Jana baada ya kipindi cha maswali kuna Mhe. Mbunge moja alisimama na kutoa hoja kuwa ana malalamiko dhidi ya Mhe. Tabasamu kwa kumsema vibaya juu ya hoja yake inayohusu pombe za kienyeji. Mimi ninamuunga Mhe. Tabasamu kwa asilimia 100.
Bunge ni mahala pa majadiliano kwa ajili ya maendeleo ya ya wananchi na siyo mahali pa kuleta mzaha mzaha kwa ajili ya kuingiza chupa za pombe.
Mimi ndiyo nilimshangaaa sana yule Mhe. Mbunge Mama analeta chupa ya pombe Bungeni?. Mhe. Spika unatakiwa kukemea vitendo kama vile.
Mko pale kwa ajili ya kujadili masuala ya maendeleo. Nashauri yule Mbunge aliyeleta chupa ya pombe Bungeni apelekwe kwenye Kamati ya maadili na afukuzwe na kutohudhuria vikao vitano.