mme wako

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LA7

    Ni tabia gani uliweza kumbadilisha mke au mme wako?

    Kwenye maisha ya mahusiano Mara nyingi hutokea watu wakakutana na hawajuani wala hakuna mwenzake ana fahamu mwenzake kakuaje au kapitia maisha gani, Ni Mara chache sana hutokea wakakutana au kuoana waliokulia sehemu moja na kujuana, Mm kuna baadhi ya tabia ambazo nilimkuta nazo mke wangu na...
  2. wahid1

    Kwanini wanasema simu ya mpenzi wako sumu?

    Wengi wanajutia au hata kufurahia uamuzi wao wa kujikuta wanachungulia ujumbe na mawasiliano ya wenzao katika simu zao za mkononi lakini matokeo yake ni jambo ambalo hawakulipangia. Ni kifaa kidogo cha mkononi ambacho kilifaa kurahisisha mawasiliano miongoni mwa watu. Lakini sasa hivi kama...
  3. 2019

    Wake mlioolewa: Kama unaishi na mdogo wako wa kike hapo kwa mumeo kaa ukijua mna-share

    Kumtafuna mdogo wa mkeo ni rahisi kuliko kumeza mate. Kuna visa vingi sana vilivyowatokea watu. Mara nyingi sana huwa tunazungumza na mke wangu changamoto za ndoa ili kujilinda mapema afu badae tukaanza kulaumiana. Kosa kubwa kabisa walaumiwe Wanawake wenyewe kwa sababu hizi 1. Akija ndugu...
  4. Daby

    Mme/mke anapoweka na kuficha nywila kwenye simu janja yake, unalitafsiri vipi?

    Simu sio kifaa kizuri saana kwa wapenzi waishio pamoja. Kinaweza kusababisha matatizo mengi saana. Na matatizo haya yanaweza kusababishwa na kakitu kadogo. Wapo wanaosema simu za waume/wake zao haziwahusu lakini swali dogo tu...mkeo akipigiwa simu kisha ukaskia kabisa anaongea na mwanaume kesho...
Back
Top Bottom