mkuu wa majeshi

  1. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Wanafunzi wasichana wavua hijab na kumzomea mkuu wa kikosi kinacholinda Wanawake Iran

    Kajaribu kuwahutubia ila wameshachoka na dhuluma za kidini... Wakuu wa nchi mayatollah yanalaumu Marekani na Israel..... A girls' school in Iran brought a member of the IRGC-run Basij paramilitary to speak to students. The girls welcomed the speaker by taking off their headscarves & chanting...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi afunga mafunzo kwa askari wapya kundi 41/22

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali, Jacob John Mkunda amefunga rasmi mafunzo kwa askari wapya kundi 41/22 yaliyofanyika katika Viwanja vya Kambi ya Jeshi Oljoro-Arusha, katika sherehe hizo zilizofanyika siku ya tarehe 30, Septemba 2022 jumla ya Askari 2457 walihitimu mafunzo yao yalioendesha...
  3. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Kwanini CDF aitwe Mkuu wa Majeshi wakati Polisi, Magereza na Uhamiaji wana wakuu wao?

    Nimekuwa nikishuhudia CDF akiitwa mkuu wa majeshi ilihali jeshi la Magereza,Polisi na Uhamiaji yanao wakuu wao. Sasa ni ipi sababu hasa ya CDF kuitwa mkuu wa majeshi?
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku chache kabla ya kuachia madaraka, Kenyatta amteua Mkuu mpya wa Jeshi la Ardhini

    Peter Mbogo Njiru Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amemteua msaidizi wake wa zamani (aide-de-camp - ADC) Peter Mbogo Njiru kuwa Mkuu wa Majeshi wa Kenya, ikiwa ni wiki chache kabla ya kuondoka madarakani. Njiru amepandishwa cheo kutoka kuwa Meja Jenerali na kuwa Luteni Jenerali nafasi ambayo...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amuapisha Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jacob John Mkunda na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi

    RAIS SAMIA KUMPANGIA MABEYO MAJUKUMU MAPYA Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kumpangia majukumu mengine aliyekuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Venance Mabeyo ambaye amestaafu kulitumikia Jeshi. Amesema hayo baada ya kumuapisha Jacob John Mkunda kuwa CDF mpya, Ikulu Dar es Salaam, leo Juni...
  6. Memento

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amteua Jacob John Mkunda kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF)

    Rais Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Meja Jenerali Jacob John Mkunda kuwa Jenerali, na amemteua kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF). Kabla ya uteuzi huo alikuwa Mkuu wa Tawi la Operesheni na Mafunzo katika Makao Makuu ya Jeshi. ==== RAIS, Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Meja...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi CDF Mabeyo anaweka jiwe la msingi Mradi wa Ujenzi Uwanja wa Gofu

  8. Gama

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi wa Uingerleza ameyataka Majeshi yake kujiandaa kuingia vitani ndani kwenye ardhi ya Urusi

    Mkuu mpya wa majeshi ya Uingeleza ameyataka majeshi yake kujiandaa kuingia vitani katika ardhi ya Urusi Ametoa ujumbe huo tarehe 16 Juni kwa wanajeshi wa vyeo na ngazi zote na kusema uvamizi wa Urusi kwa Ukrain unaashiria kuwa "kunahaja ya kuilinda UK na kuwa tayari kupigana na kushinda vita...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Picha: Mkuu wa Majeshi Urusi, Jenerali Valery Gerasimov

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Urusi General Valery Gerasimov ameongoza kwa mafanikio makubwa operesheni kadhaa za kijeshi Chechnya, Syria na Ukraine. Aliye na Picha zake na wasifu wake anakaribishwa
  10. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi awasamehe waliofukuzwa JKT, watakiwa kurudi jeshini

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Mabeyo ametoa msamaha kwa vijana 853 kati ya 854 (mmoja alifariki) waliofukuzwa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Aprili 2021 kwa makosa ya kinidhamu. Jenerali Mabeyo ameagiza vijana hao warejeshwe katika kambi za JKT tayari kuanza mafunzo. "Vijana wa...
  11. Sajo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amemteua Brigedia Jenerali Yohana Ochalla Mabongo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania (TPC)

    Rais Samia amemteua Brigedia Jenerali Yohana Ochalla Mabongo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania (TPC). Jenerali Mabeyo kwa sasa ana umri wa miaka 65, inawezekana ndiyo anastaafu na maandalizi ya mrithi wake yameanza. Inasemwa kuwa mtu anayeshika nafasi ya CDF ni mwenye cheo...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Jenerali Mirisho Sarakikya: Niliteuliwa kuwa Mkuu wa Majeshi nikiwa na umri wa miaka 30

    07 January 2022 Mkuu wa Majeshi wa Kwanza JENERALI SARAKIKYA, Asimulia Alivyoshiriki Kuliunda Jeshi Katika interview hii maalum mhitimu wa chuo tajwa kabisa cha kijeshi duniani cha Sandhurst huko Uingereza, Jenerali mstaafu Mirisho Sam Hagai Sarakikya anaelezea alivyojiunga jeshi mwaka...
  13. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Jenerali Mabeyo, unayasikia yasemwayo na makomandoo wetu mahakamani kwenye kesi ya Mbowe?

    Mtani wangu na mkuu wangu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Venance Mabeyo, nakusalimu na kukutakia kazi njema. Nakuuliza tu kizalendo: unayasikia au kuyasoma maneno yasemwayo na makomandoo wetu walio washtakiwa na mashahidi kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake...
  14. BigBro

    JamiiForums Tanzania Samia ndiye Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote Tanzania

  15. Replica

    JamiiForums Tanzania Dar: Amiri Jeshi Mkuu rais Samia, Wananchi Waelimishwe umuhimu wa amani na madhara ya kujihusisha na vitendo vya kigaidi

    Rais Samia leo akiwa amevalia nguo za kijeshi amehudhuria ufunguzi wa kikao cha mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Lugalo, Dar es Salaam. Rais Samia anatarajiwa kuhutubia kwenye kikao hicho. ===== Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 15...
  16. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Nasikia Mkuu wa Majeshi huku Venezuela ameshapita umri wa kustaafu lakini bado yupo ofisini

    Hivi inakujae Mkuu wa Majeshi ana miaka 64 na bado yupo ofisini analitumikia Taifa ilhali muda wa kustaafu kisheri ni miaka 60. Hayo ndio mambo ya huku Venezuela, kweli tembea ujionee!! Sijui atastaafu lini maana nasikia Rais wa huku Venezuela ambaye ni mpya madarakani kaamua kuendelea naye...
  17. TODAYS

    JamiiForums Tanzania KUTOKA ZAMBIA: Hii ifungue njia kwa Watanzania wenye asili ya Kihindi na Kiarabu kuwa wakuu wa Majeshi

    Mkuu wa kikosi cha Anga cha jeshi la Zambia, Lt. General Collin Barry. Rais wa sasa Hakainde Hichilema alipokuwa anakusanya kikosi kazi ameamua kumchukua m_skottish Collin Barry asaidie kuipeleka mbele Zambia. Pamoja na kukulia na kusomea Zambia na wazazi wake ubaguzi kwa nchini humo haukuwa...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Je, kiprotokali Mkuu wa Majeshi (CDF) atampigia salute Meja Generali?

    Habari, Juzi Mh. Rais, Mh. Samia Suluhu Hassan ameteua wakuu wa mikoa wa mikoa yote ya Tanzania bara na miongoni ya walioteuliwa ni aliyekuwa mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja General Charles Mbuge kuwa mkuu wa Mkoa wa Kagera akichukua nafasi ya Brigedia Generali Marco Kaguti ambaye...
  19. U

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Uganda Yoweri Museveni Awapandisha Vyeo Brigedia Jenerali 7 Kuwa Meja Jenerali & Makanali 33 kuwa Brigedia Jenerali

    Rais wa Uganda na Amiri Jeshi Mkuu wa UPDF Mheshimiwa Yoweri Kaguta Museveni amefanya uteuzi kwa kuwapandisha vyeo Majerali na Maofisa Waandamizi wa Jeshi la nchi hiyo.
  20. Cathelin

    JamiiForums Tanzania Nani Mkubwa kati ya Mkuu wa Majeshi na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa?

    Wakuu hope mko poa Naomba kuuliza ni nani, Ni mkubwa, lakini pia nani anajua Siri nyingi, lakini pia nani yupo karibu mno na raisi Kati ya Mkuu wa Majeshi(CDF) na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa(DGIS) Karibu mtujuze mnaojua
Back
Top Bottom