CDF Jenerali Jacob Mkunda: Nchi Haijengwi Na Wahuni na Mateja

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
38,272
Reaction score
24,856
Ndugu zangu Watanzania,

Hiyo ni Kauli nzito iliyotolewa na Mkuu wa Majeshi Ya Tanzania.

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ), Jenerali Jacob Mkunda, amesema Taifa imara halijengwi na Watu wanaojihusisha na vitendo vya utapeli, ugomvi, uhalifu na uvunjifu wa sheria, huku akisisitiza kuwa maendeleo ya Nchi yanategemea uwepo wa Wananchi wenye maadili mema.

Jenerali Mkunda ametoa kauli hiyo leo Juni 5, 2026 wakati wa uzinduzi wa jengo la ghorofa la kusomea Wanafunzi katika Shule ya Sekondari Makongo, Jijini Dar es salaam ambapo amesema Vijana wanapaswa kupewa elimu bora itakayowajengea uwezo wa kuwa raia wema na kuchangia maendeleo ya Taifa badala ya kujiingiza katika vitendo vinavyohatarisha usalama na ustawi wa Jamii.

“Jengeni moyo wa kizalendo wa kuhakikisha Taifa letu linaloelekea kuwa huru, imara na kuheshimika kwa miaka elfu ijayo,”amesema Jenereli Mkunda.

Kazi iendelee, kazi iendelee Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Vp kuhusu viongozi wa nchi wanaovunja katiba wazi wazi?
 
General akumbuke haya
Screenshot_20260605-220758~2.png
 
Kabla ya ukombozi na uhuru wa kweli kule SA makaburu nao walikuwa wanasema hivyo hivyo.

Je, ameongea chochote kuhusu wizi, ufisadi, utekaji, ufiraji, mauaji ya Watanzania??
 
Ma dealer wakuu wa madawa (source ya mateja) ndio hao hao viongozi wa CCM waliopo ofisini NA WASTAAFU, Mkuu nae magwanda yanampwaya, A right message to a wrong audience.
fikra za wafuata mkumbo ni duni na za kinyonge mno, I don't know why aise wanakua katika hali ya upotofu always 🐒
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hiyo ni Kauli nzito iliyotolewa na Mkuu wa Majeshi Ya Tanzania.

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ), Jenerali Jacob Mkunda, amesema Taifa imara halijengwi na Watu wanaojihusisha na vitendo vya utapeli, ugomvi, uhalifu na uvunjifu wa sheria, huku akisisitiza kuwa maendeleo ya Nchi yanategemea uwepo wa Wananchi wenye maadili mema.

Jenerali Mkunda ametoa kauli hiyo leo Juni 5, 2026 wakati wa uzinduzi wa jengo la ghorofa la kusomea Wanafunzi katika Shule ya Sekondari Makongo, Jijini Dar es salaam ambapo amesema Vijana wanapaswa kupewa elimu bora itakayowajengea uwezo wa kuwa raia wema na kuchangia maendeleo ya Taifa badala ya kujiingiza katika vitendo vinavyohatarisha usalama na ustawi wa Jamii.

“Jengeni moyo wa kizalendo wa kuhakikisha Taifa letu linaloelekea kuwa huru, imara na kuheshimika kwa miaka elfu ijayo,”amesema Jenereli Mkunda.

Kazi iendelee, kazi iendelee Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Huyu Jenerali lazima atakuwa F4 failure!
CV yake haijitoshelezi.
 
fikra za wafuata mkumbo ni duni na za kinyonge mno, I don't know why aise wanakua katika hali ya upotofu always 🐒
Fikra sio facts, zinabaki kuwa fikra, mi nakupa facts, wanaozuia madawa ndio wakulima na wanaosambaza, hai ingii akilini, kuanzia grasslevel kwa balozi, kwenda kwa mwenyekiti wa mtaa/ kijiji mpaka iKULU wote ni CCM, then hawa mateja kila kona, justification ya suppliers wao ni kina nani kama sio hao hao viongozi? kama sio, basi ni wamefeli kufanikisha ulinzi wa mipaka ya nchi, wakiwemo hao wala kodi wavaa mabaka mabaka.

Tofauti kubwa ni kwamba facts ni ukweli usiopingika, wakati fikra ni mawazo au mitazamo ya mtu binafsi. Facts hazibadiliki hata uhisi vipi, lakini fikra zinaweza kubadilika wakati wowote.
Hapa chini kuna mambo yanayotenganisha fikra na facts:

Facts (Ukweli)
  • Hutumia thibitisho: Zinaonyesha vitu halisi vinavyoonekana au kupimika.
  • Hazibadiliki: Ni ukweli kwa kila mtu, si kwa mtu mmoja tu.
  • Mifano halisi:
    • Maji yanachemka yakifikia joto la nyuzi 100.
    • Jua linachomoza upande wa mashariki.

Fikra (Mawazo/Mitazamo)
  • Hutegemea hisia: Ni kile unachofikiri au kuamini kichwani mwako ⁠Medium.
  • Zinatofautiana: Kila mtu anaweza kuwa na fikra zake kuhusu jambo lilelile ⁠mbunifu blog.
  • Mifano halisi:
    • "Leo kuna baridi sana" (Hii ni fikra, kwa sababu mwingine anaweza kuona ni hali ya kawaida).
    • "Hesabu ni somo gumu" (Hili ni wazo lako, wengine wanajua ni rahisi).
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hiyo ni Kauli nzito iliyotolewa na Mkuu wa Majeshi Ya Tanzania.

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ), Jenerali Jacob Mkunda, amesema Taifa imara halijengwi na Watu wanaojihusisha na vitendo vya utapeli, ugomvi, uhalifu na uvunjifu wa sheria, huku akisisitiza kuwa maendeleo ya Nchi yanategemea uwepo wa Wananchi wenye maadili mema.

Jenerali Mkunda ametoa kauli hiyo leo Juni 5, 2026 wakati wa uzinduzi wa jengo la ghorofa la kusomea Wanafunzi katika Shule ya Sekondari Makongo, Jijini Dar es salaam ambapo amesema Vijana wanapaswa kupewa elimu bora itakayowajengea uwezo wa kuwa raia wema na kuchangia maendeleo ya Taifa badala ya kujiingiza katika vitendo vinavyohatarisha usalama na ustawi wa Jamii.

“Jengeni moyo wa kizalendo wa kuhakikisha Taifa letu linaloelekea kuwa huru, imara na kuheshimika kwa miaka elfu ijayo,”amesema Jenereli Mkunda.

Kazi iendelee, kazi iendelee Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
NRM boss
 
“Jengeni moyo wa kizalendo wa kuhakikisha Taifa letu linaloelekea kuwa huru, imara na kuheshimika kwa miaka elfuu ijayo,”amesema Jenereli Mkunda.

Kazi iendelee, kazi iendelee Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Ndugu zangu Watanzania,

Hiyo ni Kauli nzito iliyotolewa na Mkuu wa Majeshi Ya Tanzania.

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ), Jenerali Jacob Mkunda, amesema Taifa imara halijengwi na Watu wanaojihusisha na vitendo vya utapeli, ugomvi, uhalifu na uvunjifu wa sheria, huku akisisitiza kuwa maendeleo ya Nchi yanategemea uwepo wa Wananchi wenye maadili mema.

Jenerali Mkunda ametoa kauli hiyo leo Juni 5, 2026 wakati wa uzinduzi wa jengo la ghorofa la kusomea Wanafunzi katika Shule ya Sekondari Makongo, Jijini Dar es salaam ambapo amesema Vijana wanapaswa kupewa elimu bora itakayowajengea uwezo wa kuwa raia wema na kuchangia maendeleo ya Taifa badala ya kujiingiza katika vitendo vinavyohatarisha usalama na ustawi wa Jamii.

“Jengeni moyo wa kizalendo wa kuhakikisha Taifa letu linaloelekea kuwa huru, imara na kuheshimika kwa miaka elfu ijayo,”amesema Jenereli Mkunda.

Kazi iendelee, kazi iendelee Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ajira kwa vijana na sera nzuri ndio kiini cha yote.
 
Ukafute kule kwenye mitandao, kwani wewe ndio una udhibiti?
Na kumbuka, kama una akili za kukutosha, kauli zimtokazo mtu, zinaashiria kilicho kichwani mwake, au kama hakuna kitu.
Achana naye huyo mzanzibari.
Siku hizi vyeo ni vya kupeana, si kwa performance na usomi.
Sasa mtu wa serikali anaongea utopolo, anategemea weatu wasemeje….😂
 
Back
Top Bottom