Wahariri wa TBC siwaelewi, wana access ya Mkuu wa Majeshi, Msemaji wa Jeshi, lakini bado wanakosea. Hata katika taarifa ya habari ya saa moja usiku wa leo, habari inahusu Mkoa wa Mwanza, caption imeandikwa Kigoma.
Anyway, kwa tuliosoma Kyuba, pale palipoandikwa marehemu "ameacha familia"...
Jenerali Musugiri ambaye amewahi kuwa Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania [JWTZ], amefariki dunia leo Oktoba 29, 2024 jijini Mwanza alikokuwa akitibiwa. Mazishi yanatarajiwa kufanyika nyumbani kwake, Butiama mkoani Mara.
=====
WASIFU
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Mstaafu, Jenerali...
Wadau hamjamboni nyote?
Mkuu wa majeshi Luteni Jenerali Herzi Halevi akiambatana na Mkuu idara ya Usalama wa ndani Shin Bet jasusi mbobezi Ronen Bar watembelea leo hii kibabe kabisa kusini mwa Lebanon.
Wababe hao wameapa kuwa magaidi wa Hezbollah na wenzao wote hata wajifiche ardhini au angani...
C&P
Mkuu wa Majeshi wa Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ametangaza rasmi kuwa hatagombea urais katika uchaguzi wa mwaka 2026, isipokuwa ataelekeza nguvu zake jeshini huku akimuunga mkono baba yake, Rais Yoweri Museveni, ambaye anatarajiwa kugombea tena urais mwaka huo.
Kupitia akaunti yake...
Wadau hamjamboni nyote?
Ni suala la muda tu kabla ya watajwa hapo juu kutumbuliwa
Waziri wa ulinzi yeye anasubiriwa arejee kutokea ziarani Marekani nchini Marekani. Ilikuwa atumbuliwe mapema lakini cha Ismael haniyeh kilichelewesha tangazo hilo
Taarifa kamili hapo chini:
Mungu ibariki Israel...
Katika hatua ambayo imeonekana na wengi kama usaliti kwa watu wa Palestina, majenerali wa juu kutoka nchi kadhaa za Kiarabu, ikiwa ni pamoja na Bahrain, UAE, Saudi Arabia, Jordan na Misri, walikutana na mwenzao wa Israeli mapema wiki hii huko Manama, Bahrain, kujadili ushirikiano wa usalama wa...
Je Mabeho. Ambaye alikuwa Mkuu wa Majeshi hadhani huu ni wakati wake wa kutuomba msamaha?
Je bado anaamini yupo sahihi? Ni kwa nini sisi Tanzania ni Nadra sana kupata wakuu wa Jeshi Wazalendo? Je haoni huu ni wakati wake wa kutubu na kutuomba msamaha?
Ndege iliyombeba Mkuu wa Majeshi ya Kenya (KDF) Jenerali Francis Ogolla imepata ajali muda mchache baada ya kuruka angani.
Bado Taarifa rasmi haijatolewa juu ya Usalama wao, lakini taarifa za awali zinadai ndege hiyo ya Kijeshi ilikuwa imebeba watu 9, na imewaka moto baada ya kudondoka hivyo...
Allahu Akbar.
Mkuu wa majeshi ya Israel kwa kauli yake mwenyewe, amekiri kushindwa vita na Hamas.
Israel imethibitisha kuwa imeshindwa kufikia malengo yake ya vita katika Ukanda wa Gaza wakati waasi wa IDF wakijiondoa kutoka sehemu kubwa ya eneo la Palestina baada ya mapigano ya miezi kadhaa...
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amemteua Mtoto wake Jenerali Muhoozi Kainerugaba kuwa Mkuu mpya wa Majeshi (CDF) Nchini Uganda akichukua nafasi ya Jenerali Wilson Mbasu Mbadi ambaye ameteuliwa kuwa Waziri anayehusika na masuala ya biashara kwenye mabadiliko mapya aliyofanya katika Baraza la...
Kauli ya CDF, mkuu wa majeshi Gen Jacob John Mkunda, kwamba kuna wakimbizi wamepewa nafasi nyeti serikalini naona ni kauli dhaifu na inawachafua zaidi wao kama walinzi namba moja wa mipaka ya nchi. Inamaana jeshi limeshindwa kazi ya kulinda mipaka ya nchi?
Wakimbizi wakishakua raia by...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye Mkutano wa Saba wa CDF na Makamanda unaofanyika 302 KV Brigade Mess, Mwenge jijini Dar es Salaam leo tarehe 22 Januari, 2024
CDF: VIJANA WETU WA MIAKA 15 HADI 35 WANALENGWA NA WANA MTANDAO WA UGAIDI
Mkuu wa...
Nikiri wazi kutoka sakafu ya moyo wangu, nimefurahi sana kilio changu na kampeni yangu ya miaka mingi kuona leo imejibiwa na Mkuu wa Majeshi nchini. Nilionya kuwa nchi yetu tumeingiliwa, tunahujumiwa tena vya kutosha.
Nakumbuka 22 December 2019 niliandika makala hii hapa chini nikitilia mashaka...
Watoto wa mjini wamedukua email ya mkuu na alivyokua mjinga alitumia email yake kuwasiliana hata kwenye baadhi ya mambo muhimu na nyeti yakiwemo mikakati na hata madudu waliyoyafanya....
==================
ROMAN ERSHOV. PHOTO: NATIONAL RESISTANCE CENTER
Ukrainian activists from the Cyber...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuzungumza na Mkuu wa Majeshi wa kwanza Mstaafu Jenerali Mrisho S. Sarakikya wakati alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Nkoaranga Wilaya ya Arumeru Arusha tarehe 20 Agosti, 2023.
CDF mstaafu General Venance Mabeyo ameonekana ktk video clip iliyosambaa mitandaoni toka juzi aliwa Kanisa la Mt Petro akishiriki shuguli kadhaa za Kikanisa Nchini Vatican.
Pamoja naye anaonekana na baadhi ya Maaskofu kutoka Tanzania na masister
Haijafahamika zaidi ni shughuli gani lakini...
Rais William Ruto amempandisha cheo Francis Omondi Ogolla mpaka kwenye hadhi ya Luteni Jenerali na kumteua Moja kwa Moja kuwa mkuu mpya wa Majeshi ya Ulinzi ya Kenya.
Jenerali Omondi anachukua nafasi ya Robert Kibochi aliyeteuliwa na Rais mstaafu Uhuru Kenyatta mwaka 2020.
===========
Kabla...
Mkuu wa majeshi ya ulinzi nchini jenerali Jacob John Mkunda amesema Tanzania ipo salama.
Jenerali Mkunda ameyasema hayo leo mjini Songea katika kikao cha kawaida cha makamanda wa vikosi kilichofanyika katika Brigade ya Kusini mjini Songea.
Leo tarehe 4 Januari 2023, Mkuu wa zamani wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) Jenerali David Musuguri ametimiza miaka 103 ya kuzaliwa, Jenerali alizaliwa tarehe 4 January, 1920.
Ktk siku ya leo Watanzania tunakupongeza na kukuombea sana kwa Mwenyezi Mungu akupe Afya na Maisha Marefu zaidi na Zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.