mkono

Nimrod Elireheema Mkono (born 18 August 1943) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Musoma Rural constituency since 2000.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Tuungane mkono dhidi ya Kunyamazishwa

    Haki ya maoni ni haki ya kikatiba. Anayedai katiba kuheshimiwa anastahili kuungwa mkono kikamilifu kwa mukthadha huo. Polepole kupinga kunyamazishwa ni dai halali kwa mujibu wa katiba. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Pamoja na mapungufu yake kwa kutoa maoni yake, hili la watu...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kama Bulembo anaweza kumdhaliisha Polepole, upi usalama wa waliounga juhudi mkono wakateuliwa nafasi mbalimbali?

    Bulembo anapodiriki kusema Katibu Mkuu wa chama hakua mwana CCM anatuma salama Kwa akina Nassary, Mashinji, Mdee na wengine kwamba Muda wao wakufaidi keki ya Taifa umeisha wajiandae kukabidhi V8 vinginevyo waombe sana mwenyekiti wa CCM awakingie kifua. Hawa wazee wana roho za kikatili na...
  3. JamiiForums Tanzania Huko nyuma CCM ilikuwa mali ya wakulima na wafanyakazi, leo kimegeuka kuwa mali ya wanaCCM wanaounga mkono ufisadi na kuwona Watanzania mabwege

    Labda kwa vijana waliozaliwa majuzi hawawezi kujua hii fact. Huko nyuma CCM ilikuwa ni mali ya umma. Ilimilikiwa na wakulima na wafanyakazi kwa manufaa ya taifa letu. Uongozi ndani ya CCM ulikuwa sio wa kurithisha mtu hata kama hana uwezo wa kuwa kiongozi. Leo hii kuna wanaCCM walirithishwa...
  4. JamiiForums Tanzania Naunga mkono Serikali kutaka Watoto wapumzike wakati wa likizo lakini....

    Mimi ni miongozi wa Wazazi nisiyefurahishwa kabisa na namna tunavyowachosha Watoto wetu kwa ratiba ngumu wakati mwingine kuliko hata tulizonazo sisi Watu wazima. Kuhusu likizo nadhani twaweza kuja na namna nyingine ya kwenda na Watoto wetu hawa bila kuendelea kuwaumiza...maana pia kama lengo...
  5. JamiiForums Tanzania Makampuni tumuunge mkono mkuu wa mkoa Dar es Salaam

    Ni ushari wangu binafsi kwa makampuni tumuunge mkono mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam katika juhudi zake za kulirudishia jiji letu Hadhi yake, mwenye kuweza kuchangia pavement achangie, mwenye kuweza kuchangia vyuma achangie. Mji wetu unahitaji sana vyuma vya separation kati ya barabara za...
  6. JamiiForums Tanzania Mambo ya kushangaza kuhusu matumizi ya mkono wa kushoto

    Watu wengi duniani hutumia mkono wa kulia kwa shughuli nyingi na si ajabu kwamba vitu vingi huundwa kwa kuwafikiria wanaotumia mkono wa kulia. Wanaotumia mkono wa kushoto husumbuka sana katika kutumia vitu kama vile mkasi, vitabu au hata kufungua milango. Fikiria pia kuhusu kipanya katika...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Jokate Mwegelo ametoa rai kwa Wananchi kuunga mkono juhudi za Serikali kwa kushiriki katika miradi ya maendeleo

    WANANCHI WATAKIWA KUUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI Mkuu wa wilaya ya Temeke mheshimiwa Jokate Mwegelo ametoa rai kwa Wananchi kuunga mkono juhudi za Serikali kwa kushiriki katika miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwenye maeneo yao. Mhe. Jokate ametoa rai hiyo leo Disemba 02,2021...
  8. JamiiForums Tanzania Yeyote yule na kwa njia zozote zile atakayekuwa tayari kuiondoa CCM ya sasa madarakani aungwe mkono

    Hii CCM ya ukoo wa Kikwete,Makamba na kina Nnauye haitufai hata kidogo na ipingwe na kila awaye kwa sababu ya viashiria vya wazi vya ufisadi unaorejea kwa kasi! Yeyote yule na kivyovyote vile mtu,kikundi,wazungu,waarabu na yeyote awaye bila kujali alivyo endapo tu ataonyesha nia ya dhati ya...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa mwajiri kutoa mkono wa pole(rambirambi) kwa mtumishi wa serikali baada ya kufiwa na mama au baba upoje?

    Viongozi naombeni kujua utaratibu wa kupatia pole(rambirambi) na mwajiri(serikali) baada ya kufiwa na mzazi. Na kama upo huwa ni shilingi ngapi? Documents zipi zinahitajika ili mtumishi aweze kulipwa? Naombeni msaada viongozi.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Bukoba apingana na wananchi wake, aunga mkono kumegwa kuunda mkoa wa Chato

    Wenyewe wanasemaje? Habari za leo Friends of Bukoba. Hii hapa ni video ya watetezi wa Mkoa wa Kagera zidi ya hujuma za Mkoa wa Chato. Tunawashukuru wote walioshiriki ikiwa ni pamoja na: (1) Mh. Bernedetha Mushashu (Mbunge viti maalum) (2) Mh. Charles Mwijage (Muleba Kaskazini) (3) Mh...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ludovic Utoh aunga mkono hoja ya kukagua deni la Taifa

    Kuna mjadala mzuri ulikua unaendelea kwenye chanel ya UTV ambapo CAG mstaafu Bwana Ludovic Uto ameunga mkono hoja za Wabunge wanaotaka ufanyike ukaguzi kuhusu deni la taifa. Pamoja nae alikua ni Professor Ngowi na Dr Bernie. Ludovic Uto ameenda mbali zaidi na kutaka ifanyike ukaguzi...
  12. JamiiForums Tanzania Tigray Kuna mkono wa Egypt?

    Tigray wanapataje silaha nzito nzito? Sio Wamanga wa Misri wanawapa kiburi? Suala la Kujenga Bwawa limewachefua Wamanga Koko
  13. JamiiForums Tanzania Mawakili wa Mbowe ni kama timu ya mpira iliyozidiwa, wanataka goli la mkono

    Hapo vipi!! Nimekuwa nafuatilia hii kesi ya Mbowe kwa ukaribu sana. Na nimeshuhudia mapingamizi mengi ya kikosa nguvu ya kisheria hivyo kutupiliwa mbali mahakama. Hii ni ishara inayoonyesha timu ya Jamhuri inayongozwa na prominent lawyer Robert kidando ni moto wa kuotea mbali. Ninachokiona...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Siungi mkono Serikali kuwatafutia maeneo wamachinga. Hawa ni wahalifu walipaswa kuchukuliwa hatua

    Kwanni serikali imeamua kubeba mzigo wa kuwatafutia maeneo wamachinga? Hawa wanaojiita wamachinga ni wahalifu maana wamekiuka Sheria na taratibu mbalimbali za nchi kwa kuamua kujenga mabanda barabarani ama kupanga bidhaa mbele ya maduka ya wafanyabiashara. Nilitegemea watu hawa, mmoja mmoja...
  15. JamiiForums Tanzania Njia pekee na ya msingi ya kudhibiti plastiki ni kuhimiza au kuunga mkono viwanda vya kurejeleza taka za plastiki

    Ni dhahiri ya kuwa kwa sasa Dunia inashuhudia vilio kila kona juu ya kero na balaa linalosababishwa na taka za plastiki. Na kama ilivyo kwingine Nchi yetu nayo haijanusurika na janga hili, kila Mtu mzima anashuhudia hatua mbaya tuliyofikia ikisababishwa na taka hizi za plastiki. Ni vyema sasa...
  16. JamiiForums Tanzania Barua za ajira portal zinaandikwa kwa mkono au kwa ku type

    Hellow wakuu, mdogo wangu alitaka kuweka hapa barua ya kuombea kazi ambayo amaei type kwa computer, kui-print, kasaini kwa mkono, kisha akaipiga picha ili aiweke hapa. Kwa jinsi navyojua sisi enzi zetu barua za kazi tulikuwa tunaandika kwa mkono. Je, ni sahihi kuweka barua iliyoandikwa kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Teknolojia imebadili mfumo wa maisha, vijana wa sasa wanashindwa kuandika kwa mkono

    Usishangae kukutana na mwanafunzi wa elimu ya juu anaeandika na ukashindwa kusoma muandiko wake. Vijana wanafanya kazi za shule kwa kutumia computer, wanatumiana ujumbe kwa simu. Hii imefanya sanaa ya uandishi wa mkono kupotea. Vitabu siku hizi wanasoma kwenye kindle. Niliongea na binti...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Nimeamua Kupunguza Matumizi ya Intaneti kwa angalau 50%

    Kama vile tozo walizoweka hazitoshi, wameamua kuchukua tozo zingine kwa kupunguza ukubwa wa vifurushi vya intanet. Hivi huko serikalini wanafikiri kwa kutumia kiungo kipi cha mwili. Walivyo mazuzu nasikia wamepiga pin mitandao ya ngono!! Sijui wanamkomoa nani wakati ni wao wenyewe ndo wanakosa...
  19. JamiiForums Tanzania Tabora: Katibu wa CHADEMA Igunga aunga mkono juhudi na kuhamia na CCM

    MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM ATUA IGUNGA, AONGEA NA WANACHAMA NA KUKAGUA UJENZI WA WODI YA MAMA NA MTOTO "Katibu wa CHADEMA Jimbo la Igunga, aunga mkono juhudu za Mama Samia na kuhamia CCM" Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa Mkoa wa Tabora Ndg. Afadhal Taibu...
  20. JamiiForums Tanzania Igunga: Mwenyekiti UDP ‘aunga mkono juhudi’ na kuhamia CCM

    MWENYEKITI WA UDP AUNGA MKONO JUHUDI NA KUJIUNGA NA CCM Mwenyekiti wa Chama cha UDP (United Democratic Party) Wilaya ya Igunga Mhe. Mbogo Athuman Yauha na Wanachama wenzake wameamua kuunga mkono juhudu za kuletea Maendeleo zinazofanywa na Serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) inayoongozwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…