 100
KAMATI YA MAULID YA DAR ES SALAAM 1926
Baada kuunda African Association, mwaka 1933 Kleist na baadhi ya rafiki zake wengine walianzisha Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa Waislam...
Baada ya Mdau kuanzisha hoja hii - MWAUWASA imekuwa jipu lisilotumbulika, Nyamagana - Mwanza ni mwezi sasa hatuna maji ufafanuzi umetolewa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) kuhusu hoja hiyo:
MAJIBU YA MWAUWASA...
Habari mdau wetu, pole kwa changamoto iliyojitokeza...
Kisha tatizo dogo likatokea kwenye koo lake.
Ndani ya miezi michache, Kaizari alikuwa hawezi kabisa kuongea.
Na madaktari wake hawakuweza hata kukubaliana ni ugonjwa gani waliokuwa wanakabiliana nao.
Mnamo mwaka 1887, Mwanamfalme Friedrich wa Ujerumani alipata tatizo ambalo hapo awali...
Niliwaambia Heche kashindikana baada ya interview clouds maCCM wanapigana vikubo kujibu mapigo.
Haha ahanah a da huyu jamaa anawalaza na viatu asiee.
.
Walimu msituhusiahe na matatizo yenu maana mfumo mnaujua wenyewe,haya manunguniko msinungunike hizani,
Uchaguzi uliisha mnapaswa kuchapa kazi siyo fimbo,maana sheria na kanuni mnazijua wenyewe kwa hiyo jitahidini muwe mnajaza progress kotekote kwa haki,
Ombeni time sasa ichunguze kwa nn...
Mwaka 2002 ni mwaka ambao kwa familia hakuwa mwaka mzuri, familia ilipata uzuni ya ghafla kila mmoja aliumia kwa wakati wake
Baba yangu aliumia sana kwa sababu katika watoto wa familia dada yangu alikuwa ni mtoto pekee wa baba yangu na kwa kweli kwa darasani akili zake ziliwashinda kaka zetu...
Tukio la kuuawa kwa kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Sadiki mwenye umri wa miaka 19, 3 January 2004, mkazi wa Iriboru mkoani Arusha, ni miongoni mwa matukio ya kusikitisha yaliyowahi kusimuliwa katika eneo hilo na ambayo, kwa mujibu wa simulizi za watu waliolifahamu tukio hilo, yaliibua...
Kuna wakati maisha yanakupeleka sehemu mpaka unatamani usingezaliwa kwenye hiyo familia uliyopo.
Au unajikuta unajuta kuishi, imefikia hatua mpaka mtu unatamani kujiua tu ili uepukane na madhila ya dunia.
Naandika hii thread huku nikiwa natetemeka na kukata tamaa. Natamani mtu aniambie tu...
Single mothers ni wahanga, sio wa kulaumiwa.!
Single mothers ni wahanga wa kuachwa na wanaume wasiotaka kubeba majukumu yao, wapenda starehe bila gharama, wanaume Hawa ni mzigo kwa taifa
Katika nchi zinazotambua hili, single mothers wamekuwa walipewa hela ya kujikimu kila mwezi, zaidi ya...
Tarehe 25 Aprili 2026, Mzanzibari Samia Suluhu Hassan alizindua Meli ya Uvuvi kwenye maji ya kina kirefu, hadi sasa sijaona Samaki waloletwa. Eti Uchumi wa Bluu.. Meli ilitengenezwa kwa zaidi ya Bilioni 25. Je, itazirudisha lini?
Leo ni siku 106 tangu izinduliwe. Hakuna samaki hata mmoja...
Nimeona taarifa hii ya Azam TV ikieleza kuwa cement imepanda na kuwa baadhi ya maeneo inauzwa hadi Shilingi 22,000 hadi 23,500kwa mfuko wakati awali ilikuwa inaiuzwa kati ya Shilingi 15,000 hadi 17,000, sasa imekuwaje ghafla tu mzigo umepanda kwa kiwango hicho? Kuna nini nyuma ya pazia...
Kamwe usiamini hadithi ya upande mmoja. Daima huwa na kurasa zilizokosekana.
Watu wengi wamekuwa wakihukumu watu kwa kutumia upande mmoja wa hadithi, bila kujali ni kwa namna gani wanaumiza wengine.
Kusikia upande mmoja tu wa story ni hatari. Mara nyingi mtu anakwambia sehemu inayomfaa yeye na...
Hii ndiyo imani sahihi juu ya Mungu.
Yeyote mwenye kudai kuwa Mungu yupo zaidi ya mmoja huyo ni Mshirikina.
Yeyote mwenye kudai Mungu ana mwana (Mtoto) ,jua kuwa huyo mtu amelaaniwa na amemkufuru Mungu.
Yeyote mwenye kudai Mungu amefanana na kiumbe au kitu chochote kile ,jua huyo mtu...
Tunaendelea kutafakari condition zake
hapa nimepata picha kamili
1.Heche na Tundu Lissu ni very strong person
2.Msigwa kurudi Chadema Kuna namna hakupaswa kupokelewa
3 Tuhuma za Heche kuwa amekula pesa ni za uongo na zipuuzwe
In origin
Mwenzetu mmoja anatafakari Ina maana...
Natumia nafasi hii kutoa mrejesho wa hoja iliyowasilishwa jukwaani kuhusu kero zilizokuwa zikijitokeza kufuatia kusitishwa kwa huduma za vyoo katika Kituo cha Mwendokasi Kivukoni.
Baada ya zoezi la ukarabati, nimebaini kuwa huduma zimerejea katika hali nzuri. Miundombinu imekarabatiwa, na kwa...
Anonymous
Thread
baada
huduma
katika
kituo
kituo cha mwendokasi
kivukoni
kusitishwa
mmoja
mwaka
mwaka mmoja
mwendokasi
mwendokasi kivukoni
vyoo
Hili ndilo swali ambalo watu wote wanajiuliza baada ya tamko la Mwenyekiti wa ccm alipokutana na vyama ndugu na rafiki wa kufa n.a. kuzikana vikiwemo CHAUMA na ACT
Mwenzao huyo ni nani ?
Watanzania wote hawana msimamo mmoja, ila CCM ina msimamo mmoja. Lazima tujitizame, kwanini CCM wote wana mtizamo mmoja? na kwa nini Watanzania wote hawana mtizamo mmoja?.
Wakazi wa Mtaa wa Magaka, Kata ya Kahama – Ilemela, wanaomba mamlaka husika kuangalia upya ukubwa wa mtaa huo kutokana na changamoto zinazotokana na eneo kuwa kubwa huku likiongozwa na Mwenyekiti mmoja.
Kutokana na ukubwa wa mtaa, baadhi ya huduma muhimu zimekuwa mbali na makazi ya wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.