Namuunga mkono mchezaji aliekataa kuvaa jezi za kuhamasisha ushoga licha ya wenzake kuzivaa

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033

Hapo majuzi, timu kubwa ufaransa ya PSG ilienda kucheza mechi huku wachezaji maarufu wa dini kuu mbili wakiwa wamevaa jezi za kuhamasisha na kuutetea ushoga na usagaji lakini kuna mchezaji moja Idrissa Gueye alikataa kuvaa hizo jezi akilalamika ni kinyume na anachoamini

Hili suala si la kidini tu, ni suala la utu.

Mabeberu haya yanajinadi ni nchi zenye uhuru ila kiukweli sijaona chochote kinachoruhusu mtu awe huru kwa anachoona kwake ni sahihi kukisimamia, mabeberu wanajipa uhuru kwenye mambo wanayoyaona ni sahihi kwao lakini wanawazuia wengine kuwa huru kwa wanachoona ni sawa na hakimdhuru yeyote wanapo kisimamia.

Mtu analipwa kucheza mpira ila wanaanza kumlazimisha awe balozi na mhamasishaji wa vitu ambayo vipo kinyume mno na dini yake na hata tamaduni zake.

Kama kuna mashoga na wasagaji, sawa tu waendelee na itikadi zao wao kimpango wao, lakini haya mambo ya kuanza kumlazimisha mtu kutetea mashoga si uungwana hata kidogo.

Siku hizi mpaka kwenye movie na series zao ushoga lazima waweke na wanakionyesha kuwa ni kitu cha kawaida sana. Tuwe makini sana na malezi ya watoto wetu
si kwenye muvi tu, sikuhizi ni mpaka katuni za watoto.

huku kwenye muvi na series wamechochea kuni vibaya mno, yaani kunakuta dume linampiga denda dume lenzake arghhhh, kero tupu
 
Tatizo linakuja haya majitu ukiyachokonoa yanakukatia mrija wa pesa maana nayo pia inadhamini ligi.

wachezaji wanaogopa kupoteza mishahara minono ya milioni 100 kila wiki
Hapo kwenye kukata mrija ndo mahali waabudu shetani wanapatafuta sana, ndo maana wanatafuta namna ya kuwapa binadamu wote digital identity ili ukipingana nao tu wanabonyeza button tu unakuwa umekwisha........hakuna kuuza, kununua, kulipwa chochote wala kwenda na kupata huduma popote, kiufupi inakuwa ni chapa au alama ya mnyama. Huyo mchezaji aliyekataa ku-support ushoga hakuna rangi ataacha kuiona, tumwombee adumu katika imani yake hadi mwisho.
 
Natabiri vita ya christians vs muslims itatokea hapa kwa kasi ya SGR kwenye huu uzi
 
Siku hizi mpaka kwenye movie na series zao ushoga lazima waweke na wanakionyesha kuwa ni kitu cha kawaida sana. Tuwe makini sana na malezi ya watoto wetu
Kwamba utakuwa makini kiaje ili asiyafahamu hayo?
Hayo yanakuja automatically tu utamlea vizuri utamnyima hadi simu ya mkononi ila ataangalia kideo atamuona Juma Lokole, Fumbuka na the likes kwisha habari yake.

Kulelea toto la kiume ili libaki strong ni lipige kazi shamba shamba, na mikazi migumu nakuapia hawezi kuwa kama Bobrisky
 
Hili suala jamii kubwa ya kiislam imelichukulia kama ushindi kwa dini yao kiasi kujiona wao hawakosei/wapo straight sana ktk dunia hii ila mimi naamini (japokuwa atajifanya kwa unafiki kusema amefanya sababu ya dini yake) amefanya vile sababu ya asili yake ya Kiafrika.

Ikiwa kweli anaumia na hilo linamchoma nafsi yake ilibidi agome kupewa posho wala mshahara wowote tena aombe kuondoka klabuni hapo immediately ila yupo bado anapokea mshahara kutoka kwa supporters wa mashoga.
 
Mkuu wewe kwani upo upande gani mbona unatupa wasi wasi.
 
Back
Top Bottom