Huku Arusha kata ya Lemara mtaa wa Kikwakwaru B tuna shida ya maji yapata mwezi mmoja sasa hatuna maji kabisa!
Tukapata taarifa kwamba kuna bomba limeharibika na linafanyiwa kazi lakini mpaka leo hii hakuna maji au yanatoka kwa pressure ndogo sana tena usiku wa manane.
Cha ajabu ni kwamba...
Anonymous
Thread
arusha
hatuna
idara
idara ya maji
maji
maji arusha
mmoja
mtaa
mtaani
mwezi
mwezi mmoja
mzima
shida
shida ya maji
taarifa
tuna
yapata
Nyota wa Real Madrid, Fede Valverde, ameripotiwa kulazwa hospitalini baada ya kuzuka tena kwa ugomvi mkubwa kati yake na mwenzake Aurelien Tchouameni, hali iliyoanza wakati wa mazoezi ya timu siku ya Jumatano.
Kwa mujibu wa taarifa hizo, wachezaji hao wawili walihusika katika mabishano makali...
Kuna mtu mmoja alisikika huko mitandaoni akisema kwenye video mjongeo maneno hayo aliyosasema kama inavyoonekana hapo chini...
Mama kauliza hapo wakuu.. tusaidiane kupata majibu mpaka imfikie mama
Cc. Mhe. Dkt Dorothy Gwajima . waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum...
Sawa nina njaa kali.
Ila jana nimejitafakari sana, Kati ya kuendekeza njaa au kulinda dignity.
Kwanza tumeenda Mnazi Mmoja saa 1 kamili tupo pale, mgeni rasmi RC wa Jiji akafika saa 3 Asubuhi. Tukaanza kupita na mabango yenye jumbe mbalimbali mbele yake.
Saa 8 HR akatuita kwenye gari...
Ndugu zangu nawasilimu kwa majina yote ni imani yangu mko salama.
Leo nimeamka na kufikiria kuhusu nchi yetu pendwa baada ya muda mrefu kutoa michango kwa ajili ya maendeleo ya Taifa letu, nilifurahi kuona swala la kilimo kwa vijana likitiliwa mkazo hiyo itakuwa chachu ya maendeleo kwa vijana...
UBINAFSI
ULAFI
UKANDA
TAMAA
UNYAMA
UMALAYA WA KISIASA.
Hivi ni vitu ambavyo vipo kwa kila mwanadamu ila kwa mtu mweusi ndio pumzi yake.
Tulipata watu wachache ambao waliviweka hivi kando ila mkaishia kuwageuka nyie wenyewe na kuwaua.
Mnakula vya watu kwa ulafi huku mkisingizia wazungu kwa...
Kwamba 2026 mpaka 2029 tunakwenda na Mtwara tunatenga trillion 5 kwa ajili ya mtwara tu viwanja vya michezo yote, vya ndege, bustani mijini kupanda miti katikati mwa miji maana HALMASHAURI zimeshindwa kuboresha miji tuwe kama ulaya, barabara zote za mjini kupigwa lami, Veta au workshop kama ile...
JAMAA MMOJA KANIULIZA; HIVI MTIBELI UNAVYOWAKANDIA WANAWAKE UNAPATAGA KWELI WANAWAKE? JIBU LANGU NI HILI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Kati ya vitu ambavyo Sisi watibeli havijawahi kutusumbua ni upatikanaji wa wanawake.
2. Na sio ilimradi wanawake. Bali wanawake wenye sifa na vigezo...
Tila tila ni michirizi ya mahaba iliopo kwenye mapaja muda mwingine kusogea hadi kwenye makebo
Acha ile ilio komaa na kutengengeza longitudes, no kuna hii ilo sexy sana hata watoto wa mjini wanaijua😁
Probative value ya mahojiano/ ushahidi wenu na so called mliwahoji iko wapi bila kusikiliza upande mwingine!
Nilisema mnajiletea aibu mkiwa retired Chief Justices
Media na wasanii Bongo ni wanafki sana, walikufa watu wengi Oktoba 29, 2025 hamkupost, kafa mtu mmoja post kila kona halafu mnajiita nyie ni vioo vya jamii.
Nyie ni vioo vya jamii gani? Mbona hiyo jamii haiwatambui kama vioo, kwanza vioo mmetoa wapi, unafki tu
🚗⚡ KWANINI ABIRIA WAKO WAKOSE CHARGE?
Usikubali abiria wako wabaki bila charge safari nzima!
Jipatie Car Fast Charger inayoweza kucharge hadi simu 6 kwa wakati mmoja 🔥
🔌 Type-C + USB (Fast Charging)
📏 Cable ndefu – inafika hadi siti za nyuma
💡 LED ya kisasa inayovutia
👨👩👧👦 Inafaa kwa dereva...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia mtu mmoja aitwaje Johnson Jonas mkazi wa Matejoo Jijini humo kwa tuhuma za kumpiga mtoto mwenye umri wa miaka kumi na tatu kufuatia picha mjongea inayosambaa katika baadhi ya mitandao ya kijamii ikionesha tukio hilo.
Akitoa taarifa hiyo, Kamanda wa...
Mimi ni Mwananchi kutoka Katavi Wilaya ya Mlele naomba Serikali iongeze Watumishi Idara ya Afya Kitengo cha Mionzi, kwani kuna Mtumishi mmoja tu naye anapitia changamoto za ajali ya mguu, hivyo Wananchi wanakosa huduma kwa wakati.
Kibaya zaidi kuna Zahanati Inyonga B na Zahanati Ilunde na...
Anonymous (d932)
Thread
afya
kitengo
mionzi
mmoja
mtumishi
serikali
watumishi
watumishi wa afya
wilaya
Jeshi la Polisi limelazimika kuwahi eneo la tukio na kuingilia kati taharuki iliyojibuka Kimara Mwisho, Wilayani Ubungo Mkoani Dar es salaam jioni hii baada ya Wananchi wa eneo hilo kumpiga Mwanaume mmoja anayedaiwa kupoteza sehemu za siri za Mkazi mmoja wa Kimara baada ya kumshika begani...
Wakazi wa Matosa - Goba DSM, hususan eneo la Shule ya Msingi More Light, tumekumbwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa maji kwa takribani mwezi mmoja sasa.
Kila tunapouliza, tunaelezwa kuwa bomba linaloleta maji kutoka Uzalamoni limeharibika, hata hivyo, inashangaza kuona kuwa bomba hilohilo...
Anonymous
Thread
dar
eneo
eneo la shule
goba
maji
mmoja
msingi
mwezi
mwezi mmoja
shule
shule ya msingi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.