nywila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania Sheria hairuhusu kutoa Nywila yako hata kwa mpenzi wako

    Mhadhiri Msaidizi wa chuo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (COICT), Merina Lumbalo, anasema kisheria nywila ni ya mtu mmoja na haishauriwi kushirikishwa, hata kwa mtu wa karibu. Ameeleza kuwa simu au kompyuta inaweza kuwa na taarifa binafsi au za kazi, hivyo kutoa nywila kunaweza...
  2. I

    JamiiForums Tanzania NAMNA YA KUREJESHA NYWILA ILIYOSAHULIKA KWENYE WINDOWS – KIUNDANI NA KWA MAJUKUMU HALALI TU Na Goodluck Maleko J

    “Umekwama Kwenye Windows? Njia ya Kisomi, Kisheria na Kiufundi ya Kurejesha Password Kusahau nenosiri (password) ya kuingia kwenye kompyuta ya Windows ni moja kati ya changamoto zinazoathiri watumiaji wengi — iwe ni nyumbani, kazini, au katika mazingira ya kielimu. Wengine huingia kwenye hofu...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Nywila Bilioni 16 za Apple, Facebook, Google na Mitandao Mengine Zavuja

    Watafiti wamethibitisha kuwa hili ni tukio kubwa zaidi la uvujaji wa taarifa kuwahi kutokea baada ya nywila bilioni 16 pamoja na taarifa za watumiaji wa mitandao mbalimbali kuvuja kuanzia Januari 2025 Wataalamu hao wamedai kuwa taarifa na nywila hizo zilikusanywa kwa kutumia programu hatari...
  4. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Password (nywila) imara ni muhimu ili kulinda taarifa zako katika vifaa vya kielektroniki na programu tumizi

    PASSWORD (NYWILA) IMARA NI MUHIMU ILI KULINDA TAARIFA ZAKO KATIKA VIFAA VYA KIELEKTRONIKI NA PROGRAMU TUMIZI Password au Nywila imara na ya kipekee ni muhimu ili kulinda taarifa zako na programu tumizi (application) zilizopo katika vifaa vyako vya kielektroniki. Password au Nywila ni ya kwako...
  5. shuka chini

    JamiiForums Tanzania Nywila yangu ya simu yaleta ugomvi

    Wakuu poleni sana na majukumu ya kutwa nzima. Ipo hivi mke anataka kujua password ya simu yangu tena analazimisha. Sasa nataka aguse simu nimpasue, leo napasua mtu.
  6. Shining Light

    JamiiForums Tanzania Changamoto za Nywila Ndefu na Mbinu za Kuzingatia

    Katika pita pita zangu nimekutana na kitu kinacho ongelea ulimwengu wa usalama wa simu za mkononi, kundi la watafiti lilianza kuelewa jinsi watu wanavyochagua nywila zao. Walitaka kuona ikiwa nywila ndefu zilikuwa bora kila wakati. Kwa mshangao wao, waligundua kuwa nywila ndefu haikuwa daima...
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Password (Nywila) zinazoongoza kudukuliwa zaidi

    Kuvuja kwa data na mashambulizi ya mtandao yanazidi kuwa jambo la kawaida ulimwenguni. Ili kulinda kitambulisho chako mtandaoni na taarifa zako kibinafsi, ni muhimu kutengeneza nywila yako bora. Uchunguzi wa Cybernews na National Cyber Security Centre umebainisha baadhi ya nywila ambazo sio...
  8. Invisible JK

    JamiiForums Tanzania USITOE NYWILA zako

    Tunajua wengi huwa tunapata itilafu katika simu ikiwepo kuvunjika kwa screen kwenye android na iphone. Nakimbilio letu ni mafundi Ili warekebishe lakini tunampa faragha fundi ya kupitia Kila kitu. Ni kheri kabla ya kutengeneza usimpe NYWILA au password zako na utafanya jaribio wewe mwenyewe ya...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini unampa mtu wako wa karibu 'password' zako?

    Nywila (password) ni utambulisho binafsi, ambao hulinda taarifa zote katika ulimwengu wako wa kidijitali: taarifa binafsi, akaunti za benki, mitandao ya kijamii, taarifa za nyeti, picha na maudhui ya aina yoyote. Ndiyo maana ni muhimu kuunda nywila imara ambayo ni ngumu kukisia. Hata nywila...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Nywila (password) zako ni imara au ukidukuliwa sehemu moja umekwisha?

    Utahitaji kuwa na password ili kufanya karibu kila kitu kwenye mtandao, kuanzia kuangalia barua pepe hadi benki ya mtandaoni. Na ingawa ni rahisi zaidi kutumia password fupi, ambayo ni rahisi kukumbuka, hii inaweza pia kuleta hatari kubwa kwa usalama wako wa mtandaoni. Ili kujilinda na taarif...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Usitumie nywila (Password) moja kwenye mitandao yako tofauti ya kijamii

    Salaam Wakuu, natumai nyote mpo salama. Nywila (Pasword) imekuwa ni sehemu muhimu ya ulinzi wa akaunti zetu za mitandao ya kijamii pamoja na vifaa vyetu vya kidijitali. Katika kuendelea kuhakikisha matumizi ya mitandao ya kijamii inakuwa salama, wataalamu wa mitandao wanahimiza kuunda password...
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Fanya haya kulinda Nywila (Password) zako

    NAMNA YA KULINDA NYWILA (PASSWORD) YAKO 1) Usitumie Nywila (Password) moja kwenye kurasa zako zote za Mitandao ya Kijamii. Hakikisha kila mtandao unatumia #Password yake 2) Hakikisha Nywila yako ina jumla ya herufi/alama zisizopungua 16 au na zaidi (Mfano: M1m1$%678abc@£+#) 3) Usitumie maneno...
  13. Daby

    JamiiForums Tanzania Mme/mke anapoweka na kuficha nywila kwenye simu janja yake, unalitafsiri vipi?

    Simu sio kifaa kizuri saana kwa wapenzi waishio pamoja. Kinaweza kusababisha matatizo mengi saana. Na matatizo haya yanaweza kusababishwa na kakitu kadogo. Wapo wanaosema simu za waume/wake zao haziwahusu lakini swali dogo tu...mkeo akipigiwa simu kisha ukaskia kabisa anaongea na mwanaume kesho...
Back
Top Bottom