mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dalili mbili kuwa hatima yako ni kuwa Mtu Mkubwa na mkuu (Greatness)

    First, You never fit in Hujawahi kuendana na makundi au mifumo ya kawaida. Tofauti yako ndio alama ya ukuu wako. Ukijiunga na watu kwa jambo lolote wenzio watakua hawakuelewi na wewe huwaelewi, fikra zako ziko mbele ya muda ndio sababu. wanayoyapenda wengine wewe sio habari hata kidogo...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri mkuu wa Tanzania ni wa Tanganyika pekee au ana mamlaka hadi Zanzibar?

    Mbona huwa sijawahi kuwaonea wakina Majaliwa na Mwigulu wakienda kutoa maelekezo, maagizo na kufanya mikutano ya kutatua changamoto za wananchi Unguja au Pumba? Hii nafasi ya waziri mkuu wa Tanzania mamlaka yake yakoje katika nchi ?
  3. JamiiForums Tanzania LIVE: Waziri Mkuu Nchemba Katika Jubilei Miaka 25 Mpanda

    https://www.youtube.com/live/f0qUr8D3buA?si=9YnTGIabH5P-V7hB LIVE: Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba Leo Agosti 30, 2026 ni Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 25 ya Jimbo Katoliki la Mpanda. Maadhimisho hayo yanafanyika katika Viwanja vya Shule ya Sekondari ya St. Marry...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Lakini pamoja na hayo pale nchini Malawi kiongozi mkuu nae anashida haiwezekani

    Yule rais wao Toka aapishwe kuongoza lile taifa la Malawi na kuendelea mpaka sasa anaenda kumaliza mwaka wa kwanza wa awamu ya pili madarakani. Kashafanya kazi na manaibu prezida watatu japokua pia yule mpya haijulikani kama atamaliza nae muhula. Kashafanya kazi na makatibu wakuu wa chama...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Serikali itaendelea kutenga fedha kwa ajili ya kuimarisha mawasiliano katika maeneo yenye uchumi mkubwa lakini yana changamoto za -Waziri Mkuu Nchemba

    Serikali itaendelea kutenga fedha kwa ajili ya kuimarisha mawasiliano katika maeneo yenye uchumi mkubwa lakini yana changamoto za kimawasiliano-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba πŸ“Bungeni-Dodoma πŸ—“οΈ Agosti 27, 2026. β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”- Amesema hayo wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Bumbuli...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Tumejipanga kukabiliana na athari zinazoweza kusababishwa na mvua za Elnino - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Tumejipanga kukabiliana na athari zinazoweza kusababishwa na mvua za Elnino - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba πŸ“Bungeni-Dodoma πŸ—“οΈ Agosti 27, 2026. β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”- Amesema hayo wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini, Johnston Mtasingwa.
  7. JamiiForums Tanzania Kwa kutotoa press ama kauli yeyote mpaka sasa kwa issue ya makamo kujiudhuru ni ishara kwamba mkuu wa nchi atakua anaupima upepo.

    Tangu mh Nchimbi ajiudhuru mpaka sasa ni takribani siku ya nne lakini hakuna kauli yoyote ya mkuu wa nchi. Kwa namna ya ukubwa wa jambo lenyewe ilipaswa mpaka sasa nchi iwe imesikia kauli yoyote kutoka kwa raisi lakini yuko kimya. Kimkakati ni kama anaupima upepo kusikilizia yanayoendelea...
  8. JamiiForums Tanzania Kujiuzulu kwenye ajira ni haki kikatiba, mwanasheria mkuu wa serikali acha siasa.

    Kitendo cha kumfukuza kazi mfanyakazi anayejiuzulu kwenye ajira ni uswahili. Mhe. Nchimbi apewe haki yake kwenye ajira ya serikali badala ya kuendeshwa na kanuni za CCM.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Sioni uwezekano wa kupata katiba kufika mwaka 2029. Serikali inaona bado hakuna kikubwa

    Jaji mstaafu Joseph Warioba, ameonesha wasiwasi wake juu ya uwezekano wa nchi kupata Katiba Mpya kabla ya kuingia kwenye mchakato wa uchaguzi wa mwaka 2029. Akizungumza leo Agosti 28, 2026, katika mkutano wa wadau wa masuala ya kidemokrasia uliofanyika katika makao makuu ya Chama cha Wanasheria...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Unamlinganisha Mungu na Nani?

    Mara kwa mara nimekutana na komment za watu mbalimbali wakidharau neno la Mungu kwa kigezo kwamba Mungu kama yupo kwanini hakujibu maombi yao? Watu hao wengi wao waliwai kuwa watoto wa Mungu na waliwai kushuhudia nguvu za Mungu lakini kutokana na changamoto za hapa na pale wamejikuta wakidharau...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Serikali itaendelea kutenga fedha kwa ajili ya kuimarisha mawasiliano katika maeneo yenye uchumi mkubwa lakini -Waziri Mkuu Dkt Nchemba

    Serikali itaendelea kutenga fedha kwa ajili ya kuimarisha mawasiliano katika maeneo yenye uchumi mkubwa lakini yana changamoto za kimawasiliano-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba πŸ“Bungeni-Dodoma πŸ—“οΈ Agosti 27, 2026. β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”- Amesema hayo wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Bumbuli...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akijibu maswali ya papo kwa papo kutoka kwa Wabunge Bungeni jijini Dodoma. Agosti, 27 2026.

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akijibu maswali ya papo kwa papo kutoka kwa Wabunge Bungeni jijini Dodoma. Agosti, 27 2026.
  13. JamiiForums Tanzania Mh.Waziri mkuu wa Tanzania Mwigulu Lameck Nchemba tembelea wilaya ya Kilindi Tanga uwaokoe walimu wanaofanyiwa udikteta wa hali ya kutisha bila kutete

    Kwanza nakusalimia Kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania.Kazi iendelee. Naandika Kwa maumivu makali moyoni juu ya udikteta wa kutisha unaofanywa Kwa walimu wanaodai madai mbalimbali hapa wilayani Kilindi Tanga.Pesa za likizo hazitolewi Kwa wakati Kwa watumishi na zikija zimekatwa. Pesa...
  14. JamiiForums Tanzania Tetesi: Nchemba kuwa Makamu wa Rais na Makonda kuwa Waziri Mkuu

    Mwigulu atateuliwa kuwa VP na Makonda anaenda kuwa PM" Uamuzi alishauamua tokea akiwa Zanzibar na ni Washirika wake wachache sana aliowajuza; mmoja-wao ni Abeid" Anamwona Mwigulu anapwaya kuwa PM na kwa sababu ya hilo la EN ku resign, anaona ni wasaa sahihi wa kumpa nafasi isiyo na kash-kash...
  15. JamiiForums Tanzania Mwigulu awataka Watanzania kuimarisha malezi, kulinda amani na kutimiza wajibu

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka Watanzania kuendelea kuimarisha malezi ya watoto na vijana, kulinda amani, kuheshimu tofauti na kutimiza wajibu wao kwa taifa, akisisitiza kuwa haki na wajibu haviwezi kutenganishwa. Dkt. Mwigulu ameyasema hayo leo Jumanne, Agosti 25, 2026, wakati...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ataka ubunifu upelekwe sokoni

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba ameitaka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia pamoja na taasisi zake kuhakikisha bunifu zinazozalishwa na Watanzania haziishii kuonyeshwa kwenye maonesho, bali zinaendelezwa, zinalindwa na kupelekwa sokoni ili zitoe suluhisho kwa changamoto mbalimbali na...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa wilaya ya Chake Chake avamia danguro ambalo lipo eneo la Chanjamjawiri, atoa onyo kali kwa wanaofanya biashara ya ngono wilayani humo

    Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya hiyo, Zuhura Mgeni Othman, amefanya uvamizi katika nyumba inayodaiwa kutumika kama danguro katika eneo la Chanjamjawiri, Kisiwani Pemba. Katika tukio hilo, DC Zuhura amebaini kuwepo kwa kondomu...
  18. JamiiForums Tanzania Hasiye sikia la mkuu, Nyerere alisema wahaya na wachaga hawafai kuwa viongozi mnakengeuka,Mbowe hajawai enda ukonga ILA Leo kaenda na kurudi haraka.

    HAYA makabila ni Malaya kama Malaya wengine, Leo mbowe anaenda DSM kwenye uzinduzi wa bwawa la umeme na anadai ana haraka kuondoka anawai ndege anashindwa kwenda ukonga kumwona mwenyekiti wake wa CHADEMA? Hawa ni Malaya kama Malaya wengine .
  19. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu TABOA; Watanzania Wajiandae Na Nauli Mpya

    Watanzania wajiandae gharama za usafirishaji tutaziongeza kwa sababu ukifika Stendi ya Magufuli ushushe uchukue lori au usafiri mwingine ukodi upeleke ofisini kwako ili yule anayekuja kupokea huo mzigo aukute ofisini kwako. "Na tunasikitika sana Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba alituomba baada ya...
  20. JamiiForums Tanzania FINALLY FRIDAY🎊: unaipokeaje hii weekend mkuu? Salama? Kwema?

    Yeah maisha magumu Kila kona gharama zimekuwa ngumu All in all, isikunyime nafasi ya kujinafasi. Utaibukia beach? Movies? Plaza? Pub? Club? Home na familia? ENJOY YOUR WEEKEND.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…