mkono

Nimrod Elireheema Mkono (born 18 August 1943) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Musoma Rural constituency since 2000.

View More On Wikipedia.org
  1. Mimi Piga ua, Magufuli namuunga mkono na nitaendelea kumuunga mkono: niulize kwanini?

    Nimesoma criticism nyingi kuhusu Mh. Magufuli lakini mpaka sasa sijaona hata moja inayo-niconvince. Critisism hizi zinaonekana wazi zinapotoka: Bussiness na foreign ruling class wakitumia nguvu yao ya press kuyumbisha effort za nchi kujiondoa toka kwenye mtego wa umasikini. Kwani ni lengo lao...
  2. Namuunga mkono Rais Magufuli 100% kuendeleza Chato

    Nimeshawahi kusikia Watanzania wakiwalalamikia Marais waliopita kwamba hawakufanya mambo ya maana makwao kama Baba wa Taifa hakufanya mambo ya maana Musoma vivyo hivyo Mkapa hakufanya mambo ya maana Masasi. Nami naungana nao kuwalaumu. Kikwete hakufanya mambo ya maana Bagamoyo na Mwinyi...
  3. Mwana JF uliye ghorofani ndani ukumbi wa starehe Musoma nyanyua mkono halafu tuseme yekete

    Habari za humu ama za toka juzi jana na leo😜 leo nipo Ze club Musoma ghorofani nakula life tu nani kama mimi. kama member upo humu nyanyua mkono kwa mbali mbali sema tu kwa nguvu zote piga kelele "yekete"🤦😂🤣🤣 Nipo nakula raha na baridi hili leo ndo leo humu.✋Yekete. 🤦🤪🏃
  4. M

    Naunga mkono kinidhamu kuachwa kwa Jonas Mkude Taifa Stars, ila kuachwa kipa Mnata na beki Tshabalala sijamwelewa Kocha Ndayiragije

    Ni Mwendawazimu tu pekee ndiyo anaweza Kukuelewa ukisema Kipa wa Yanga Metacha Mnata ( Yanga SC ) na Beki wa Kushoto Mohammed Hussein Zimbwe Jr (Tshabalala ) walistahili Kuachwa (Kutojumuishwa ) katika Kikosi cha Taifa Stars chenye Wachezaji 30 kilichotajwa leo na Kocha Mkuu Ndayiragije. Kama...
  5. Mfahamu Sadhu Amar Bharati,mtu alienyoosha mkono wake juu bila ya kuushusha kwa miaka 47

    Sadhu Amar Bharati wa India amenyoosha mkono wake wa kulia juu kwa miaka 47 bila ya kuushusha chini kama alama ya Utukufu wa Mungu wa kihindu ‘Shiva’ Mwaka 1973 aliamua kunyoosha mkono wake wa kulia kwa nyuzi 90 hewani,kufikia 2020 vidole vyake vimejishikiza kwenye kiganja cha mkono,kucha zake...
  6. Wanaogopa kujitokeza hadharani kuunga mkono mapambano, ila wanajiandaa kushangilia matokeo hadharani!

    Na: =AZUyJE0XsASvCgGjApTGwS3L_hCJUm7gOWzdXrklxTEyYZwd2V8bnDc5yL-bEXA4xJa55xT6o_FzdS26Nal8Gy1GMe5g7GktQi_B2uIrS59dw84mrd2M-CfjGME0Yw-AnGIkMA7oXpsPMtvtKPiuOeLb3XbdESgr4_7NKSdEzAkcO6lmp_ng4vkUGGsupURKdvJ941n-ff98T6cy0fKpp_mc&tn=-UC%2CP-y-R']Emmaus Bandekile Mwamakula Hawa wako wengi sana! Wengine...
  7. V

    Naunga mkono kwa asilimia mia Serikali kutoagiza Chanjo ya Corona kutoka nje

    Naiunga Mkono Serikali kwa ASILIMIA MIA isiruhusu wala kuagiza CHANJO ya Corona. Hii ni kutokana na taarifa zinazozunguka kuhusu uwezekano wa chanjo kutokuagizwa kuleta hapa nchini. Hii ni kutokana na mwenendo mzima wa hali ya Ugonjwa Duniani ambayo inaweza kutuoatia taswira ya chanjo yake...
  8. Hali Ikiendelea hivi, Nitamuunga Mkono Rais Magufuli

    HALI IKIENDELEA HIVI, RASMI NITAMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI. Kwa Mkono wa Robert Heriel Mimi ni moja ya aina za watu ambao wana misimamo isiyoyumba, wenye kupenda ukweli na kupenda haki na kuitenda. Nimejibainisha hivyo mara nyingi kama sio zote. Ni wale tusio na unafiki na tusio angalia uso wa...
  9. Watanzania tumuunge mkono Rais Magufuli Kutatua changamoto zetu ona hapa Mchungaji wa Trump akiomba Malaika toka Afrika wamsaidie Trump kushinda

    Rais Magufuli anajiamini na anapenda kutafuta ufumbuzi wa matatizo yetu ambao ni Made in Tanzania. Mchungaji na mshauri wa kiroho wa Donald Trump anayeitwa Paula White hawaamini hata malaika wa Marekani anaamini zaidi malaika wa Africa Kuwa ndio waweza msaidia TRump kushinda ,Tanzania na Africa...
  10. K

    Tatizo ni Wagombea wa CHADEMA au tatizo ni Wananchi wanaozidi kuwaunga mkono?

    CCM imeshinda kata, majimbo na Urais majimbo mengi nchini. Tulitegemea kushinda kwao kungepunguza kamatakamata ya wagombea wa upinzani na wale waliochaguliwa wangeanza kutekeleza ilani ila hali ni tofauti kwa ground. Imeanza kuibuka dhana yakuhujumiwa inayotolewa na madawani na wabunge. Mfano...
  11. S

    Gari la zaidi ya milioni 400, na chaguzi za marudio zilizotokana na watu kuunga mkono juhudi, kipi kimetia Taifa hasara kubwa zaidi?

    Wakati baadhi ya watu wakisifu na kupongeza hatua ya Mkurugenzi wa Halmshauri ya Geita kusimamishwa kazi kwa kununua gari lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 400, binafsi najiuliza kati ya hilo gari na zile chaguzi za kuunga mikono juhudi, kipi kimetia Taifa hasara kubwa zaidi? Jimbo...
  12. J

    Kamati Kuu ya CHADEMA haina meno. Mbona Tundu Lissu alijiamulia tu kumuunga mkono Maalim Seif na haikumfanya chochote?

    Kamati kuu ya CHADEMA na Tundu Lissu akiwemo iliteua jina la mgombea Urais wa Zanzibar na baadaye likapitishwa na Kikao cha Baraza Kuu Tundu Lissu akiwemo pia. Wakati wa kampeni Tundu Lissu akabadili gia angani na kulitangazia taifa kuwa yeye anamuunga mkono mgombea urais kupitia ACT Wazalendo...
  13. Je, Zitto Kabwe alijisahau na kuanza kuung'ata mkono unaomlisha?

    Kwa mtu anayezijua vizuri siasa za nchi hii lazima atakuwa anajua kuwa bila ''mkono'' wa CCM, Zitto Kabwe asingekuwa hapa alipo kisiasa! Ukweli huu ndio ambao ulimfanya Zitto Kabwe kutoaminika ndani ya chama chake cha mwanzo (CHADEMA) mpaka chama kikaamua kumfukuza uanachama! Malezi yake ya...
  14. John Malecela: Tuunge mkono juhudi za Rais Magufuli kwa maendeleo endelevu

    Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais Mstaafu, John Samuel Malecela amewataka watanzania kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli katika juhudi za kujenga uchumi imara na endelevu. Mzee Malecela ameyasema hayo hivi karibuni katika mahojiano maalum na...
  15. Wapalestina wapata faraja,Saudia na Qatar wakataa mkono wa Israel

    Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Saudi Arabia mwanamfalme Faisal bin Farhan amesema kurejeshwa kwa uhusiano na Israel ni lazima kuambatane na kuundwa kwa taifa la Palestina iliyo na mamlaka kamili na Israel iodoe majeshi yake kwenye ardhi ilizoziteka mwaka 1967 na irudishe ardhi inazozijenga...
  16. J

    CHADEMA mkoa wa Mara waunga mkono Esther Matiko na Esther Bulaya kuvuliwa uanachama

    Uongozi wa Chadema mkoani Mara umeunga mkono kwa kauli moja uamuzi wa kamati kuu ya chama chao wa kuwavua uanachama waliokuwa wabunge wao Esther Bulaya na Esther Matiko. Chanzo: Ayo tv Maendeleo hayana vyama!
  17. TANZIA Diego Maradona afariki dunia

    Mwamba hatunaye tena. Alikuwa na miaka 60. Masikitiko makubwa. Rais wa Argentina katangaza siku 3 za maombolezo. ----- Wasifu Wa Hayati Maradona ----- Mmoja wa wachezaji waliobarikiwa, Argentina ilijivunia kipaji cha kipekee, madoido ya ajabu akiwa uwanjani, maono na kasi vilivyovutia...
  18. Je, Tundu Lissu amekimbia mapambano? Ni mwoga na katelekeza mamilioni ya wafuasi wake wanaomuunga mkono katika harakati za ukombozi?

    Wana JF, habari za asubuhi ya leo nzuri ya tarehe 12/11/2020. Kuna mchanganyiko wa mawazo kumhusu aliyekuwa mgombea Urais ndg Tundu Lissu (CHADEMA) kukimbilia Ubelgiji kwa sababu za kiusalama. Wengine wanasema is WEAK and COWARD, wengine wanasema, ni wakala wa mabeberu hivyo baada ya kushindwa...
  19. Kama alichosema leo Kocha wa Simba SC ni 'Mind Game' tu namuunga mkono, ila kama ni kweli 'lawama' zangu ziende kwa Uongozi

    Nimemsikia Kocha Mkuu Sven kuwa Wachezaji wetu muhimu, mahiri na tegemezi kabisa katika Kuamua 'Ushindi' Kiungo Clatous Chama na Washambuliaji Meddie Kagere na Chris Mugalu Kesho 'watakosekana' katika Mtanange wetu muhimu na Wapinzani wetu Yanga SC. GENTAMYCINE nasema kama Kocha amesema haya...
  20. Kwanini Watanzania hawatawaunga mkono wapinzani (CHADEMA& ACT-Wazalendo) kwenye mgomo wao na maandamano

    Kwanini Watanzania hawatawaunga mkono wapinzani kwenye mgomo wao na maandamano. Kwanza vyama vya upinzani vimegoma kukubali mapungufu yao makubwa kabisa ya kimuundo na kisera katika vyama vyao. Kwanza kabisa wananchi wanataka kujua kama kweli wana nia ya dhati? Kwanini kuna ACT Wazalendo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…