Wake mlioolewa: Kama unaishi na mdogo wako wa kike hapo kwa mumeo kaa ukijua mna-share

2019

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
2,165
2,000
Kumtafuna mdogo wa mkeo ni rahisi kuliko kumeza mate. Kuna visa vingi sana vilivyowatokea watu.

Mara nyingi sana huwa tunazungumza na mke wangu changamoto za ndoa ili kujilinda mapema afu badae tukaanza kulaumiana.

Kosa kubwa kabisa walaumiwe Wanawake wenyewe kwa sababu hizi
1. Akija ndugu yake usipompokea na kumsaidia UNA ROHO MBAYA
2. Akija mdogo wake"anakuja kutusaidia kazi"ukikataa HUPENDI NDUGU ZANGU
3. Mdogo (kike)wake akija atafanya makazi yote ya nyumbani hata sisizomuhusu kama[kutandika kitanda,kupasi nguo za mume, kupeleka maji bafuni n.k]

Sasa wanaume wakarimu na wenye huruma hutimiza kila kitu wakati huo mashemeji wanahisi kupendwa na kujaliwa sana kwa hiyo huenda mitego ikaanza bila dada kujua. Kinachobaki ni utekelezaji wa amri ya 6 tu.

Pia, hapa pia BBC👇👇 'Najuta kumuacha dada yangu awe na mazoea na mume wangu’ - BBC News Swahili

Ndoa hujengwa na wawili wanaopendana na kuheshimiana sana.
Hivi mwanamke unaejitambua unawezaje kumleta mdogo wako alale sebuleni ili tu akusaidie kazi wakati peke yako unazimudu?
Jiulize hivi mke ukimwa (mimba, kulea au kuugua kwa muda) nani atamuhudumia mumeo kama mdogo wako yuko hapo nyumbani?

Wake waume zenu wanapokataa kuwatunza wadogo zenu sio kama hawawapendi basi wanajua madhara huko mbeleni.
 

DAN LOKOMOTIVE

JF-Expert Member
Dec 16, 2016
1,185
2,000
Hakuna cha madhara wala nini kosa sio la mke wako kama uko hivo basi ulioa huku huja komaaa kiakili maana hizo ni tabia za kivulana ila sio za mwanaume anayejielewa.Kama imetokea umemfanya mdogo wa mke wako hilo ni kosa lako wewe kama wewe.

Kwa sababu ukisema hivo basi na wake nao wawakatae wadogo zetu sisi wa kiume maana wakiletwa pale watamgonga.

Ushauri ukiamua kuoa jaribu sana kua act kama mwanuamie sio mvulana na ukikosea kubali kwamba umekosea na kusaliti hakuna msababishi ni mtu mwenyewe ana amua regardless ni mwanmke au mwanaume
 

Samcezar

JF-Expert Member
May 18, 2014
9,458
2,000
Yaani mwanaume mtu akikupikia au kukufulia unasimamisha? Unapata nyege kisa mtu kakupa maji ya kunywa?? Acheni tamaa


Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Ungekuwa mwanaume ungeleewa. Ni sawa na ninyi wanawake tuwaulize unamlegezeaje mtu kisa anakupatia pesa, anakupa mtaji wa biashara, anakulipia kodi, anakujengea na kusomesha wadogo zako?!
 

Samcezar

JF-Expert Member
May 18, 2014
9,458
2,000
Hakuna cha madhara wala nini kosa sio la mke wako kama uko hivo basi ulioa huku huja komaaa kiakili maana hizo ni tabia za kivulana ila sio za mwanaume anayejielewa.Kama imetokea umemfanya mdogo wa mke wako hilo ni kosa lako wewe kama wewe. kwa sababu ukisema hivo basi na wake nao wawakatae wadogo zetu sisi wa kiume maana wakiletwa pale watamgonga. Ushauri ukiamua kuoa jaribu sana kua act kama mwanuamie sio mvulana na ukikosea kubali kwamba umekosea na kusaliti hakuna msababishi ni mtu mwenyewe ana amua regardless ni mwanmke au mwanaume
Hapo umefikiria ila haujatumia elements zote muhimu zinazopeleka situation kama hiyo kutokea.

Nakupa mfano, mkeo anakuwa analazimisha sana wadogo zake kuja kuishi kwake bila sababu za msingi ile hali ninyi mkiwa katika hatua za awali za ujenzi wa familia bora ya kisasa.
 

DAN LOKOMOTIVE

JF-Expert Member
Dec 16, 2016
1,185
2,000
Hapo umefikiria ila haujatumia elements zote muhimu zinazopeleka situation kama hiyo kutokea.

Nakupa mfano, mkeo anakuwa analazimisha sana wadogo zake kuja kuishi kwake bila sababu za msingi ile hali ninyi mkiwa katika hatua za awali za ujenzi wa familia bora ya kisasa.
Hata kama akilazimisha kuja pale haikupi wewe excuse ya kufanya haya mkuu sema tuu kwamba umepitiwa basi kama umeshikwa na tamaa una sema kwa kweli tamaa imenishika ila sio vibaya wala kosa kwa mkeo kulea ndugu yake wa kike pale nyumbani
 

Samcezar

JF-Expert Member
May 18, 2014
9,458
2,000
Ujinga ujinga tu,siku hizi wanaume mna ujinga mwingi,inafikia hatua mnatembea mpaka na watoto wenu wa kuwazaa,mabinti wa kazi
Ndugu wa mke
Mtu anapigaje mtoto wake wa kuzaa?!

Nimefuatilia hizi story nimebaini baadhi ya wanaume siku hizi wakigundua mwanamke aliwabambikia mtoto na akaja kujua ukweli wanaamua kuwaingilia wale watoto kimwili kama kisasi kwa mkewe kwa kuficha siri na akianza kulalamika wanandugu watahoji nini kimemkuta huyu mwanaume hadi kulala na damu yake then hapo ndipo ukweli unawekwa mezani kesi inayobakia ni ya kukula katoto.

Kuna kesi kama hiyo ya mama ana watoto watatu na mumewe kumbe 1st born sio binti yake maza alikuwa na harakati. Mzee alishapeleka watoto huko kwao ila huyu mkubwa tokea mwanzo walishashtukia sio damu yao.

Miaka imeenda binti akiwa kidato cha tano ndipo moto ukawaka. Kumbe mzee alishaanza kumega binti. Binti alianza kuzinguana na mama yake baada ya kukataa kuendelea na kidato cha 5, akitaka afanye biashara. Mama kapinga mzee kakubali akatoa mtaji. Ule ugomvi ndio ukaja kuibua siri, mama alikuwa kaanza kuvimbiana na mzee binti anapigana vita upande m'moja na baba yake.

Mama akataka kumpasha joto mzee kwa kuwa anatoka out na kuchelewa kurejea mzee akawa halali kabisa home anakuja asubuhi na asiporudi na binti harudi.

Siku ugomvi umewaka mama maneno makali yanamtoka anawatusi anasema kama kama huyo binti unamuona ndie mkeo basi muoe,binti akajibu kwan tumeanza leo, mbona muda mrefu nakusaidia majukumu yako. Maza akaanguka kwa mshtuko.

Mzee akampangishia binti nyumba sehemu nyingine maisha yakaendelea kama kawa.

So wanawake u better be careful nowadays wanaume wameanza kuwa tofauti na ile kawaida waliyowaambia mashangazi wenye ghubu.
 

Samcezar

JF-Expert Member
May 18, 2014
9,458
2,000
Hata kama akilazimisha kuja pale haikupi wewe excuse ya kufanya haya mkuu sema tuu kwamba umepitiwa basi kama umeshikwa na tamaa una sema kwa kweli tamaa imenishika ila sio vibaya wala kosa kwa mkeo kulea ndugu yake wa kike pale nyumbani
Sio kosa kulea ila msikilize basi mumeo akupe muongozo. Hivi kuna mtu asietaka ujiko ukweni kwa kuwapunguzia gharama za malezi ya watoto wao....?!

Ila unakuta bado mpo maisha ya awali, chumba sebule baasi. Mtu anakwambia wadogo zake wa kike waje, afu unakuta watoto ni wabichi wazuri balaa. Hivi jamani hii mitihani wanawake mbona mnajikuta wapofu kuiona.

Halafu watoto wa kike sasa akisha kuzoea na anakula vizuri, anaogea maziwa na asali, anapakaa lotion ya cocoa butter hivi akipita hapo mbele yangu na macho ya shemeji unaniona lakini, nipo hapa kwaajiri yako.

Hivi mbona lawama za bure hizi lakini....
 

Ncha Kali

JF-Expert Member
Sep 19, 2019
9,772
2,000
Ni heshima kubwa kumla mdogo wa mkeo, ni mke mdogo huyo.... kimila ukifiwa mkeo unapewa mdogo wake.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom