Kuhamishwa kituo Mkurugenzi wa Rungwe ni kwa kushindwa kuwasimamia anaowaongoza

Mtyela Kasanda

JF-Expert Member
Oct 13, 2018
554
818
Tunaoifahamu Halmashauri ya wilaya ya Rungwe tunajua Loema Peter hatoshi kuwa kiongozi.

Ilikua ni ajabu kwa yeye kuendelea kuwepo kwenye mkeka baada ya madudu yaliyofanyika kipindi chake.

Lakini hayo yamepita, kazi njema katika kituo chako kipya.

Kwako Ndugu Mchau, waangalie hao wa chini yako. Kuna watumishi wana mitandao yao wameitengeneza na kujipa mamlaka ya ukurugenzi.

Afisa Elimu Idara ya Elimu Msingi na Ofisi ya Utumishi wameuzoea sana mji. Wana mtandao mkubwa na ndio waliompanda kichwani Mama Loema Peter.

Ila Renatus wewe ni jembe, nina uhakika hutapelekeshwa. Una mamlaka ya kushusha cheo na kuhamisha yoyote aliyeko chini yako, ficha muhuri wa Kny, Mkurugenzi unaumiza sana wananchi.

Kazi njema ndugu Economist Renatus Blas Mchau.
 
Karibu sana Rungwe Ndugu Mkurugenzi.
Tuna ombi moja muhimu sana toka kwako.
Tunaomba utusaidie kufukia mashimo hayo roundabout mkabala na Hoteli ya Landmark. Naona watangulizi wote yamewashinda.
Asante
 
Karibu sana Rungwe Ndugu Mkurugenzi.
Tuna ombi moja muhimu sana toka kwako.
Tunaomba utusaidie kufukia mashimo hayo roundabout mkabala na Hoteli ya Landmark. Naona watangulizi wote yamewashinda.
Asante
Na kibao cha TARURA kiko hapohapo!
 
Back
Top Bottom