mkono

Nimrod Elireheema Mkono (born 18 August 1943) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Musoma Rural constituency since 2000.

View More On Wikipedia.org
  1. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Wakati umefika jamii kuunga mkono juhudi za Serikali

    Licha ya kejeli na dhihaka alizofanyiwa Rais Samia Suluhu Hassan, na wapinga maendeleo wa nchini juu ya utekelezaji miradi mbali mbali ikiwemo ya Uviko-19 lakini bado hakurudi nyuma kuleta mabadiliko. Aliweka pamba masikio na kusonga mbele juu ya kusimamia miradi mikubwa ya uwekezaji pamoja na...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani akagua ujenzi wa Hospitali Chalinze ambayo inazidi kumulikwa na Serikali. Wadau wamuunga mkono

    RIDHIWANI AKAGUA UJENZI WA HOSPITALI CHALINZE AMBAYO INAZIDI KUMULIKWA NA SERIKALI YA RAIS SAMIA. WADAU WAMUUNGA MKONO. Jana Jumatano Julai 28, 2022 Mbunge wa Chalinze ambae pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete amekagua maendeleo ya ujenzi wa...
  3. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Gachagau: Kenyatta alini-blackmail nisimuunge Mkono Ruto

    Mgombea mweza wa Urais nchini Kenya, kupitia Kenya Kwanza, Rigathi Gachagua amemtuhumu Rais Uhuru Kenyatta kumtuma Mshauri wake kumwonya iwapo angeendelea kumuunga mkono Rutto lingempata jambo Madai hayo yanakuja baada Mgombea huyo kudai kuwa kukamatwa na kufungiwa kwa akaunti zake za benki kwa...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Naandaa maandamano Mwanza kumuunga mkono Genta vs uongozi wa simba

    jana Genta a.k.a popoma bobefu lilishusha exclusive kali kabisa ya mwaka kuhusu simba sc. likashusha points 7 matata sana za ndani ndani Wakati nikiwa na digest exclusive hiyo nikapokea simu za washkaji wangu wa tawi la shinyanga na misungwi huko karibu na kolomije home to the greatest Daud...
  5. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania Nina hiki kidogo naomba mnishike mkono wana Dodoma

    Habari za leo wanajamiiforums. Naomba mwenye connection ya kibarua chochote cha malipo ya siku kwa Dodoma aniunganishe. Nitatoa shilingi elfu kumi(10,000) kama shukrani. Naweza kuwa kondakta wa daladala, kiwandani, saidia fundi, najua kuendesha pikipiki japo sina leseni n.K. Mimi ni mwanaume...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Naunga mkono awamu ya 6 kuwarudisha wazee kwenye uongozi. Awamu ya 5 vijana wengi walikuwa VIFUTU

    Awamu ya 5 iliwapa nafas za uongozi vijana wengi Sana. Lkn wakawa chanzo cha mateso na vilio kwa taifa. Mifano tunayo. Kwa kuwataja wachache tu: Makonda, Sabaya, Heri James, Ali Hapi, Mnyeti, Gambo, Polepole, n.k Ninapoona awamu ya 6 sasa inawarudisha kwenye uongozi wazee kama Kinana na Wasira...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Mkono kupoteza hisia baada ya ajali ya gari

    Habari za mida hii. Nina mdogo wangu wa kiume umri miaka 24 ni dereva, miezi minne iliyopita alipata ajali ya gari, alipata mikwaruzo mwilini pia akavunjika mkono wa kulia (mfupa mmoja wa chini na mfupa wa juu). Akawekewa POP kwa wiki sita, ila mpaka sasa mkono huo wa kulia hawez...
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya waunga mkono hoja ya simu zote kutumia chaja moja

    Umoja wa Ulaya (EU) umeridhia Kanuni zitakazolazimu simu zote zinazouzwa katika Umoja huo kuwa na 'Port' ya USB-C, uamuzi ambao ni pigo kubwa kwa Kampuni ya Apple yenye mfumo tofauti katika baadhi ya bidhaa zake EU imesema Kanuni hizo zinazotarajiwa kuanza kutekelezwa 2024 zinalenga kupunguzia...
  9. Championship

    JamiiForums Tanzania Siku nyingi sijasikia wabunge na madiwani wakiunga mkono juhudi na kuhamia CCM

    Tangu mwezi March 2021 sijasikia zile harakati zikiendelea kwa siku za hivi karibuni. Japo wabunge wa upinzani ni wachache lakini hakuna hata mmoja wa kuunga juhudi?
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Kalonzo Musyoka arejea Azimio, akubali kumuunga mkono Odinga

    Kiongozi wa Chama cha Wiper Democratic Movement, Kalonzo Musyoka amerejea katika Umoja wa Azimio ikiwa ni wiki mbili tu tangu alipotangaz akujiondoa na kusema kuwa yupo tayati kumuunga mkono, Martha Karua aliyeteuliwa kuwa Mgombea Mwenza wa Raila Odinga Aliondoka katika umoja huo baada ya...
  11. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Makundi yanayomuunga mkono Rais Samia Suluhu

    Makundi yanayo muunga mkono Rais Samia Suluhu yana-reflect kwamba mama anaupiga mwingi kwa kazi anazofanya ndani na nje ya Tanzania. Makundi hayo ni: -Vyama vya Siasa vinaumuunga mkono ✅ Wamachinga ✅ Wanasiasa / Wanachama wao✅ Viongozi wa dini ✅ Bodaboda ✅ Wanawake ✅ Vijana ✅ Wazee ✅ Walemavu...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Dereva Halima aliyekatika mkono asema 'Niliona mtu ninayemjua akivuka barabara kabla ya ajali'

    Siku chache baada ya tukio la kukatika mkono wa kulia, Halima Mbwana aliyepata ajali wakati akiendesha basi la Super Feo lilipokuwa likitokea Songea kwenda Dar es Salaam, ameelezea kilichotokea sikunde chache kabla ya tukio. Kwa sasa Halima anaendelea na matibabu kwenye hospitali ya rufaa ya...
  13. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Yanga yampa mkono wa kwaheri Saidi Ntibazonkiza

    Baada ya kusimamishwa kuitumikia Yanga kwa muda kutokana na utovu wa nidhamu, rasmi klabu hiyo imetangaza kuachana na kiungo mshambuliaji Saidi Ntibazonkiza 'Saido' kutokana na mkataba wake kufikia tamati. Yanga imesema kuwa Saido ambaye alisimamishwa wiki iliyopita baada ya kutoka kambini bila...
  14. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Sio Marekani nzima inaunga mkono mambo ya kishetani bali ni chama cha Democtrats alichomo Biden na Obama

    Marekani kuna vyama vikuu viwili .. 1. Democrasts - Biden, Obama, Clnton, n.k 2. Republicans - Trump, Bush, Kennedy, n.k Democrats kimekuwa chama chenye maovu mengi mno ila kwavile wao ndio wamiliki wa media nyingi kama facebook, twitter, cnn, n.k, wanajisafisha sana kwa media na hata huku...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu: CCM inamuunga mkono Mwenyekiti wake Samia Suluhu kuendeleza majadiliano na CHADEMA

    Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM imeunga mkono na kuridhia hatua ya Mwenyekiti wa CCM Rais Samia Suluhu Hassan ya kuendeleza majadiliano na vyama vya siasa yenye lengo la kuimarisha demokrasia kupitia maridhiano ya kisiasa kwa maslahi ya taifa. =================== Chawa wamenuna.
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Idris Gueye agoma kuomba radhi kwa kutokuunga mkono LGBTQ+

    𝗜𝗱𝗿𝗶𝘀𝘀𝗮 𝗚𝘂𝗲𝘆𝗲 ni mchezaji wa klabu ya mpira wa miguu ya Paris Saint Germain (PSG) aliyekataa kuvaa jezi ya timu yake ambayo kwa upande wa namba ilikuwa imeandikwa rangi zenye kuashiria mahusiano haramu ya jinsia moja na watu waliobadili jinsia kwa pamoja wanajitambulisha kama LGBT+. Hivi...
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Namuunga mkono mchezaji aliekataa kuvaa jezi za kuhamasisha ushoga licha ya wenzake kuzivaa

    Hapo majuzi, timu kubwa ufaransa ya PSG ilienda kucheza mechi huku wachezaji maarufu wa dini kuu mbili wakiwa wamevaa jezi za kuhamasisha na kuutetea ushoga na usagaji lakini kuna mchezaji moja Idrissa Gueye alikataa kuvaa hizo jezi akilalamika ni kinyume na anachoamini Hili suala si la kidini...
  18. system hacker

    JamiiForums Tanzania Wale tunaounga mkono 'Mafanikio ya Serikali' tufahamiane.....!

    Achana na siasa za CCM na CHADEMA kutwa kuparurana. Kuna wale sisi ambao tunaunga mkono 'Mafanikio ya Serikali' bila kujali itikadi ya vyama vyetu. Wengine wapinzani, CCM na wengine hata chama hawana. Sometimes Jukwaa la Siasa liwe na nyuzi laini laini km huu sio kila saa nyuzi ngumu ngumu tu...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Akacha mechi kwasababu hataki kuunga mkono vitendo vya kishoga

    Kiungo wa Kimataifa wa Senegal anayecheza PSG ya Ufaransa Idrissa Gana Gueye (32) imebainika kuwa alikosa game ya PSG dhidi ya Montpellier Jumamosi iliyopita sababu hakutaka kuvaa jezi zenye namba zenye rangi za upinde (rainbow flag). Idrissa inaeleza kuwa hakutaka kucheza mechi hiyo sababu...
  20. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa kwa Chama Cha walimu Tanzania (CWT) kupunguza Makato kutoka 2% Hadi 0.5% ili kumuunga mkono mama

    Tayari lile jambo letu limekuwa 23.3% Kama tujuavyo mshahara unavyopanda na Makato, Kodi, bima, n.k nayo yanapanda. Kwakuwa CWT inajiweza na Ina wanachama wengi (pengine kuliko Chama chochote Cha wafanyakazi) hapa nchini, Basi nao wapunguze asilimia 1.5 Ibaki 0.5% Ili kusudi nyongeza hii...
Back
Top Bottom