mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Shehe mkuu wa Mkoa wa Mtwara ndani ya tamasha la ‘Muziki Mnene’

    Naona shehe mkuu wa mkoa wa Mtwara ameenda kwenye tamasha la Muziki Mnene lililo waleta wasanii wa muziki wa kizazi kipya mkoani Mtwara. Hongera ndugu zangu waislamu kwa kukubali kushiriki kwenye tamasha hili la Muziki wa Bongo fleva na Singeli. Pia niwapongeze waumini wenu kama Naseeb Abdul...
  2. JamiiForums Tanzania Angetile Osia (Katibu Mkuu wa TFF uliyetumbuliwa) na Rais wa TFF Karia tumekuchoka na Chuki

    Angetile Osiah (Katibu Mkuu wa TFF Uliyetumbuliwa) umekuwa na tabia za Kipuuzi na Kishamba mno hasa za kupenda Kujitokeza kutolea Ufafanuzi wa Hukumu na Sheria za TFF na Kamati za Maadili hasa pale ikiwa inaihusu Klabu ya Yanga. Angetile Osiah (Katibu Mkuu wa TFF Uliyetumbuliwa) kama kweli una...
  3. JamiiForums Tanzania Mkuu wa CIA kasema Putin ni mzima wa afya

    Kama mnakumbuka miezi kadhaa iliyopita zilitembea rumors kwamba Putin anaumwa siujui ni kansa, wakasema anaumwa sana anakaribia kukata moto wengine walifika mbali Wakasema ameshakufa tusubiri tu breaking news , tena humu Kuna mdau ndio alikuwa kinara wa kusambaza hizo taarifa huku...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Kenya: Facebook yafuta maelfu ya machapisho kwa kukiuka sera zake kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Kampuni ya teknolojia ya Meta imeondoa maelfu ya machapisho yanayowalenga watumiaji wa Kenya kwenye mtandao wake wa kijamii wa Facebook kwa kukiuka sera zake. Facebook imesema kuwa imeondoa machapisho zaidi 37,000 yaliyohamasisha chuki na 42,000 kwa kukiuka sera yake ya ghasia katika muda wa...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Italia, Mario Draghi ajiuzulu

    Italy's Prime Minister Mario Draghi (R) submitted his resignation to Italy's President Sergio Mattarella at the Quirinale presidential palace in Rome on Thursday. Italian Prime Minister Mario Draghi submitted his resignation to President Sergio Mattarella on Thursday, plunging the European...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku chache kabla ya kuachia madaraka, Kenyatta amteua Mkuu mpya wa Jeshi la Ardhini

    Peter Mbogo Njiru Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amemteua msaidizi wake wa zamani (aide-de-camp - ADC) Peter Mbogo Njiru kuwa Mkuu wa Majeshi wa Kenya, ikiwa ni wiki chache kabla ya kuondoka madarakani. Njiru amepandishwa cheo kutoka kuwa Meja Jenerali na kuwa Luteni Jenerali nafasi ambayo...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Je, Balozi Ombeni Sefue ndiye mshauri Mkuu wa Rais Samia?

    Rais Samia ni wazi sasa anamuamini Balozi Sefue na ndiye kamchagua mwenyekiti wa TPDC na Msaidizi wa mwenyekiti wa tume maalumu ya kumshauri kwenye mabadiliko ya majeshi yetu. https://www.linkedin.com/in/ombeni-sefue-73056220/
  8. JamiiForums Tanzania Baada ya Rais Samia kumaliza teuzi katika vyombo vya dola, Sasa macho yote Mahakamani. Nani kuwa Jaji Mkuu?

    Naona Mh. Rais SSH kamaliza kupanga safi ya viongozi wa vyombo vya dola. Macho yetu yote ni kwa Mahakama. Je, nani atakalia kiti Cha Jaji Mkuu?
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameviagiza vyuo vikuu vyote nchini, kufanya mapitio ya mitaala, ili iweze kuendana na mahitaji halisi ya sasa

    Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa ameviagiza vyuo vikuu vyote nchini, kufanya mapitio ya mitaala yao, ili iweze kuendana na mahitaji halisi ya sasa ya soko la ajira.
  10. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mkuu wa Wilaya ya Hai amepora ofisi ya Mbunge wa Hai

    Katibu wa Mbunge wa Hai Irine Lema amekanusha uzushi unaozunguka kwenye mitandao kuwa mkuu wa wilaya ya Hai amemnyanganya ofisi mbunge wa hai Mhe. Freeman Mbowe amesema kuwa ofisi ipo Bomang'ombe na imejengwa kwa garama za Mbunge na haiko halmashauri kama inavyopotoshwa Huu ni Mwonekano wa...
  11. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Mwanza atangaza Shilingi bilioni 1.45 zilizodaiwa ‘kupigwa’ zimerejeshwa

    Miezi minne tangu Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Robert Gabriel aagize wanawake, vijana na wenye ulemavu waliotokomea na Shilingi bilioni 4.9 za mikopo ya halmashauri kuzirejesha tayari shiingi bilioni 1.45 zimerejeshwa na vikundi hivyo. Gabriel alitoa agizo hilo Aprili 25 mwaka huu huku akisema Sh4.9...
  12. JamiiForums Tanzania RC Makalla, inaonekana hujui tatizo la wavamizi ardhi unaopambana nao

    Salama wandugu, Nimemsikiliza leo Makala sijamuelewa kabisa,yeye anadai anapambana na wavamizi ardhi, hivi ardhi inakaa tu idle ina vichaka haziendelezwi halafu wananchi wasivamie lazima wavamie na wapo sahihi kwa sababu watu wa nchi hii ni selfish sana wao. Wanaona kumiliki ardhi kubwa ndio...
  13. JamiiForums Tanzania Ukraine: Rais Zelensky awafuta kazi Mwendesha Mashtaka Mkuu na Mkuu wa Idara ya Usalama

    Rais Volodymyr Zelenskyy ametoa amri za kuwafuta kazi, Mkuu wa Idara ya Usalama Ivan Bakanov, na Mwendesha Mashtaka Mkuu, Iryna Venediktova na kumteua Naibu wake Oleksiy Symonenko kama Mwendesha Mashtaka Mkuu mpya Amesema hatua hiyo kufuatia tuhuma za maafisa wao kushirikiana na Urusi, huku...
  14. JamiiForums Tanzania Namkubali sana Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Tluway Sumaye

    Namkubali sana mheshimiwa Sumaye ni mpole hana mbwembwe hajui kulipa kisasi na mtulivu. Alipotofautiana na Jakaya enzi zile alijiendea zake kusoma Marekani na MAGUFULI alivyompokonya mashamba yake Morogoro hakujibu alikaa kimya aliacha muda uongee.
  15. JamiiForums Tanzania Kulikoni Katibu Mkuu Kiongozi Serikali ya Mapinduzi!

    Kwa uelewa wangu Katibu Mkuu Kiongozi ni Mtendaji na anapaswa kutumia muda mwingi Ofisini na Wataalam. Lakini naona tofauti kwa Katibu Mkuu Kiongozi wa SMZ Mhandisi Zuwena amekuwa busy kwenye mizungukoni ya Ziara za Mhe. Dkt Mwinyi, Rais wa SMZ. Je, majukumu ya Ukatibu Mkuu Kiongozi...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu asifu utendaji wenye mafanikio makubwa wilayani Iramba - Singida

    📸WAZIRI MKUU ASIFU UTENDAJI WENYE MAFANIKIO MAKUBWA WILAYANI IRAMBA- SINGIDA. Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema anaridhishwa na kazi kubwa yenye mafanikio kwenye miradi na shughuli za maendeleo Wilayani Iramba Mkoani Singida. Waziri Mkuu ameyasema hayo Jana Jumamosi Julai...
  17. JamiiForums Tanzania SoC02 Tuchukulie MTU ambaye amepewa dhamana ya kuwa Mkuu wa Kitengo/Idara anakuwa hivi, itatakiwa umchukuliaje?

    Kwenye hoja Moja Kwa Moja. Unakuwa na presha kamtu kanakupandisha presha nyingii mpaka unafikia hatua ya kutaka kuacha kazi. Inatukuta Sana na wengi hii tunaichukulia rahisi na kamtu uka-zoom na ukika-scan unaona haka kwani hakajui nafasi au cheo ni dhamana tu? Kwa wengine wanajitutumua...
  18. JamiiForums Tanzania Kocha mkuu Yanga sc Nabi kutimuliwa raundi ya kwanza ya msimu

    Najua kuna watakao nibeza ila msimu unaokuja utakuwa mgumu sana kwa Nabi, kutokana na usajili walioufanya Yanga Africa wana matumaini makubwa sana yakufanya vizuri kwenye na caf champions league. Viongozi na mashabiki wa Yanga wanatamani kuona timu yao msimu unaokuja kwenye caf champions league...
  19. JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu, kulikoni mpaka Sasa una majaji wamestaafu wanafanya kazi kwa mkataba? Nchi haina wajuzi wa sheria?

    Namuuliza tu Jaji Mkuu, kulikoni mpaka Leo ana majaji wamestaafu wanapewa mkataba waendelee kuhudumu? Hawa si ndio watakuwa na utii kwa mtu anayewaongezea mkataba? Waende kupumzika SSH ateue watu, wako wengi, na mama anajua kuchagua
  20. JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu atoa angalizo kwa Mahakimu kutojihusisha na siasa na kuhusu makundi ya WhatsApp

    Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma amewaapisha Mahakimu Wakazi wapya 20 na kuwapa angalizo kuhusu matumizi ya mitandao na marafiki wanaowazunguka Prof. Juma ametoa wito huo leo Jumamosi, tarehe 16 Julai 2022, akiwaapisha mahakimu wakazi wapya 20 Jijini Dar es Salaam. Amesema: “Ni wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…