Vodacom Tanzania MD, Hisham Hendi resigns

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,582
6,627
August 4, 2021, Dar es Salaam: Vodacom Tanzania announced today that Managing Director (MD), Hisham Hendi, has resigned with effect from 1 November 2021 having spent five years with the company, including two and half years as MD. Mr. Hendi will remain within the Vodafone Group of companies, taking a new assignment as the commercial lead at Vodafone Spain. Vodacom Tanzania’s Board of Directors is in the process of identifying a successor and will make an announcement in due course, pending regulatory approval.

“During Hisham’s five-year tenure, Vodacom Tanzania has continued to lead the industry in implementing a digital strategy that has accelerated the country’s financial inclusion through innovative mobile financial services. Hisham has also been a driving force in successful investment in universal access for millions of Tanzanians who had previously been unconnected,” said the Chairman of the Board of Vodacom Tanzania PLC, Judge Thomas Mihayo.

Commenting on the announcement, Mr. Hendi says: “While I am pleased about the opportunity that awaits in Spain, it wouldn’t have been possible without the opportunity in Tanzania over the past five years. I have worked with a great team of colleagues over these years and I am leaving behind a high performance local senior leadership team. I have thoroughly enjoyed the opportunity to serve in this great Nation. Alongside industry partners, customers and government, we have accomplished great milestones in digital and financial inclusion. My experience in Tanzania has made this move possible and I am truly humbled. I leave Tanzania as an ambassador of the country.”

During his period in office, Vodacom was named one of Africa’s top 100 most valuable firms based on market capitalization in 2020 and has consistently led in customer satisfaction as well as overall market share in Tanzania. Mr. Hendi was also instrumental in the historic initial public offering (IPO) in 2017 of Vodacom Tanzania on the Dar es Salaam
Stock Exchange, where Vodacom Tanzania remains the only Telecommunications company on the bourse and its largest ever IPO.

IMG_4577.jpg
 
Huyu jamaa alishitakiwa na serikali ya CCM kama mhujumu uchumi na kuhukumiwa kulipa mabilioni ya shilingi na serikali ya mwendazake!
 
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Hisham Hendi ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na Novemba Mosi, 2021 itakuwa siku yake ya mwisho baada ya kuitumikia kampuni hiyo yenye wateja katika maeneo mbalimbali nchini.

Katika taarifa yake Vodacom imeeleza kuwa Bodi ya wakurugenzi iko katika mchakato wa kumpata mrithi wa Hendi, ambaye ameitumikia kampuni hiyo kwa miaka mitano, na pindi atakapopatikana na kuidhinishwa atatangazwa.

“Katika miaka mitano ya Hendi, Vodacom imeendelea kuwa kuongoza katika soko katika utekelezaji wa mikakati ya kidijitali ambayo imesaidia nchi kuwa na mifumo jumuishi ya kifedha kupitia ubunifu wa huduma za kifedha kwa njia ya simu,” amesema Jaji Thomas Mihayo ambaye ni Mwenyekiti wa bodi.

Jaji Mihayo aliongeza kuwa Hendi ambaye anakwenda kuwa mkuu wa biashara wa Vodafone nchini Hispania, amekuwa ni msukumaji mkuu katika kufanikisha uwekezaji wa kuwafikia mamilioni ya Watanzania ambao awali hawakufikiwa na huduma za simu (hawajaunganishwa).

Akizungumzia kuondoka kwake Hendi amesema anafurahi fursa inayomsubiri Hispania lakini anatambua isingewezekana kama si fursa aliyoipata Tanzania katika kipindi cha miaka mitano, miwili na nusu akihudumu kama Mkurugenzi Mtendaji.

“Nimefanya kazi na timu nzuri na ninaacha wazawa ambao ni viongozi waandamizi wanaofanya kazi kwa ufanisi mkubwa. Ninafurahi kuhudumu katika taifa hili kubwa. Uzoefu wangu hapa nchini ndiyo imefanikisha hatua hii, Kwa kweli najivunia. Naondoka Tanzania kama balozi wa nchi,” amesema Hendi.

Miongoni mwa mafanikio aliyoyapata Hendi katika kipindi chake ni kampuni hiyo kutajwa miongoni mwa kampuni 100 bora zaidi barani Afrika kulingana na mtaji wa soko mnamo 2020, Kufanikisha kuorodheshwa kwa kampuni hiyo katika soko la hisa la Dar es Salaam.
 
Anaondoka kipindi ambapo kampuni inamhitaji zaidi. Kuziba pengo lake inabidi aje mhindi mwingine, otherwise wabongo wataanza kuhujumu kampuni
 
Hii habari ulipoitoa inabidi uwataje kuwa umenakili huko vinginevyo Basi utakuwa unapotosha ukweli.

Huyo jamaa anaenda kufanya kazi nyingine huko Vodafone Spain na amenukuliwa na ameelezewa hvyo sasa naona ajabu ya hii taarifa kuondoa maneno muhimu (kupata kazi nyingine, Spain, ataendelea kubaki Vodafone)

Kwa utoaji wa taarifa Kama hivi n kutengeneza chuki au negativity kwa wapokea habari
 
1628172091334.png

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Hisham Hendi ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na Novemba Mosi, 2021 itakuwa siku yake ya mwisho baada ya kuitumikia kampuni hiyo yenye wateja katika maeneo mbalimbali nchini.

Katika taarifa yake Vodacom imeeleza kuwa Bodi ya wakurugenzi iko katika mchakato wa kumpata mrithi wa Hendi, ambaye ameitumikia kampuni hiyo kwa miaka mitano, na pindi atakapopatikana na kuidhinishwa atatangazwa.

“Katika miaka mitano ya Hendi, Vodacom imeendelea kuwa kuongoza katika soko katika utekelezaji wa mikakati ya kidijitali ambayo imesaidia nchi kuwa na mifumo jumuishi ya kifedha kupitia ubunifu wa huduma za kifedha kwa njia ya simu,” amesema Jaji Thomas Mihayo ambaye ni Mwenyekiti wa bodi.

Jaji Mihayo aliongeza kuwa Hendi ambaye anakwenda kuwa mkuu wa biashara wa Vodafone nchini Hispania, amekuwa ni msukumaji mkuu katika kufanikisha uwekezaji wa kuwafikia mamilioni ya Watanzania ambao awali hawakufikiwa na huduma za simu (hawajaunganishwa).

Akizungumzia kuondoka kwake Hendi amesema anafurahi fursa inayomsubiri Hispania lakini anatambua isingewezekana kama si fursa aliyoipata Tanzania katika kipindi cha miaka mitano, miwili na nusu akihudumu kama Mkurugenzi Mtendaji.

“Nimefanya kazi na timu nzuri na ninaacha wazawa ambao ni viongozi waandamizi wanaofanya kazi kwa ufanisi mkubwa. Ninafurahi kuhudumu katika taifa hili kubwa. Uzoefu wangu hapa nchini ndiyo imefanikisha hatua hii, Kwa kweli najivunia. Naondoka Tanzania kama balozi wa nchi,” amesema Hendi.

Miongoni mwa mafanikio aliyoyapata Hendi katika kipindi chake ni kampuni hiyo kutajwa miongoni mwa kampuni 100 bora zaidi barani Afrika
kulingana na mtaji wa soko mnamo 2020, Kufanikisha kuorodheshwa kwa kampuni hiyo katika soko la hisa la Dar es Salaam.

Back
Top Bottom