Kenya 2022 Gachagau: Kenyatta alini-blackmail nisimuunge Mkono Ruto

Kenya 2022 General Election

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,023
1,609
Mgombea mweza wa Urais nchini Kenya, kupitia Kenya Kwanza, Rigathi Gachagua amemtuhumu Rais Uhuru Kenyatta kumtuma Mshauri wake kumwonya iwapo angeendelea kumuunga mkono Rutto lingempata jambo

Madai hayo yanakuja baada Mgombea huyo kudai kuwa kukamatwa na kufungiwa kwa akaunti zake za benki kwa madai ya ufisadi kunaendeshwa kisiasa

"Mimi ni mhasiriwa wa unyanyasaji kutoka kwa Rais Uhuru Kenyatta ambaye anatumia mfumo wa sheria ya jinai kusimamia siasa na kukabiliana na wale ambao hawakubaliani naye." alisema Gachagua katika Mdahalo wa Unaibu wa Urais hapo jana

=============

Gachagua: Uhuru tried to blackmail me to abandon Ruto

Mathira MP Rigathi Gachagua pointed an accusing finger at President Uhuru Kenyatta for his recent arrests and the freezing of his bank accounts over claims of corruption.

Mr Gachagua made the claims on Tuesday evening during the Deputy Presidential Debate at the Catholic University of Eastern Africa.

Mr Gachagua also claimed that the president tried to blackmail him to stop supporting Deputy President William Ruto.

“He sent his advisor to threaten me that if I don’t abandon William Ruto and join him, I would face the music,” Mr Gachagua said.

“Then one problem after the other started, they froze my accounts, KRA froze all my companies, they arrested me for one and a half years, now evidence in court,” he said.

He also said his link to corruption and recent arrests are politically motivated.

“I’m a victim of blackmail and persecution from President Uhuru Kenyatta who is using the state criminal justice system to manage politics and deal with those who do not agree with him.”

The MP also explained the source of his wealth, saying that he is an astute businessman who started investing during the reign of the late President Mwai Kibaki.

“I made over Sh200 million and invested in an account, and that account has been running for the last eight years and nobody has asked me about it. In 2013, when I supported Uhuru Kenyatta, I still had the money. In 2017 when I supported him, I still had the money in my personal account. This is money that I have accounted for. It’s clean money, I’m a good businessman,” he said.

On her part, Azimio la Umoja – One Kenya Coalition presidential running mate Martha Karua said is worth Sh150 million.

“I am not thirsty for land, I’m not thirsty for worldly goods. I’m happy to have a house called home. I’m happy to have a house on my father’s land,” she said.
 
Zimebaki siku chache tunzeni hii quotes mlete mrejesho.Ipo hivi duniani nzima ikiwemo serikali zote za duniani zipo chini ya nguvu za mamlaka ya watawala wa ulimwengu usioonekana, chochote kabla hakijafanyika ktk ulimwengu wa macho tayari kilishafanyika au afikiwa ktk ulimwengu usioonekana.
Uwe unataka utaki unakubali ukubali sisi sote tunaongozwa na nguvu zilizo nje ya uwezo wetu ambazo zipo ktk ulimwengu wa siri.
Kama serikali tu inawatambua wazee mfano wazee wa Dar ukadhani ni wazee as wazee sababu ya mvi au umri upo nyuma upo wrong,wale ni watu wazito Sana katk ulimwengu ulionekana wapo physical kuwakilisha wakuu wa ulimwengu usioonekana.
Ni SAwa na vatican, vatican si kama vatican ni zaidi ya vatican,thus wakuu wote wa duniani bila kujali dini ni lazima wasalute kwa Pope. Raila Odinga alimshinda UHURU uchaguzi uliopita akawa ajakubaliana masharti ya wakuu wa dunia thus akachezewa mchezo akapewa UHURU, Then anaitwa akaitwa akayakubali masharti thus anachukua this time hata Kenyatta analijua hili ndo maana kaamua kuwa upande wa Raila.
Kwann kambi ya Raila itashinda.
1.Wakenya wamechoka kutawaliwa na kabila/ ukanda mmoja miaka yote, wanataka kubadilisha ladha.
2.Kambi ya Odinga ni strong Ina wagombea smart na wameshauzika miaka mingi sana yaani Odinga na Martha Karua kuliko kambi ya Ruto pia ni wanasiasa mahiri na ni wachapa Kazi wakenya wanaona watavusha na sio ile kambi ya mafisadi.
3.Kambi ya ODIMA yaani Martha na Odinga Ina makampeni meneja smart na makini Sana kuliko kambi ya Ruto.
4.Ruto anajibomboa mwenyewe kwa kauli zake za chuki na visasi na ukosefu wa nidhamu.
5.Ruto ana visasi hana utulivu wa akili yaani sio matured and civilized enough kuongoza nchi,kiburi mjuaji mapepe yaani saikolojia yake haijabalance bado kulinganisha na Odinga,pia ni dictator hofu atawaletea machafuko wa Kenya.
6.Wakuu wa duniani hawawezi ruhusu hayawani aingie ikulu, Kenya ni muhimu Sana kama base ya kucontrol East, and Central Afrika ikiwemo Ghuba ya Aden. Utulivu wa Kenya ni muhimu Sana kwa interest zao.
7.Katika ulimwengu usioonekana wao chaguo lao ni Odinga kwa maana ni rahisi kumcontrol kinyota na sio Ruto yeye hayupo kabisa kwenye radar zao.

Wiki ijayo sio mbali tunzeni post hii.RAILA AMORO ODINGA ndie next president wa Kenya.Upige kura usipige kura tayari wakubwa wa Dunia walishapanga Odinga
 
Uko wapi ndugu..?
 
Uchaguzi wa kenya n huru na haki mkuu Rais aliye madarakani hana influence yoyote katika box la kura

Nadhan uliish fikra za Tanzania ukasahau kule n Kenya utash wao wa kisias n mkubwa Sana

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Zimebaki siku chache tunzeni hii quotes mlete mrejesho.Ipo hivi duniani nzima ikiwemo serikali zote za duniani zipo chini ya nguvu za mamlaka ya watawala wa ulimwengu usioonekana, chochote kabla hakijafanyika ktk ulimwengu wa macho tayari kilishafanyika au afikiwa ktk ulimwengu usioonekana.
Uwe unataka utaki unakubali ukubali sisi sote tunaongozwa na nguvu zilizo nje ya uwezo wetu ambazo zipo ktk ulimwengu wa siri.
Kama serikali tu inawatambua wazee mfano wazee wa Dar ukadhani ni wazee as wazee sababu ya mvi au umri upo nyuma upo wrong,wale ni watu wazito Sana katk ulimwengu ulionekana wapo physical kuwakilisha wakuu wa ulimwengu usioonekana.
Ni SAwa na vatican, vatican si kama vatican ni zaidi ya vatican,thus wakuu wote wa duniani bila kujali dini ni lazima wasalute kwa Pope. Raila Odinga alimshinda UHURU uchaguzi uliopita akawa ajakubaliana masharti ya wakuu wa dunia thus akachezewa mchezo akapewa UHURU, Then anaitwa akaitwa akayakubali masharti thus anachukua this time hata Kenyatta analijua hili ndo maana kaamua kuwa upande wa Raila.
Kwann kambi ya Raila itashinda.
1.Wakenya wamechoka kutawaliwa na kabila/ ukanda mmoja miaka yote, wanataka kubadilisha ladha.
2.Kambi ya Odinga ni strong Ina wagombea smart na wameshauzika miaka mingi sana yaani Odinga na Martha Karua kuliko kambi ya Ruto pia ni wanasiasa mahiri na ni wachapa Kazi wakenya wanaona watavusha na sio ile kambi ya mafisadi.
3.Kambi ya ODIMA yaani Martha na Odinga Ina makampeni meneja smart na makini Sana kuliko kambi ya Ruto.
4.Ruto anajibomboa mwenyewe kwa kauli zake za chuki na visasi na ukosefu wa nidhamu.
5.Ruto ana visasi hana utulivu wa akili yaani sio matured and civilized enough kuongoza nchi,kiburi mjuaji mapepe yaani saikolojia yake haijabalance bado kulinganisha na Odinga,pia ni dictator hofu atawaletea machafuko wa Kenya.
6.Wakuu wa duniani hawawezi ruhusu hayawani aingie ikulu, Kenya ni muhimu Sana kama base ya kucontrol East, and Central Afrika ikiwemo Ghuba ya Aden. Utulivu wa Kenya ni muhimu Sana kwa interest zao.
7.Katika ulimwengu usioonekana wao chaguo lao ni Odinga kwa maana ni rahisi kumcontrol kinyota na sio Ruto yeye hayupo kabisa kwenye radar zao.

Wiki ijayo sio mbali tunzeni post hii.RAILA AMORO ODINGA ndie next president wa Kenya.Upige kura usipige kura tayari wakubwa wa Dunia walishapanga Odinga
Wakenya walikua wanakuchora tu qumamake meza imekaa juu chini, uzuri nmekuelewa Kenya sio Tanzania Kenya ni Kenya
 
Vp mkuu
 
Ni vizuri sasa kwa Ruto na makamu wake kuonyesha ustaarabu na uungwana kwa kumheshimu Uhuru Kenyatta bila kujaribu kumkejeli kwa kuwa aliwapinga!! Huu ndio utu uzima!!! Wasifikiri kwamba sasa ndio wakati wao wa kumwonyesha Uhuru kuwa wao ni miamba!!
 
Back
Top Bottom